Kwanini niliamua kuwa raster man[why do i choose to be raster man]

Kwanini niliamua kuwa raster man[why do i choose to be raster man]

Kwenye jibu lako la swali la pili kuna swali jingine, ikiwa Mungu huyu uliyemtaja (God) wa kwenye Bibilia ndiye aliyeumba pepo kwa wamchao na jehanamu kwa waliomuasi. Je, Mungu (Jah) unayemzungumzia ndiye huyo huyo aliyeumba pepo na jehanamu?
ndo huyo huyo....mkuu Mungu anamajina mengi,hata kilugha chako anajina lake.tatizo hapa ni jinsi ya imani shirikishi ila wote tunamuamini Mungu wa universal ambae aliumba pepo na jehanamu na ndo maana utaona kitabu chetu ni bibilia Angano lakale. Umenipata uzuri
 
"Jah Live" lyrics

Bob Marley Lyrics
Play the Bob Marley Quiz
on Melody Facts
"Jah Live"

Jah live! children yeah!
Jah-Jah live! children yeah
Jah live! children yeah!
Jah-Jah live! children yeah

The truth is an offense but not a sin!
Is he who laugh last, children! is he who win
Is a foolish dog bark at a flying bird!
One sheep must learn, children! to respect the sheperd!

Jah live! children yeah!
Jah-Jah live! children yeah
Jah live! children yeah
Jah-Jah live! children yeah, Jah!

Fools sayin' in their heart
Rasta your God is dead
But I and I know Jah! Jah!
Dreaded it shall be dreaded and dread

Jah live! children yeah!
Jah-Jah live! children yeah
Jah live! children yeah
Jah-Jah live! children yeah

Let Jah a-rise!
Now that the enemies are scattered
Let Jah a-rise!
The enemies, the enemies are scattered

Jah live! children yeah!
Jah-Jah live! children yeah
Jah live! children yeah
Jah-Jah live!

JIBU LAKO NA SINDIKIZA NA HICHI KIBAO CARLA
 
Mbona kama wew una asili ya rangi nyeupe I mean sio black vp hapo?
 
How you over come the issue of sacrament to your faith,it seems you go against the laws of the nation, the government try to ban it, but you violate it,?How is it come ?
Wagwan rasta.....selasiii i,i & i in the name of jah, i salute you wana zengo wa jamii forum.Leo nataka kuongelea kuhusu imani ya kirastafari na kwanini nilichagua kuwa rastafari japo sijazaliwa kwenye misingi ya imani ya kirastafari.

tuanze na kujifunza nini maana ya rastafari na imetoka wapi.
kidogo

Rastafari (wakati mwingine huitwa Urastafari) ni diniiliyoanzishwa huko Jamaika miaka ya 1930. Wakati mwingine dini hii hutambuliwa pia kuwa mfumo wa maisha na vuguvugu la kitamaduni.
Rastafari inarejelea imani zao, ambazo zinategemea ufafanuzi maalum wa Biblia, kama "Rastaloji". Msingi wake ni imani ya Mungu mmoja ambaye anajulikana kama Yahu (Jah) ambaye anaishi ndani ya kila mtu.

Mfalme wa zamani wa Ethiopia, Haile Selassie, anapewa umuhimu wa pekee. Marasta wengi humuona kama mwili wa Jah duniani na kama ujio wa pili wa Yesu Kristo. Wengine humwona kama nabii wa kibinadamu ambaye alitambua kikamilifu uungu wa ndani ya kila mtu.
Rastafari inatilia mkazo Afrika, na Afrika ya ughaibuni ambayo wanaamini kuwa inanyanyaswa ndani ya jamii ya Magharibi, au "Babeli". Marasta wengi wanasisitiza wito kwa Waafrika walioko nchi za magharibi wa kurudi Afrika, hasa Ethiopia. Wanaamini kuwa bara la Afrika ni Nchi ya Ahadi ya "Sayuni".

Marasta huita mfumo wao wa maisha "uhai" (livity). Ibada zao huita "misingi" (groundations), na hujumuisha muziki, kuimba, majadiliano na bangi, ambayo huonekana kama sakramenti.

