Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Topkapi ni Quran sio masalia😂😂, pastor anahusika vipi hapa? Parts za sanaa Quran zina umri mkubwa kuliko Mohamed baada ya kufanyiwa carbon dating measurements. Wewe umehifadhi Quran ya mwaka 1924 lazima ubishe kwa sababu ina utofauti na Quran za kale.
"However, Carbon dating is at best a good theory, and that is all it is, a theory. Too many people forget the definition of a theory. Theory is not fact; it is a hypothesis that is supported by some experimental evidence. There have been many theories in the past that have been disproved."
Yaani unaniletea kitu cha theory kwenye kitu chenye uhalisia wake.
 
Topkapi ni Quran sio masalia😂😂, pastor anahusika vipi hapa? Parts za sanaa Quran zina umri mkubwa kuliko Mohamed baada ya kufanyiwa carbon dating measurements. Wewe umehifadhi Quran ya mwaka 1924 lazima ubishe kwa sababu ina utofauti na Quran za kale.
Hiyo ni kwa mujibu wako wewe na makafiri wenzio wa kizungu mnaojifanya wanahistoria, wewe unalazimisha masalia ya kihistoria kuwa ni quran masalia ambayo hata Kilwa na Zanzibar yamejaa. Historia ya uandishi wa quran ni somo rasmi ambao lipo kwenye mtiririko rasmi usiokatika yaani ni chain tena ambayo haitopotea kamwe kwa vizazi vingi vijavyo.
Mtiririko huo unaitwa Mutawatwir kagoogle hiyo, yaani nakupa vitu ambavyo viko juu sana ya uwezo wako ili uachane na upumbavu uliokwambia binadamu wa kwanza alikua sokwe na aliishi Arusha Tanzania 😂😂😂😂😂😂
Mzee hizo ni theories tu na wanaozi base wanaweza ku artifact anything just to show they are very close ambapo kiuhalisia they ain't a tiny!
 
ipyax hakikisha makafiri wenzio wanapata mwanga juu ya elimu ninayokupa. Nawaombeeni sana muione nuru mtoke huko gizani mlipo, Allah awamulikie nuru yake, usiku mwema
 
Maviiiiiiiiiiiiiii!!!!! 😂😂😂😂😂
This is the nonsense you've inserted into your brain.👇
Muslims are harsh against the unbelievers, merciful to one another. - 48:25

Fight those who believe neither in God nor the Last Day, nor what has been forbidden by God and his messenger, nor acknowledge the religion of Truth, even if they are People of the Book, until they pay the tribute and have been humbled. - 9:29

Whether unarmed or well-equipped, march on and fight for the cause of Allah, with your wealth and your persons. - 9:41

Fight unbelievers who are near to you. 9:123
 
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Swali ni
Huyo yesu anakunya au hanyi
Kama anakunya, wewe ni mpumbavu , tena ng'weng'we , tope na kamasi kichwani
 
Kuanzia mwanzo wa thread had mwisho nionyeshe sehemu nimeongelea biblia au kutoa kifubgu cha biblia, sitaki hata kuijua, naongelea quran ambayo mnajitahid kuonesha udhaifu wa kuunga unga na gundi 😂😂

What kind of god does not have the ability to influence his people through this messenger unless he orders him to use force to spread Islam?

  • Permitted lying. (Sahih Muslim 6303, Bukhari 49:857)
  • Owned and traded slaves. (Sahih Muslim 3901)
  • Murdered those who insulted him. (Bukhari 56:369, 4:241)
  •  Encouraged his men to rape enslaved women. (Abu Dawood 2150, Quran 4:24)
  •  What are the Greatest Commandments? "Belief in Allah and Jihad in His cause" (Muslim 1:149)
I want to make it clear and straightforward. Islamic religion is not a good one.
  • The Islamic religion is filled with ignorance, intolerance, violence, hatred, sexual immorality, wickedness, and lies.
  • Muhammad, a false prophet who committed many sins, is considered the Master of Islam by Islam. Muslims are enslaved by Muhammad.
  • As Muhammad was a false prophet, Islam is also a false religion for those who are lost.
  • Islam is the record of Muhammad's words, actions, and decisions. Allah's words are not in the Quran. I reiterate that the Quran is not the word of Allah.
  • Allah exists only in the name. Allah is the Arabic term for the greatest deity. That is all. He lacks the vitality or activity of Jesus Christ. To increase Allah's power, might, and life, Muhammad added 99 names or attributes to Him. Does this alter the nature of Allah in any way? NO! Allah remains as he is.
  • Muhammad copied the Torah and the Gospels from other sources. He made a major blunder out of it. He told many falsehoods about the stories in the Torah and Gospels..

Only a cowardly and deceitful God can instruct his messenger to do things to mankind, which is still a lot of ignorance
 
wewe na makafiri wenzio
images (13).jpeg
 
ipyax hakikisha makafiri wenzio wanapata mwanga juu ya elimu ninayokupa. Nawaombeeni sana muione nuru mtoke huko gizani mlipo, Allah awamulikie nuru yake, usiku mwema

Elimu ninayokupa wewe na makafiri wenzako ndiyo hii. Ni wakati wa kuacha kukaza fuvu lako, nuru inakuangazia leo. Upendo wa Mungu kwa watu wake unataka uondoe upofu machoni pako na utambue ukweli na kuufuata.

Mafundisho yanayofundishwa na wanazuoni wa Kiislamu yanajulikana kama Tahrif (kwa Kiarabu kwa maana ya 'upotofu). Kwa mujibu wa Waislamu, Wakristo na Wayahudi wameipotosha Taurati na Injili (Kiarabu na Injil).

