Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

sawa mkuu.
Japo haya mambo ya kiimani huwa ni kua na imani na kitu fulani kwanza then unajenga au kukiboresha.

Wengi ninaokutana nao wako hivyo, so info zao nyingi zinabase kwenye kile alichokiamini mwanzo ama lah kakiboresha kidogo.
Ni kweli kiongozi.

imani ni hisia. Na wataalamu wabobezi huwa wanatumia maarifa kwenda kugusa hisia zetu.
Ni vigumu sama kumbadili ambae keshachongwa kupitia imani.
 
Ukianza kupigwa basi pigana. Nikutangaza mapigo kwa wasioamini wala si kwa walioanza kukupiga pia tangaza vita hadi dini ya allah itakapotawala.
 
Reactions: 511
  • Fighting is obligatory for you, much as you dislike it. - 2:216
 
1. Katika Suran 6: 163 Koran inadai kuwa Muhammad ndie Muislam wa kwanza.
Naam sahihi, kabisa ni Muislamu wa kwanza katika Umma ambao yeye ametumwa kuwafikishia ujumbe.
 
Reactions: 511
N

Nitajipa kazi, amini unavyotaka kuamini kila mtu na imani yake
Mi kuingia kwenye imani yenu labda ingekuwa kusaka totoz siyo kuamini ya kuwa ni imani ya M/Mungu. Kwenye kumponda jiwe shetani ningeshiriki japo sijui huwa amehifadhiwa humo au la.
 
Reactions: 511
Quran inamuhukumu nabii issa kama ni mtu mwenye dhambi kwamba Mungu anamuuliza Yesu wewe umejitakasa ?

Wakati huku sisi wakristo tunaamini Yesu alikuwa ni mtu mwenye haki alisimama kwa niaba ya watu wasio haki
 
Naam sahihi, kabisa ni Muislamu wa kwanza katika Umma ambao yeye ametumwa kuwafikishia ujumbe.
Mbona watu wanadai Yesu alikuwa muislamu pia?? Kama mudi wa jana tu ndo muislamu wa kwanza, hii ya Yesu wa zamani huko before Mudi mnampaje uislamu?
 
Reactions: 511
Naam sahihi, kabisa ni Muislamu wa kwanza katika Umma ambao yeye ametumwa kuwafikishia ujumbe.
Mkuu ni kweli kulikuwa na uislam kabla ya prophet Muhammad?
 
Quran inamuhukumu nabii issa kama ni mtu mwenye dhambi kwamba Mungu anamuuliza Yesu wewe umejitakasa ?

Wakati huku sisi wakristo tunaamini Yesu alikuwa ni mtu mwenye haki alisimama kwa niaba ya watu wasio haki
Quran haina Yesu. Inae Issa
Allah sio Jehova
 
Mkuu ni kweli kulikuwa na uislam kabla ya prophet Muhammad?
Jibu ni hapana maana quran inadai Mudi ndo muislam wa kwanza. Wengine wote watakaokuambia ulikuwepo kabla yake waongo tu.
 
Yesu hakuwahi kukabidhiwa kitabu mjomba.Toa evidence kwamba Yesu alika idhiwa kitabu.Hata Muhammad amekufa bila kujua Kuna kitabu kinaitwa Quran.
 
Yesu hakuwahi kukabidhiwa kitabu mjomba.Toa evidence kwamba Yesu alika idhiwa kitabu.Hata Muhammad amekufa bila kujua Kuna kitabu kinaitwa Quran.
Oyaaa!! Qur'an alishushiwa Mudi, Yesu hakukabidhiwa kitabu (kama waislamu waaminishwavyo na quran yao). Kitabu kiliandikwa na wafuasi wa Yesu walioshuhudia ukuu wake.
 
Makafiri wanachukua vipande vya kwenye mtandao wanaunga hata aya hazipo. Ndiyo maana wenzetu wakisoma Quran huwa wanasilimu kwa haraka kutokana na uongo wanaoaminishwa mitandaoni kutoonekana kwenye kitabu.
 
Nakuja...
Huyu hapa ni miongoni mwa waliolishwa maneno kutokana na jibu lake au yuko sahihi.
View attachment 2948313
Maalim.

Tunakwenda vzr na tutafika.

Ili iweze kunielewa ni vzr ujifunze na kuelewa asili na misingi ya dini ya kiislam.

Imani ya kiislam inaitakidi kuwa asili watu wote ni waislam. Bali wazazi wao huwatoa katika uislam na kuwaongiza ktk uyahudi, unaswara na umajusi.

Ninyi ndugu zetu wakristo ktk Quran mumetajwa kama manaswara.

Manaswara ni watu waliodisinfomed ktk imani wakidhani wanamfata yesu kumbe imani yao imekuwa contaminated na bila kujuja badala ya kufata maandiko ya injili. Wameletewa kitabu kipya kinachonasobishwa na injili.

Kumbe ni kitabu cha waandishi waliomlisha maneno yesu kwa zaidi ya 90%

Nikirudi kwenye suali lako.

Waislamu walifata kitabu gani kabla ya Muhammad.

Jibu Uislamu haukuanza kwa Muhammad bali kwa mtume wa kwanza adam.

Kati ya adam hadi Muhammad ambae ktk Uislamu ndie mtume na nabii wa mwisho kuliletwa maarifa (vitabu) 4 vikiwemo zaburi, torati injili, quran na vijarida (suhuf) vingi.

kwa hiyo kwa imani ya uislam Quran ni muunganiko wa na nyongeza ya Zaburi, tofati na injili.

Changamoto iliopo ni muunganiko gani kati ya Quran na biblia uko authentic na ndio ulio na maarifa sahihi zaidi.

Iwapo Quran inasema yesu alifundisha ukristo wala hatujui ukristo wala hujawahi kujiita yeye ndie mwenyzimungu.

Iweje ktk mkusanyiko wa zaburi, injili na torati ndani ya biblia ulete contradiction ndani ya biblia na kumnasibisha yesu na ukristo.

Hii ndio kazi ya maarifa ya ubobezi ktk ngazi ya falsafa. Na namkubali Prof Sauli ni mwanachuoni mkubwa wa ngazi ya falsafa hujawahi kutokea tokea dunia iumbwe.

Nadhani nimejibu suali lako.
 
elewa maana ya kitabu.


Si kama unavyojua huu muunganiko wa makaratasi.

Kitabu ni maarifa kutoka kwa mwenye Mungu.

Na walikuwa nayo pekee tofauti na wanadamu wengine hadi leo.

Ndio maana wabaitwa manabii na mitume.

Sasa hawa mnaiwafata si manabii si mitume. Hawa wanakariri baadhi ya maandishi (disinformation) tu.

Kwa hiyo mitume wote hawakukabishiwa hata makaratasi kama ulivyokabidhiwa wewe cheti siku ya mahafali.
 
Unaweza kutupa evidence za haya unayoyaongea?
 
Hao akina mathayo uliowataja hawakuwahi kumuona yesu,walikuta kaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…