Kwanini nikiweka Mafuta kwenye hii sheli yanakaa sana? Kuliko nyingine

Tuambie mfano ukiweka Total unatembea km/L, ukilinganisha na ukiweka hivyo vituo vingine kwenye gari hilo hilo
Experience yake imebase kwenye longevity of time he stays before he goes to pump gas after the last top up, and kaweka route zake kama pie constant...
 
Mmmh ngoja ntatest Total
KWa mafuta ya 10,000-100,000 huwezi kuona tofauti yoyote. Ni kama GBP wanauza mafuta 2,400 wakati Total wanauza 2,427 ukiweka Lita 100 kutakuwa na tofauti ya Tz 2,700 yaani Lita moja ambayo kwenye Lita 100 sio kitu cha kuleta tofauti kubwa.
Kwa makampuni yenye fleet kubwa tofauti hii ina maana sana.
Hivyo basi usipoteze mafuta yako kuifuata Total au GBP mbali na Ulipo kwasababu umbali huo ndio kiwango utakachookoa
 
Sio kweli prondo

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Sa
Samahani kidgo nmeshndwa kuelewa observation ako umefanya ktk mazngira gan kama umetumia gari 3 tofauti consumption lazma iwe tofauti kulingana na ukubwa wa engine na habit ako how u press acceleration pedal na how distance u cover kwann nakwambia ivo

Gari z3nye Cc kubwa ukiendesha twn trip lazma ibugie sanaa mafuta cz inakuwa kama inasafoketi but long trip utaona consumption imepungua cz engine inakuwa happy na mwendo

Na kingne kusema mafuta yanakaa sanaa inawezekana n kwel ila uhalisia by science experience ktk fuel consumption ya gari haiwezekani sema kuna namna gari ako kuna siku inakuwa na faults ukisort ulaji unapungua unaona kama wese limetega sanaa ktk tank mtazamo angu n uo japo ningeomba ufafanuzi how umefanya observation ako though kuna lingne wapashwa kufuta quality yenye octane kubwa kuanzia 80 kwenda juu yanachomeka haraka kuliko kupata mafuta mabovu
 
Nawe haipogo ni kitu gani? Kiswahili ni haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…