Kwanini niliamua kuwa raster man[why do i choose to be raster man]

Kwanini niliamua kuwa raster man[why do i choose to be raster man]

Dadekii wengi wenuu mnakuwa njaa Kali mnafuga nywele hamzitunzi zinakuwa chafu hapa bongo
Kaka bado haujaelewa kuhusu Rastafarian.
Rastafarian siyo material possessions /siyo pesa wala mali. Ni roho /nafsi yako . Ni utajili wa Nafsi /spirit . Wanawekeza zaidi kwenye usafi wa Roho/nafsi siyo kwenywe nywele /deadlocks
 
ndo huyo huyo....mkuu Mungu anamajina mengi,hata kilugha chako anajina lake.tatizo hapa ni jinsi ya imani shirikishi ila wote tunamuamini Mungu wa universal ambae aliumba pepo na jehanamu na ndo maana utaona kitabu chetu ni bibilia Angano lakale. Umenipata uzuri
kwahyo mkuu ulibadili dini kutoka Uislamu mpaka Ukristo kwasababu ya kua rasta
 
nikiwa rastafari ni lazima nitumie bangi kama sehemu ya kuwa miongoni mwenu?
Bangi Ni ibada...ili uwe connected spiritually,lazima ule mjani.unaweza kuwa mromani katoliki then huna rozali?
 
Wewe sio rear Rastafarian 👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20241110-112458.png
    Screenshot_20241110-112458.png
    78.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom