Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss interpretation ilianzia pale Yesu aliposema kuwa ataleta msaidizi atakapoondoka ambaye ni Roho mtakatifu. Rastafarian wao waka interpret as a physical help that's King Selassie IMi navutiwa sana na jamii ya kirasta but wananiudhi tu pale wanapo sema Haile Selassie ni nabii ni kama yesu tu! Na wakati kwenye bible ambayo wao wanaitumia hakuna kitu kama hicho.
Movement inaendelea ndiyo manana ni forward to Africa. Pia Rastafarian hawana neno back tomkuu umesoma history in 'BACK TO AFRICA MOVEMENT' ambayo iliaziswa na Marcus G
Kwahiyo unavuta bangi? (Sakramenti)Wagwan rasta.....selasiii i,i & i in the name of jah, i salute you wana zengo wa jamii forum.Leo nataka kuongelea kuhusu imani ya kirastafari na kwanini nilichagua kuwa rastafari japo sijazaliwa kwenye misingi ya imani ya kirastafari.
tuanze na kujifunza nini maana ya rastafari na imetoka wapi.
kidogo
Rastafari (wakati mwingine huitwa Urastafari) ni diniiliyoanzishwa huko Jamaika miaka ya 1930. Wakati mwingine dini hii hutambuliwa pia kuwa mfumo wa maisha na vuguvugu la kitamaduni.
Rastafari inarejelea imani zao, ambazo zinategemea ufafanuzi maalum wa Biblia, kama "Rastaloji". Msingi wake ni imani ya Mungu mmoja ambaye anajulikana kama Yahu (Jah) ambaye anaishi ndani ya kila mtu.
Mfalme wa zamani wa Ethiopia, Haile Selassie, anapewa umuhimu wa pekee. Marasta wengi humuona kama mwili wa Jah duniani na kama ujio wa pili wa Yesu Kristo. Wengine humwona kama nabii wa kibinadamu ambaye alitambua kikamilifu uungu wa ndani ya kila mtu.
Rastafari inatilia mkazo Afrika, na Afrika ya ughaibuni ambayo wanaamini kuwa inanyanyaswa ndani ya jamii ya Magharibi, au "Babeli". Marasta wengi wanasisitiza wito kwa Waafrika walioko nchi za magharibi wa kurudi Afrika, hasa Ethiopia. Wanaamini kuwa bara la Afrika ni Nchi ya Ahadi ya "Sayuni".
Marasta huita mfumo wao wa maisha "uhai" (livity). Ibada zao huita "misingi" (groundations), na hujumuisha muziki, kuimba, majadiliano na bangi, ambayo huonekana kama sakramenti.
Marasta wengi hula vyakula vya asili bila nyama wala chumvi (vyakula hivi huitwa itali), wanaacha nywele zao kukua bila kuchanwa au kukatwa (dreadlocks).
Inaaminika kuwa kuna wastani wa Rasta milioni 1 duniani.
Rastafari ilitokea miongoni mwa jumuiya za Wajamaika weusi maskini katika miaka ya 1930. Itikadi yake ya Uafrika ilikuwa jibu dhidi ya utamaduni wa kikoloni wa Jamaika. Imani hii ilitiwa chachu na itikadi za Uethiopia na Vuguvugu la Kurudi Afrika lililotokana na falsafa za Marcus Garvey.
Imani ilikua baada ya wahubiri kama Leonard Howell kutangaza kuwa kuvikwa taji la ufalme kwa Haile Selassie kama Mfalme wa Ethiopia mwaka 1930 kulitimiza unabii wa Biblia.
Katika miaka ya 1950, hali ya kupambana na utamaduni wa Rastafari ilisababisha harakati kuwa mgogoro na jamii pana ya Jamaika, ikiwa ni pamoja na mapigano ya vurugu na utekelezaji wa sheria.
Katika miaka ya 1960 na 1970 ilipata heshima zaidi ndani ya Jamaika na kujulikana zaidi nje ya nchi kwa njia ya umaarufu wa wanamuziki wa Rasta walioumbwa na Rasta kama Bob Marley.
Jitihada za Rastafari zilipungua katika miaka ya 1980, kufuatia vifo vya Haile Selassie na Marley.
