Kwa mfano ukiweka Puma kiwango unachoweka yanakupa km ngapi? Na ukiweka Total kiwango hiko hiko yanakupa km ngapi?Puma (Ulivyokua BP) zamani siku hizi hakuna kitu...
Total yes yanakaa haswa...
Leaded and unleaded may be the course lakin Kwa uelewa wangu mafuta ni Yale YaleKwanza . Hizo sio sheli Kama ulivyosema na wala sio Sheri Kama mchangiaji alivyokusahihisha. Hizo ni fuel station za kampuni hizo ulizozitaja na wala si za kampuni ya shell maana kampun ya shell haipogo tena.
Kuhusu kukaa Sana Kwa mafuta ni Kama mchangiaji alivyosema na pia kwenye fuel stations kuna janja janja nyingi.
Hii yaweza kuwa sababu sahihi sanaMafuta Huwa wanaagiza kwa pamoja kinachowatofautisha ni baadhi ya Kampuni kama Total na Puma wanaboresha kwa kuweka fuel additive.
Hao wengine hawaweki mbwembwe wanauza kama yalivyotoka kwa Mwarabu.
Ma engineer habari za j2
Wakuu kuna kitu nime experience nimeona nishare hapa tupeane maarifa. Mimi huwa naweka mafuta/fuel kwenye sheli tatu (3) tu kutokana na mazingira
1. Total
2. Puma
3. Oryx
Hizo mimi ndo najaza mafuta kutokana na uhitaji na eneo ambalo nipo lazma niende moja ya hzo sheli juu.
Lakini kuna kitu nimegundua nikiweka mafuta sheli ya Total yanakaa sana kuliko sheli hzo mbili, nmefanya utafiti kwenye gari 3 Ford Ranger, BMW X1 na toyota Ist. Pia hata watu wengine wanasema mafuta ya total yanakaa saa.
Kwenu nyie hili jambo limekaaje kitaaalamu.
Aiseee kama hujui bora unakaa kimya tuSasa unataka yawe yanakaa yasitumike mkuu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyways, mafuta ya hizo fuel station ni mafuta premium na sio ordinary kama yale ya oil com, camel au lake oil. Hayo ni yale premium fuel kwa maana kiwango cha juu.
Ukitazama hata bei zao zinakuwa tofauti. Sheri kama Engine, Total, puma, Victoria na moja jina limenitoka mafuta yao huwa ni premium.
Zipo ila inakuwa haina haja kama zimeshawekwaHizo additives zinapatikana wapi Tz niwe najiwekea mwenyewe kwenye mafuta ya gari yangu.
Una tumia gari gani boss?!Hamna lolote mafuta yote muagizaji ni mmoja tu yanaagizwa kwa bulk.Unakuta oryx au puma depo imeishiwa mafuta gari zao zinabadilishiwa oda zinaenda pakia Oil com au lake oil na wanakuja wanamwaga kwenye vituo vyao.
Subaru forester 2016Una tumia gari gani boss?!
Mafuta Huwa wanaagiza kwa pamoja kinachowatofautisha ni baadhi ya Kampuni kama Total na Puma wanaboresha kwa kuweka fuel additive.
Hao wengine hawaweki mbwembwe wanauza kama yalivyotoka kwa Mwarabu.
Kuna sheri inaitwa muro ukijaza ya 50 unakutana na lita 17 lakini kwao inasoma 20 watu wa hapa bahi cha ajabu wanaagiza mafuta mjini na wanauza sana mtaan kuliko sheli
Fuel additive ni nini?Hili ndio jibu sahihi
Okay, ukiwa unatumia gari za mfumo wa GDI utalewa tofauti.Subaru forester 2016
1Fuel additive ni nini?
Fuel additive ni nini?
Ok kwanza naomba nikurekebishe shell ni company na yenyewe ina vituo vya mafuta kama hivyo hivyo ni vituo vya mafuta makampuni hayo uliyoyataja turudi kwenye mada mafuta yanayouzwa vituo vyote tz ni sawa isipokua total wanavosema wao wana regular japo sina uhakika nalo na kingine naona labda suala la vipimo na kuna kuzidiwa kete mkuuMa engineer habari za j2
Wakuu kuna kitu nime experience nimeona nishare hapa tupeane maarifa. Mimi huwa naweka mafuta/fuel kwenye sheli tatu (3) tu kutokana na mazingira
1. Total
2. Puma
3. Oryx
Hizo mimi ndo najaza mafuta kutokana na uhitaji na eneo ambalo nipo lazma niende moja ya hzo sheli juu.
Lakini kuna kitu nimegundua nikiweka mafuta sheli ya Total yanakaa sana kuliko sheli hzo mbili, nmefanya utafiti kwenye gari 3 Ford Ranger, BMW X1 na toyota Ist. Pia hata watu wengine wanasema mafuta ya total yanakaa saa.
Kwenu nyie hili jambo limekaaje kitaaalamu.
Mwarabu ndo anaendesha dunia. Wamatumbi sisi tunajua kucheza Ngoma tuMafuta Huwa wanaagiza kwa pamoja kinachowatofautisha ni baadhi ya Kampuni kama Total na Puma wanaboresha kwa kuweka fuel additive.
Hao wengine hawaweki mbwembwe wanauza kama yalivyotoka kwa Mwarabu.
Nawe umekosea, umechanganya Lugha.Kwanza . Hizo sio sheli Kama ulivyosema na wala sio Sheri Kama mchangiaji alivyokusahihisha. Hizo ni fuel station za kampuni hizo ulizozitaja na wala si za kampuni ya shell maana kampun ya shell haipogo tena.
Kuhusu kukaa Sana Kwa mafuta ni Kama mchangiaji alivyosema na pia kwenye fuel stations kuna janja janja nyingi.