Marasta wengi hula vyakula vya asili bila nyama wala chumvi (vyakula hivi huitwa itali), wanaacha nywele zao kukua bila kuchanwa au kukatwa (dreadlocks).
Inaaminika kuwa kuna wastani wa Rasta milioni 1 duniani.

Rastafari ilitokea miongoni mwa jumuiya za Wajamaika weusi maskini katika miaka ya 1930. Itikadi yake ya Uafrika ilikuwa jibu dhidi ya utamaduni wa kikoloni wa Jamaika. Imani hii ilitiwa chachu na itikadi za Uethiopia na Vuguvugu la Kurudi Afrika lililotokana na falsafa za Marcus Garvey.
Imani ilikua baada ya wahubiri kama Leonard Howell kutangaza kuwa kuvikwa taji la ufalme kwa Haile Selassie kama Mfalme wa Ethiopia mwaka 1930 kulitimiza unabii wa Biblia.

Katika miaka ya 1950, hali ya kupambana na utamaduni wa Rastafari ilisababisha harakati kuwa mgogoro na jamii pana ya Jamaika, ikiwa ni pamoja na mapigano ya vurugu na utekelezaji wa sheria.
Katika miaka ya 1960 na 1970 ilipata heshima zaidi ndani ya Jamaika na kujulikana zaidi nje ya nchi kwa njia ya umaarufu wa wanamuziki wa Rasta walioumbwa na Rasta kama Bob Marley.
Jitihada za Rastafari zilipungua katika miaka ya 1980, kufuatia vifo vya Haile Selassie na Marley.
Rastafari ina madhehebu kadhaa ̈(Nyumba za Rastafari). Madhehebu maarufu ni Nyahbinghi, Bobo Ashanti, Kanisa la Sayuni Koptiki la Ethiopia (Ethiopian Zion Coptic Church) na Makabila 12 ya Israeli (Twelve Tribes of Israel) ambayo yana tafsiri tofauti kuhusu imani ya Rastafari.
ITAENDELEA...
 
Mbona kama wew una asili ya rangi nyeupe I mean sio black vp hapo?
Mkuu mi ni black mzee baba, usiadaike na rangi tu.inawezekana wazee walichanganya ila unaangalia uwalisia wapi,hata most ya slave trade walio kuja kutokana na back to africa movement wengine walikuja na mimba wakazaa, watoto machotara kama mfano bob marley +bi kadelaboka niweusi ila angalia watoto kama kina ziggy, damian so usi judge kwa colour of skin brother
 
Vp now kurudi machimbon hujafikiria?
Mkuu mi ni black mzee baba, usiadaike na rangi tu.inawezekana wazee walichanganya ila unaangalia uwalisia wapi,hata most ya slave trade walio kuja kutokana na back to africa movement wengine walikuja na mimba wakazaa, watoto machotara kama mfano bob marley +bi kadelaboka niweusi ila angalia watoto kama kina ziggy, damian so usi judge kwa colour of skin brother
 
Evonik najua ni agaist the low of the nation, ila ni feeling za Babylonian system tu,wanaogopa kuwa mtu atakuwa na reasoning capacity kubwa na IQ yako kuongeza? GANJA is herb why burn it. we steal fighting for it to be legalize so that Rastafarian tuwe na special zone ya ku sniff/paff it.
 
Mkuu hili nilikuwa na kuja kuuliza
bora hata ulivyo kuja.

Kuna connection gani kati ya ma rasta na wazungu? Why wadada wa kizungu wana wapenda sana.

Pia kuna nyimbo mmoja ya Roma ile mkono juu " put your hands up" kuna mstari wake aliimba 'anafuga rasta ili apate demu wa kizungu' kwanini mnahusishwa na ideology hii
Wazungu wanawapenda marasta kwa sababu ya uaminifu wao na kutokuwa na tamaa za kijinga
 
Mi navutiwa sana na jamii ya kirasta but wananiudhi tu pale wanapo sema Haile Selassie ni nabii ni kama yesu tu! Na wakati kwenye bible ambayo wao wanaitumia hakuna kitu kama hicho.
 