Rastafari ina madhehebu kadhaa ̈(Nyumba za Rastafari). Madhehebu maarufu ni Nyahbinghi, Bobo Ashanti, Kanisa la Sayuni Koptiki la Ethiopia (Ethiopian Zion Coptic Church) na Makabila 12 ya Israeli (Twelve Tribes of Israel) ambayo yana tafsiri tofauti kuhusu imani ya Rastafari.
ITAENDELEA...
mkuu hata mimi familia yangu Mwazoni waliniona kama nimeanza kudataa na mabangi!!na hasa ndugu zangu wengi sana ambao sio tumbo mojaa wakaaza kusema dah kijanaa kashaanza unga huyu.angalia minywele, tararibu siku zilivyo enda wakaanza kunielewa,kutokana na tabia yangu ilianza kuwa tofauti sana, nilikuwa mwenye hekima,muungwanaWrite your reply...Nawakubali sana rastafarian, natamani siku moja niwe. ila nafikiria ndugu zangu watahisi sipo sawa lakini mi sijali.
Rastafarian inaanzia Moyoni. It's divine consciousness of your heartWrite your reply...Nawakubali sana rastafarian, natamani siku moja niwe. ila nafikiria ndugu zangu watahisi sipo sawa lakini mi sijali.
Anza ku practice upendo kwa watu wote. Awe adui ama rafiki treat them right. Wape Upendo sawa. Jamii yako haiwezi kukutenga kwa wewe kuonysha upendo.Write your reply...Nawakubali sana rastafarian, natamani siku moja niwe. ila nafikiria ndugu zangu watahisi sipo sawa lakini mi sijali.
Kwenye bible hakuna kitu kama hicho, kwanza tuelewe maana ya Rastafarian: "Ras Tafari." Katika lugha ya Kihabeshi (Kiamhari), ras inamaanisha "kichwa," "mwana mfalme," au "jemadari mkuu," na tafari inamaanisha "kuogopwa." Katika mfumo wa Rastafariani, neno hili linarejelea hasa kwa Ras Tafari Makonnen (1892-1975), ambaye alikuwa Haile Selassie I Mfalme wa Uhabeshi (jina lake la ubatizo la Kikristo) wakati wa kutawazwa kwake mwaka wa 1930, wakati Selassie alipokuwa akisifiwa na majina ya "Simba wa Yuda, Mteule wa Mungu, Mfalme wa Wafalme." Hii ilituma wimbi la mshtuko kupitia utamaduni wa Afro-Caribbean. Katika mitaa ya Kingston, Jamaica, wahubiri kama Joseph Hibbert, walianza kutangaza kwamba Haile Selassie alikuwa Masihi aliyekuwa amengojwa kwa muda mrefu, kuja kwa mara ya pili kwa Kristo. Hivyo ilizaliwa alama moja wa Rastafari, ambayo iliona Selassie kama Mungu aliye hai na masihi mweusi ambaye angeweza kupindua utaratibu uliopo na kuongoza utawala wa weusi.mkuu go through bibilia angalia hilo chimbuko la salassie
Kama kaka alivyosema pale mwanzo. Mmea unakufanya utafakari sana. Sasa kama ukitafakari sana uovu basi utajengeka uovu Moroni mwako.cannabis huhusishwa sana na uharifu au uendawazimu, kwa upande mwengine ikisemekana ni dawa nzuri sana kwani tunashuhudia madogo wakiranduka huku makwetu na vilevile watu wakitumia kwa manufaa binafsi. Nina uhakika Cannabis siyo mbaya hata.
Swali: kama hutojali mkuu kutuelewesha ni vitu gani vinavyopelekea mtu kuharibika kwa matumizi ya huu mmea tukufu?
huwa unaenda na mood za mtu, personality ama?
Wagwani rasta
Hivi bangi nje ya kuvuta inatumiwa kwa jinsi gani nyingine?
unaweza kutumia kama dawa, kujifukiza majani yake,bangi mbichi majani yake yanaweza kut9ibu sikio kama linaumaWagwani rasta
Hivi bangi nje ya kuvuta inatumiwa kwa jinsi gani nyingine?
Mkuu mfano nikichukua majani yake nikatengeneza Kama juice hiviunaweza kutumia kama dawa, kujifukiza majani yake,bangi mbichi majani yake yanaweza kut9ibu sikio kama linauma