Kwanini niliamua kuwa raster man[why do i choose to be raster man]

Kwanini niliamua kuwa raster man[why do i choose to be raster man]

Jah rasta farian Al Selas ate it n let it pass on, aii maan @B’REAL me luvin em dis story ile videdly unitag man!
IMG_9312.JPG
 
Greetings in that Most Precious and Divine Name of Our Lord and Saviour Jesus Christ
Jah Rastafari ............
 
nilikaa nikajitasimini nini nataka kunye maisha yangu....nikagundua ni furaha,na hiyo furaha nita ipataje ni kufanya wengine wawenafuraha.nimiaka 21 sasa niko kwenye imani hi,nafuraiya na ninapenda sana
Hello to Tafarai...!

Bob Ashanti, Nyabhingi or?

Jah Bless all...!
 
Hello to Tafarai...!

Bob Ashanti, Nyabhingi or?

Jah Bless all...!
WANGWAN rasta....kuna madhehebu tofauti tunaita [Nyumba za rastafarai] yale maarufu nikama Bobo Asanti, Nyabhingi, ethiopian zion church na twelve trible of Israel ambao hawa wana tafsiri tofauti ya imani za kirastafari.
 
WANGWAN rasta....kuna madhehebu tofauti tunaita [Nyumba za rastafarai] yale maarufu nikama Bobo Asanti, Nyabhingi, ethiopian zion church na twelve trible of Israel ambao hawa wana tafsiri tofauti ya imani za kirastafari.
"Haile Selassie" ni nani kwako(rastafarian)?
 
Wagwan rasta.....selasiii i,i & i in the name of jah, i salute you wana zengo wa jamii forum.Leo nataka kuongelea kuhusu imani ya kirastafari na kwanini nilichagua kuwa rastafari japo sijazaliwa kwenye misingi ya imani ya kirastafari.

tuanze na kujifunza nini maana ya rastafari na imetoka wapi.
kidogo

Rastafari (wakati mwingine huitwa Urastafari) ni diniiliyoanzishwa huko Jamaika miaka ya 1930. Wakati mwingine dini hii hutambuliwa pia kuwa mfumo wa maisha na vuguvugu la kitamaduni.
Rastafari inarejelea imani zao, ambazo zinategemea ufafanuzi maalum wa Biblia, kama "Rastaloji". Msingi wake ni imani ya Mungu mmoja ambaye anajulikana kama Yahu (Jah) ambaye anaishi ndani ya kila mtu.

Mfalme wa zamani wa Ethiopia, Haile Selassie, anapewa umuhimu wa pekee. Marasta wengi humuona kama mwili wa Jah duniani na kama ujio wa pili wa Yesu Kristo. Wengine humwona kama nabii wa kibinadamu ambaye alitambua kikamilifu uungu wa ndani ya kila mtu.
Rastafari inatilia mkazo Afrika, na Afrika ya ughaibuni ambayo wanaamini kuwa inanyanyaswa ndani ya jamii ya Magharibi, au "Babeli". Marasta wengi wanasisitiza wito kwa Waafrika walioko nchi za magharibi wa kurudi Afrika, hasa Ethiopia. Wanaamini kuwa bara la Afrika ni Nchi ya Ahadi ya "Sayuni".

Marasta huita mfumo wao wa maisha "uhai" (livity). Ibada zao huita "misingi" (groundations), na hujumuisha muziki, kuimba, majadiliano na bangi, ambayo huonekana kama sakramenti.

Marasta wengi hula vyakula vya asili bila nyama wala chumvi (vyakula hivi huitwa itali), wanaacha nywele zao kukua bila kuchanwa au kukatwa (dreadlocks).
Inaaminika kuwa kuna wastani wa Rasta milioni 1 duniani.

Rastafari ilitokea miongoni mwa jumuiya za Wajamaika weusi maskini katika miaka ya 1930. Itikadi yake ya Uafrika ilikuwa jibu dhidi ya utamaduni wa kikoloni wa Jamaika. Imani hii ilitiwa chachu na itikadi za Uethiopia na Vuguvugu la Kurudi Afrika lililotokana na falsafa za Marcus Garvey.
Imani ilikua baada ya wahubiri kama Leonard Howell kutangaza kuwa kuvikwa taji la ufalme kwa Haile Selassie kama Mfalme wa Ethiopia mwaka 1930 kulitimiza unabii wa Biblia.

Katika miaka ya 1950, hali ya kupambana na utamaduni wa Rastafari ilisababisha harakati kuwa mgogoro na jamii pana ya Jamaika, ikiwa ni pamoja na mapigano ya vurugu na utekelezaji wa sheria.
Katika miaka ya 1960 na 1970 ilipata heshima zaidi ndani ya Jamaika na kujulikana zaidi nje ya nchi kwa njia ya umaarufu wa wanamuziki wa Rasta walioumbwa na Rasta kama Bob Marley.
Jitihada za Rastafari zilipungua katika miaka ya 1980, kufuatia vifo vya Haile Selassie na Marley.
Rastafari ina madhehebu kadhaa ̈(Nyumba za Rastafari). Madhehebu maarufu ni Nyahbinghi, Bobo Ashanti, Kanisa la Sayuni Koptiki la Ethiopia (Ethiopian Zion Coptic Church) na Makabila 12 ya Israeli (Twelve Tribes of Israel) ambayo yana tafsiri tofauti kuhusu imani ya Rastafari.
ITAENDELEA...
Kwanini niliamua kuwa raster man[why do i choose to be raster man]

MZEE BABA KWA KIINGEREZA HIKO YANI WEWE UNASTAHILI KUWA RASTA KABISA

Hapo kuna Verb ambayo inakulazimu uipe past tense
 
Mimi ningeweza kuwa rastafari ila Bange zenu ndo shida. Nasikia mnasoma sana Biblia vipi kuna sehemu wanasema kuhusu hii kitu ya Chuga.
 
Mimi ningeweza kuwa rastafari ila Bange zenu ndo shida. Nasikia mnasoma sana Biblia vipi kuna sehemu wanasema kuhusu hii kitu ya Chuga.
ile ni meditation
 
Back
Top Bottom