Kwanini niliamua kuwa raster man[why do i choose to be raster man]

Mi navutiwa sana na jamii ya kirasta but wananiudhi tu pale wanapo sema Haile Selassie ni nabii ni kama yesu tu! Na wakati kwenye bible ambayo wao wanaitumia hakuna kitu kama hicho.
Miss interpretation ilianzia pale Yesu aliposema kuwa ataleta msaidizi atakapoondoka ambaye ni Roho mtakatifu. Rastafarian wao waka interpret as a physical help that's King Selassie I
 
Write your reply...Nawakubali sana rastafarian, natamani siku moja niwe. ila nafikiria ndugu zangu watahisi sipo sawa lakini mi sijali.
 
Kwahiyo unavuta bangi? (Sakramenti)
 
Write your reply...Nawakubali sana rastafarian, natamani siku moja niwe. ila nafikiria ndugu zangu watahisi sipo sawa lakini mi sijali.
mkuu hata mimi familia yangu Mwazoni waliniona kama nimeanza kudataa na mabangi!!na hasa ndugu zangu wengi sana ambao sio tumbo mojaa wakaaza kusema dah kijanaa kashaanza unga huyu.angalia minywele, tararibu siku zilivyo enda wakaanza kunielewa,kutokana na tabia yangu ilianza kuwa tofauti sana, nilikuwa mwenye hekima,muungwana
 
Write your reply...Nawakubali sana rastafarian, natamani siku moja niwe. ila nafikiria ndugu zangu watahisi sipo sawa lakini mi sijali.
Anza ku practice upendo kwa watu wote. Awe adui ama rafiki treat them right. Wape Upendo sawa. Jamii yako haiwezi kukutenga kwa wewe kuonysha upendo.
Kuwa na dread ni stage nyingine
 
mkuu go through bibilia angalia hilo chimbuko la salassie
Kwenye bible hakuna kitu kama hicho, kwanza tuelewe maana ya Rastafarian: "Ras Tafari." Katika lugha ya Kihabeshi (Kiamhari), ras inamaanisha "kichwa," "mwana mfalme," au "jemadari mkuu," na tafari inamaanisha "kuogopwa." Katika mfumo wa Rastafariani, neno hili linarejelea hasa kwa Ras Tafari Makonnen (1892-1975), ambaye alikuwa Haile Selassie I Mfalme wa Uhabeshi (jina lake la ubatizo la Kikristo) wakati wa kutawazwa kwake mwaka wa 1930, wakati Selassie alipokuwa akisifiwa na majina ya "Simba wa Yuda, Mteule wa Mungu, Mfalme wa Wafalme." Hii ilituma wimbi la mshtuko kupitia utamaduni wa Afro-Caribbean. Katika mitaa ya Kingston, Jamaica, wahubiri kama Joseph Hibbert, walianza kutangaza kwamba Haile Selassie alikuwa Masihi aliyekuwa amengojwa kwa muda mrefu, kuja kwa mara ya pili kwa Kristo. Hivyo ilizaliwa alama moja wa Rastafari, ambayo iliona Selassie kama Mungu aliye hai na masihi mweusi ambaye angeweza kupindua utaratibu uliopo na kuongoza utawala wa weusi.
 
cannabis huhusishwa sana na uharifu au uendawazimu, kwa upande mwengine ikisemekana ni dawa nzuri sana kwani tunashuhudia madogo wakiranduka huku makwetu na vilevile watu wakitumia kwa manufaa binafsi. Nina uhakika Cannabis siyo mbaya hata.
Swali: kama hutojali mkuu kutuelewesha ni vitu gani vinavyopelekea mtu kuharibika kwa matumizi ya huu mmea tukufu?
huwa unaenda na mood za mtu, personality ama?
 
Kama kaka alivyosema pale mwanzo. Mmea unakufanya utafakari sana. Sasa kama ukitafakari sana uovu basi utajengeka uovu Moroni mwako.
Rastafarian wanatumia kwa kufanya I meditation kwenye neno la Mungu zaidi. Especially on love one another
 
Uzi mzuri huu Mimi ni mkristo jina tu ila nnaamin katika Amani na Upendo, Tatizo kubwa Africa/ Tanzania tunaamini Rastafarian ni watu wahuni/ hovyo hovyo tu ila ukweli ni watu wenye kujielewa na kudeal na mishe zao... Bongo kuna badhi ya ajira hupati eti kisa unarasta[emoji2211][emoji2211][emoji2211]. Ethiopia, Zimbabwe na Malawi angalau kidogo wao wamepata uelewa
 
Wagwani rasta
Hivi bangi nje ya kuvuta inatumiwa kwa jinsi gani nyingine?
 
unaweza kutumia kama dawa, kujifukiza majani yake,bangi mbichi majani yake yanaweza kut9ibu sikio kama linauma
Mkuu mfano nikichukua majani yake nikatengeneza Kama juice hivi
Kuna weza kua na athari yoyote?
 
Dadekii wengi wenuu mnakuwa njaa Kali mnafuga nywele hamzitunzi zinakuwa chafu hapa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…