Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Uzuri ukitoa hiko kitabu hiyo dini hamna kitu, asilimia tisini na mafundisho na miongozo ni hadithi njoo uongo njoo tamu kolea


Sasa hadithi ni hadithi tu, mi najua hadithi ni za kutunga
 
Hivi unamuamini kweli Muddy? Muddy alikuwa mwendawazimu na ndivyo alivyokuwa anaitwa na watu wa kipindi kile baada ya kuchanganikiwa pale aliposhukiwa na shetani na kupewa Qur'an. Alikuja kupotea kabisa machoni mwa watu aliporudi ndipo akaja na Qur'an kudanganya kuwa kapewa na Mungu, kumbe alipewa na shetani.
 
Reactions: 511
Twende pamoja..... QUR'AN ni muendelezo wa hvyo vitabu vya mwenyez Mungu vilivyotangulia (taurat, zabur na Injil....)

Mwenyez Mungu katika QUR'AN anaeleza wazi kuwaambia waloshushiwa kitabu huko zamani "ili wavielewe vitabu vyao wanatakiwa wasome QUR'AN

USHAHIDI WA BAADHI YA VITU AMBAYO BIBLIA HAINA MAELEZO YAKE ILA YAMO KWENYE QUR'AN

1. Biblia haijaeleza chochote kuhusu nasabu ya Bikra Mariam....(kwamba n mtoto wa nani alizaliwa vipi na alilelewa na nani....)
Lakini QUR'AN imeeleza yote kumhusu kiundani kabisa.... Kwamba baba ake aliitwa Imraan na imeeleza mpaka history ya kuzaliwa kwake, kukua kwake mpk ile siku anatokewa na malaika Gabriel/Jibril

2. Biblia haijaeleza uhusiano uliokuwepo baina ya Yohana Mbatizaji na Yesu.....
Lkn QUR'AN..... Imeeleza vyema kuhusu hilo, kwamba mama yake na Yesu alilelewa nyumbani kwao Yohana Mbatizaji (Yahya) ambaye n mwana wa nabii Zakaria

Sasa hayo ni machache tu ambayo huwezi yafahamu mpaka usome kitabu kitukufu.....

Swali dogo la kujiuliza... Ni wapi kweny biblia mwenyez Mungu alitoa ahadi kwamba baada ya ujio wa yesu hatoleta nabii mwingine?????

Ni wapi kwenye biblia mwenyez Mungu alisema nabii ni lazima atoke Israel????

(Watu wengi wanaomkataa Muhammad sio mtume,,, ukichunguza vizuri ni sababu hakutoka miongoni mwa waisrail).

Swali la mwisho.... Ikitokea leo hii Israel ikadai Kuna nabii mwingine kaja kwao je mtamfata na kumuingiza kwenye hio Biblia, au mtasema ni nabii wa uongo?
Na Kama mtakataa mtatumia andiko lipi kweny kitabu chenu ..... Maana kwenu hakuna sehem Mungu kasema ameacha zoez la kuleta manabii...... Ndio maana kina mwamposa pia n manabiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hawajakurupuka wanaijua vyema katiba ya biblia kwamba hamna kifungu kinakataa ujio wa manabii wapya....


Lakini kwenye QUR'AN tukufu mwenyez Mungu akamaliza utata..... Kasema Muhammad ndie mtume wa mwisho!!!!!

Sasa Kama unamuamini Mwamposa na Zumaridi kuwa n mitume.... Unashndwa vipi kumuamini Muhammad mwenye hoja ambazo zipo mbele ya wakati
 
M
Kwa hiyo huo mkusanyiko ulikuwepo kabla ya quran na bado ukawa ndani ya quran?
Mimi nimetaka ushahidi wa hivyo vitabu kabla ya kujumuishwa kwenye quran.
Injili iliyobaki yenye usahihi yasemekena ni ya barnaba. Sina uthibitisho.

Mkusanyiko wa pili ni agano la kale. Ingawa zimechakachuliwa sana.

Bali masalia yake zaburi, torati na injili yapo ktk agano la kale. Lkn ni yale tu yanayoendana na Quran ndio yako sahihi. Kwa kuwa Quran ina password huwezi ichezea itakuumbua.

Quran ni version mpya ya vitabu hivyo kwa kikafungwa ili kisichakachuliwe. Na mtu akijaribu kitabu Chenyewe kitamsuta.

Njia mbili za kukihifadhi.

Kwanza unaweza kukihifadhi chote kichwani. Hata kwa watoto wadogo.

Anaweza kukiandika chote.

Pili kwa quran (kwa maana ya taurati, injili na zaburi) imehifadhiwa katika zama zetu za kidigitali...... kimehifadhiwa na code maalum. Namba 19.

Ukitaka maelezo zaidi pitia hapa. MIracle of 19 in the Quran

Kwa ufupi usiogope neno Quran. Ni mkusanyiko wa vitabu vilivyopita kabla yake.

Na uthibitisho unaweza kupata ktk sura hizi.

(3:3, 84; 5:46; 17:55; 2:53; 213; 87:19).
 
Aisee sijui tunakuwa na changamoto gani kwenye kuelewa hivi vitu but Cha kusisitiza Yesu hakuwa mwanadamu....
Yesu ni somo la upendo ambalo manabii walilitoa Kwa spirit...
Unavyoambiwa yesu alibadili maji kuwa divai au yesu alitembea juu ya maji...you need to understand the bible as literature not as fucking myth

Jesus taught I unto men...na alizaliwa Kwa uwezo wa roho mtakatifu, mind you...consider in itself Jesus was born....
Tunasoma bible lakini Bado kuielewa imekuwa changamoto...Mungu mwili roho na nafasi...na katika roho au self Kwa lugha nyepesi alizaliwa kristu....

