Wagwan rasta.....selasiii i,i & i in the name of jah, i salute you wana zengo wa jamii forum.Leo nataka kuongelea kuhusu imani ya kirastafari na kwanini nilichagua kuwa rastafari japo sijazaliwa kwenye misingi ya imani ya kirastafari.
tuanze na kujifunza nini maana ya rastafari na imetoka wapi.
kidogo
Rastafari (wakati mwingine huitwa Urastafari) ni
diniiliyoanzishwa huko
Jamaika miaka ya 1930. Wakati mwingine dini hii hutambuliwa pia kuwa mfumo wa
maisha na vuguvugu la kitamaduni.
Rastafari inarejelea
imani zao, ambazo zinategemea
ufafanuzi maalum wa
Biblia, kama "Rastaloji". Msingi wake ni imani ya
Mungu mmoja ambaye anajulikana kama
Yahu (Jah) ambaye anaishi ndani ya kila
mtu.
Mfalme wa zamani wa
Ethiopia,
Haile Selassie, anapewa umuhimu wa pekee. Marasta wengi humuona kama
mwili wa Jah
duniani na kama
ujio wa pili wa
Yesu Kristo. Wengine humwona kama
nabii wa kibinadamu ambaye alitambua kikamilifu uungu wa ndani ya kila mtu.
Rastafari inatilia mkazo
Afrika, na Afrika ya ughaibuni ambayo wanaamini kuwa inanyanyaswa ndani ya jamii ya
Magharibi, au "
Babeli". Marasta wengi wanasisitiza
wito kwa
Waafrika walioko
nchi za magharibi wa kurudi Afrika, hasa Ethiopia. Wanaamini kuwa
bara la Afrika ni
Nchi ya Ahadi ya "
Sayuni".
Marasta huita mfumo wao wa maisha "
uhai" (livity).
Ibada zao huita "misingi" (groundations), na hujumuisha
muziki,
kuimba,
majadiliano na
bangi, ambayo huonekana kama
sakramenti.
Marasta wengi hula vyakula vya asili bila
nyama wala
chumvi (vyakula hivi huitwa itali), wanaacha
nywele zao kukua bila kuchanwa au kukatwa (dreadlocks).
Inaaminika kuwa kuna wastani wa Rasta milioni 1 duniani.
Rastafari ilitokea miongoni mwa jumuiya za Wajamaika weusi
maskini katika miaka ya 1930.
Itikadi yake ya
Uafrika ilikuwa
jibu dhidi ya
utamaduni wa
kikoloni wa Jamaika. Imani hii ilitiwa
chachu na
itikadi za Uethiopia na
Vuguvugu la Kurudi Afrika lililotokana na
falsafa za
Marcus Garvey.
Imani ilikua baada ya
wahubiri kama
Leonard Howell kutangaza kuwa kuvikwa
taji la
ufalme kwa Haile Selassie kama Mfalme wa Ethiopia
mwaka 1930 kulitimiza
unabii wa Biblia.
Katika
miaka ya 1950, hali ya kupambana na utamaduni wa Rastafari ilisababisha
harakati kuwa mgogoro na jamii pana ya Jamaika, ikiwa ni pamoja na mapigano ya vurugu na utekelezaji wa
sheria.
Katika
miaka ya 1960 na
1970 ilipata
heshima zaidi ndani ya Jamaika na kujulikana zaidi nje ya nchi kwa njia ya umaarufu wa
wanamuziki wa Rasta walioumbwa na Rasta kama
Bob Marley.
Jitihada za Rastafari zilipungua katika
miaka ya 1980, kufuatia
vifo vya Haile Selassie na Marley.
Rastafari ina
madhehebu kadhaa ̈(Nyumba za Rastafari). Madhehebu maarufu ni Nyahbinghi, Bobo Ashanti, Kanisa la Sayuni Koptiki la Ethiopia (Ethiopian Zion Coptic Church) na Makabila 12 ya Israeli (Twelve Tribes of Israel) ambayo yana tafsiri tofauti kuhusu imani ya Rastafari.
ITAENDELEA...