Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 841
- 1,755
Kama hujapata shida kunielewa hayo mengine mbwembwe tuSema kuna kituo cha mafuta kinaitwa Muro
Shell nayo ni kampuni tofauti
Najua tumezoea kila Fuel Station tunaita Agip au shell
Ni masahihisho tu sawa
Sasa unataka yawe yanakaa yasitumike mkuu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyways, mafuta ya hizo fuel station ni mafuta premium na sio ordinary kama yale ya oil com, camel au lake oil. Hayo ni yale premium fuel kwa maana kiwango cha juu.
Ukitazama hata bei zao zinakuwa tofauti. Sheri kama Engine, Total, puma, Victoria na moja jina limenitoka mafuta yao huwa ni premium.
Yes gari zote za direct injectionOkay, ukiwa unatumia gari za mfumo wa GDI utalewa tofauti.
Sijajua badoNi kwa nini inakuwa hivyo mkuu
Hii picha ni ushahidi kama pampuni bado ipo nadhani bongo ndo haipo kwa muonekano wa hiyo gari nilitegemea nitaona fiat 682,scania 111nk
Hii picha ni ushahidi kama pampuni bado ipo nadhani bongo ndo haipo kwa muonekano wa hiyo gari nilitegemea nitaona fiat 682,scania 111nk
Mafuta ni yale yale ila tofauti ipo kwenye hizo mashine zingine ni chakavu na zingine zina ubora kwa Arusha baadhi ya vituo wana mashine mpya kabisa hapo clock tower,manjis ,Total ya Phillips na Relini hawa jamaa wanakuuzia ulichonunua vituo vingine unauziwa gesi tu kiwango cha mafuta ulichopata sio halisi na pesa uliyotoa...nikiwa na safari naenda kuweka moja ya vituo hivyo naamini hapo safari ipo...
Mafuta ukijaza hapo mpaka unasahau wale jamaa nachowakubali wakiona pump inasumbua wanaleta za kisasa zaidi huwa nafunga safari kwenda kujaza mafuta pale kama sina ishu za town...Mwenyew najaza mafuta hapo clock tower TOTAL
Mafuta ukijaza hapo mpaka unasahau wale jamaa nachowakubali wakiona pump inasumbua wanaleta za kisasa zaidi huwa nafunga safari kwenda kujaza mafuta pale kama sina ishu za town...
Nawwe wacha ujuaji.Kwanza . Hizo sio sheli Kama ulivyosema na wala sio Sheri Kama mchangiaji alivyokusahihisha. Hizo ni fuel station za kampuni hizo ulizozitaja na wala si za kampuni ya shell maana kampun ya shell haipogo tena.
Kuhusu kukaa Sana Kwa mafuta ni Kama mchangiaji alivyosema na pia kwenye fuel stations kuna janja janja nyingi.
Pale Osterbay ni kwa zote zile mbili zipo vizuri upo sahihi..Kweli nakubali hawa jamaa wapo vzr na pale oysterbay pia wapo vzr
Kuna vita ya biashara hapa au ni matangazo ya biashara tu?
Sheli ni jina sahihi la kituo cha mafuta kwa sasa, jimbuko lake ni ile kampuni ya mafuta ya shell, ambayo ilijulikana sana zamani kuliko vituo vyote vya mafuta. Hata mji mdogo wa KAWE Dar ulitokana na jina la kizungu la COW WAY hii ilikuwa njia ya ng'ombe wa Tanganyika Packers. Kwa kifupi neno katika lugha ni mchambusho wa maneno katika sehemu husika kwa muda ule.Kwanza . Hizo sio sheli Kama ulivyosema na wala sio Sheri Kama mchangiaji alivyokusahihisha. Hizo ni fuel station za kampuni hizo ulizozitaja na wala si za kampuni ya shell maana kampun ya shell haipogo tena.
Kuhusu kukaa Sana Kwa mafuta ni Kama mchangiaji alivyosema na pia kwenye fuel stations kuna janja janja nyingi.
Tuelekeze kujua kiasi gani Cha ku-balance ujazo wa Mafuta na Additive ili tusije kujutaEven shell additive wanauza shida iko kujua level ya octane inayohitajika kama si ivo utajuta siku yeyote cz lazma kuwa na balance ya ujazo wa wese na additive