Mi navutiwa sana na jamii ya kirasta but wananiudhi tu pale wanapo sema Haile Selassie ni nabii ni kama yesu tu! Na wakati kwenye bible ambayo wao wanaitumia hakuna kitu kama hicho.
mkuu imani nipana sanaa....wewe unamuamini yesu, vipi kwa wanao muamini muhamad.....imani nipana sana, na siku zote tunakwambia matendo memaa ndo uchamungu
 
mkuu imani nipana sanaa....wewe unamuamini yesu, vipi kwa wanao muamini muhamad.....imani nipana sana, na siku zote tunakwambia matendo memaa ndo uchamungu
Mkuu Bob Marley kabla hajafa alibatizwa nakuirudia imani yake ya awali ya kikristo! Imani ya kirasta ni nzuri lakini kunasehemu wana kufuru kabisa yaani wameenda mbali zaidi ya imani yenyewe.
 
Rasta wanadai Haile Selassie ametoka kwenye uzao wa Suleiman kupitia kwa malkia wa sheba! Hivi kweli zaidi ya miaka elfu 3 huo uzao unaweza kujulikana? Haile Selassie ametokea juzi kwenye karne ya kumi na tisa.
 
Culture ya kirasta ina reflect amani, the world is better off without it
 
Nilisoma na jamaa chuo, kwenye mitihani yote ni lazima apate jani kabla ya kuingia chumba cha mtihani ili aweze kufanya vizuri kwenye mtihani husika.

hapana japo si halalishi....ila maraisi wengi na watu wengi wenye IQ kubwa wanavuta au walishawai kuvuta bangi, eg Obama,Kenya mkubwa na mdogo,achia mbali ma professor kibao wanakula jani.....ule mmea unakufungua akili na unaona vitu vya kindani zaidi, unakuwa na maono.mi ukiniambia niache ninywe pombe abadani siwezi.
 
Rasta wanadai Haile Selassie ametoka kwenye uzao wa Suleiman kupitia kwa malkia wa sheba! Hivi kweli zaidi ya miaka elfu 3 huo uzao unaweza kujulikana? Haile Selassie ametokea juzi kwenye karne ya kumi na tisa.
mkuu go through bibilia angalia hilo chimbuko la salassie
 
mkuu urasta na mzungu tena...sisi tunapigania back to African movement bana
Forward to Africa kaka siyo back to Africa
nilikutana na bro wawili walikua na imani kali sana za kirastafari mmoja alikuwa form 4 mwingine 6,walipenda sana kutengeneza culture[bracelet],nilianza kuvutiwa na mienendo yao, walikuwa wakimya sana, wasio na makuu na asilimia 97% walikuwa wanapendwa na wanafunzi na walimu,taratibu niliaza kuingiwa na imani za kirasta,nakumbuka kilicho nivutia zaidi ni life style ya kirastafari,ilikuwa kila jioni naenda nakaanao wanasoma bibilia sana,tunaongea mawili matatu, maneno ya hekima sanaa.

niliaza kubadilisha maisha taratibu kutoka mtoto mtu kutu to good boy, nilipendelea sana nyakati za mchana baada ya masomo kukaa bustanini kujisomea makala tofauti za imani ya kirastafari.nakumbuka kuna siku nilikuja moshi town,baada ya hawa ma bro kumaliza shule kuja kuwatembelea, moshi kama unaenda msikiti wariadha pale kuna rastarman anaduka na vinyago na vitu vya culture anauza kwa watalii.so hawa washikaji ndo walikuwa wako nae pale.

Sikuiyo ilikuwa ni jmosi kumbe ilikuwa siku ya ibada ya kirastafari inafanyika nyumbani kwa huyo mkushi wenye duka, jamaa wakaniambia twende japo nilikuwa sina dread ila mavyazi yangu,boshori nililovyaa na maculture culture utajua mi ni raster.

siku hiyo ndo siku rasimi niliamua kuwa Rastafarian baada ya kuskia ma teaching from the elders, consensus na ilikuwa ina kunaubiriwa Amani na Upendo.
 
Back
Top Bottom