Yesu ni somo la kiroho Kwa ajili ya kumlinda mwanadamu asipotee....ndio maana katika maajabu yote aliyomfanyia mwanadamu utukufu ulibaki katika jina lak
 
Kwamba kabla ya 1924 hakukuwa na kitabu cha Quran? Unaumwa wewe
 
Tumeanza vizuri tu, na nimekuuliza baada ya kusema wewe ni msomi. Lakini wewe ni msomi wa kiwango gani ambae huna uwezo wa kutambua swali linataka nini?

Mpaka kujua hiki ni feki mana yake unakijua orijino. Mimi nimetaka hiyo origina kabla ya quran.

Leo hii nikikuuliza je mwislam anatumia kitabu gani utanipa quran, same way nataka unipe torati, zaburi na injili kabla ya kuwa combined kwenye quran. Ndilo ninilitakalo unatoa maelezo mengi out of context.
 
Injili iliyobaki yenye usahihi yasemekena ni ya barnaba. Sina uthibitisho.
Achana na vitu ambavyo huna proof navyo, vitakufanya uonekane unaokoteza uongo mitandaoni tu. Tujikite kwenye quran rasmi na Bible ramsi.
 

Qur'an inazungumzia visa vinavyosaidia salvation ya mwanandamu. Details ambazo ni irrelevant kwa wokovu wa mwanadamu imeachana navyo, kwa sababu havisaidii sana kufikia lengo la kumcha Mungu.
Qur'an siyo biography za watu, bali ni Muongozo kwa wacha Mungu
 
Aisee ,so details za Issa bin Mariam kuhusu asili yake, aliko zaliwa pamoja na unabii unaotabiri kuja kwake ni irrelevant!! Ila details za yeye kuumba ndege kwa udongo na kumpulizia pumzi akawa hai kama Allah alivyoumba binadamu wa kwanza ni relevant?

Story ya Yesu imekua hijacked na Quran lakini kwa bahati mbaya hijacker hajafanya kazi nzuri ya kujimilikisha hii story. Kwetu wakristo unabii wa kuja kwa Yesu unaanzia kwa Adam na Eve mpaka anakuja kuzaliwa na kufa.

Hakuna details kuhusu Masih ambayo ni irrelevant,Quran inasema uongo kuhusu asili wazazi wa Issa/Yesu (Mariam wa kipindi cha musa imempa umama wa Issa/Yesu😊).Inasema uongo kuhusu Yesu kutokufa msalabani na kufufuka,ila imejiongeza kuhusu Allah kumchukua huyu Issa/Yesu kwake huko peponi.
 
Reactions: 511
Kwamba kabla ya 1924 hakukuwa na kitabu cha Quran? Unaumwa wewe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜… Kaulize wanazuoni wako,first published copy ya Quran ni mwaka 1924 na kabla ya hapo hakukua na Quran copy inayokubalika na waislam wengi. Hata kule Egypt baada ya hii copy ya Hafs mnayotumia kurasmishwa serikali ilitoa amri Quran nyingine zote ziharibiwe aidha kwa kuchomwa moto au kuzamishwa mto Nile.
 
Hiyo umesema wewe Maryam wa Musa na Harun sio mama wa yesu hata Quran haijakuambia hivyo, hawa wote walikua stream moja ya waisrael majina hufanana na hasa jina Harun lilikua akipewa mtu mwema.
Msijadili quran hali hamuisomi wala hamuijui.
Allah ambae amemuumba Adam bila mama wala baba asingeshindwa kumuua yesu msalabani na kumfufua kama angetaka kwake hilo ni jambo jepesi sana,
Sifa yake kuu ni kusema ukweli na haki tupu, Yesu alipaishwa mawinguni na atarudi tena kwa idhini ya mola wake.
 
Kwanza Kwanza ujue Quran ni kitabu pekee ambacho wanadamu wanaweza kukaa nacho kifuani mwao, neno kwa neno hakuna kitabu chochote chenye sifa hii kati ya injili zaburi na torati na ndio maana zimeharibiwa na kuingizwa makosa mengi ya uongo.
Quran imeanza kuandikwa tangu kushushwa kwake, mtume alikua ikishuka aya na wakiiandika waandishi wake, na hata kabla ya mwaka 24 unaosema Quran ipo katika nakala safi kabisa za kila aina kuanzia ngozi za wanyama, magome ya miti, mbao na sehem zingine za kuhifadhi maandishi.
Kubwa kuliko yote Allah ameiandika quran katika ubao wake wa hifadhi huko mbinguni na ameahidi kuilinda na mikono ya wachafuzi ndio maana Quran inayosomwa siku zoooote ni ile ile
 
Ae
Aelewe swali linataka nini. Mimi ninaamini amelielewa ila analikimbia. Tangu Jana ulivyouliza nikajua ameishatoa jibu
 
Reactions: 511
Hii ni hoja dhaifu sana,Unajua kwamba hata zile copy za zamani za Quran kama ile ya Sanaa Yemen ina tofauti zaid ya 100 na hii Hafs ya mwaka 1924, Topkapi manuscript ina tofauti na Sanaa manuscript kwa idadi ya Sura na kwenye sura pia. Wewe unaongelea Quran ipi iliyohifadhiwa? Toka nje ya elimu ya madrasa upate ukweli utakao kuweka huru .
 
Unaweza
Nimeshiriki mjadala huu kwa nia aaanjema ya kubafidilishana fikra, nijifunze na kutoa kile nachokifahamu baada ya kufanyia tafiti.


Naamini kile kidogo nilichokiwakilisha chaweza kuwa ni chachu ya kutafuta ukweli zaidi ili tuwe huru.

Sina cha ziada kwass na shukran for anything
 
Yaan kafiri unajifanya unajua sanaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…