Hata hivyo, Muhammad hakufundisha hili. Kama tutakavyoona kutoka katika Quran yenyewe, Muhammad aliwaamuru wafuasi wake wafuate Taurati na Injili na kutafuta wale miongoni mwa Mayahudi na Wakristo waliokuwa na zawadi hizi kutoka kwa Mungu kabla Uislamu haujatokea. Muhammad alidai Mayahudi na Wakristo hawakuelewa ujumbe waliokuwa nao, lakini kamwe hakukana; hakuwahi kukanusha kwamba Mayahudi na Wakristo wana mafunuo ya kweli kutoka kwa Mungu.

Kurani inaonekana kuonyesha kwamba Biblia nzima inatakiwa kuwa muongozo kwa Muhammad, kama tutakavyoona. Hivyo Waislamu wanapaswa kuamini Biblia nzima.
  1. Mitume tuliowatuma kabla yako ni watu tulio wapa wahyi na Vitabu. Waulizeni watu wa kitabu ikiwa mna shaka na haya (Sura 16:43). (Watu wa Kitabu ni Mayahudi na Wakristo.)
  2. Sema: Enyi watu wa Kitabu, hamtapata chochote mpaka mshike Taurati na Injili na yaliyoteremshwa kwenu kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Hakika uliyoteremshiwa kutoka kwa Mola wako Mlezi yatazidisha upotovu na ukafiri wa wengi miongoni mwao. Lakini msiwahuzunike makafiri (Sura 5:68).
  3. Baada yao tulimtuma Isa bin Maryam, yenye kusadikisha Taurati iliyo teremshwa, na tukampa Injili, ambayo ndani yake mna uwongofu na nuru, inayosadikisha yaliyoteremshwa kabla yake katika Taurati, mwongozo na mawaidha kwa mwenye haki. Basi wale wanaoifuata Injili na wahukumu kwa yale aliyoteremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Watenda maovu ni wale ambao hawategemei hukumu zao juu ya mafunuo ya Mungu (Sura 5:46-47).
Muhammad aliamini kwamba Yesu alikuwa nabii na kwamba maneno yake, injili, yanapaswa kuaminiwa na kufuatwa. Kweli matatizo yanaanzia hapa. Ujumbe ninaoutoa kwenu Waislamu ni huu.

Quran inakuusieni kuamini na kufuata Aya za Taurati na Injili. Sitakuwa nimekosea, lakini inaonekana kwangu kwamba Muhammad hakuelewa au alifata mafundisho tofauti ya vyanzo hivi, ambayo aliyakubali kama 'ufunuo' kutoka kwa Mungu.

Katika hatua hii, ninatoa mifano hii michache tu miongoni mwa mifano mingi inayoweza kuwasilishwa.

1. Sura 2:75 inasema Torati ni “Neno la Mungu.”

2. Sura 10:62-64 : “Watumishi wa Mungu hawana cha kuogopa wala kujuta. Wale walio amini na wakajiepusha na maovu watafurahi katika dunia na Akhera. Neno la Mungu halitabadilika kamwe. Huko ndiko ushindi mkuu.”

3. Sura 6:34 inasema "hakuna awezaye kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu."

Mafundisho ya tahrif yanasema kwamba Wayahudi na Wakristo walikuwa wamepotosha neno la Mungu, lakini haifanyi kazi hapa. Zaidi ya hayo, mafundisho ya Naskh pia yanafunzwa na Waislamu. Naskh, ambayo ina maana ya 'kufuta' kwa Kiarabu, ina maana kwamba mafunuo yanayofuata katika Quran yanaweza kushinda yale yaliyotangulia. Kama hakuna uwezekano wa kubadili neno la mungu, nini kimetokea?

4. “Injili” ya awali ya Yesu Kristo, au injil, ni ufunuo kutoka kwa Mungu kulingana na Sura 5:46, 66, 68, na 70 .

5. Yesu alikuwa nabii, na Waislamu wanapaswa kuamini maneno yake (Sura 4:171; 5:77).
Kwa hiyo, Wakristo na Waislamu walilazimika kuikubali "Injili" ya siku za Muhammad, kulingana na Quran.

Kwa hakika, Sura 10:94 inasema, “Ikiwa [Muhammad] ulikuwa na shaka kwa tuliyokuteremshia, basi waulize waliokuwa wakisoma kitabu [Biblia] kabla yako; Hakika imekujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.

Kulingana na baadhi ya masimulizi, Mungu alikuwa akiwasiliana na Muhammad na kumuelekeza kuthibitisha mafunuo aliyokuwa akipokea kwa kwenda kwenye Biblia! Kwa mujibu wa Quran na Muhammad, ikiwa Waislamu watafuata amri ya Mungu, wataishia kuwa Wakristo. Hii ndio sababu ya Tahrif.

Cc ipyax
 
[emoji23][emoji23] utabaki na Upumbavu wako huohuo! Kwwhiyo Huyo mungu wako ndo aliezaliwa kwenye zizi la ngombe na ndo aliyesulubiwa sio ?
 
Unamuamini vip yesu ambaye kaja baada ya Mussa, Daudi 😅😅😅

Ina maana waliokuwepo kabla ya yesu kuja hawakuwa na dini sio?

Kama walikuwa na dini ilikuwaje? Nyie dini yenu imekuja baada ya Yesu kuzaliwa ina maana hapo ndio Mungu wenu kaanza kuwepo Duniani.

Waliokuwepo kabla walimuabudu nan? Mtu unasoma vitabu kabla ya yesu yaani zaburi na torat ..ina maana yesu sio wa wa kwanza 😅😅
Yesu yupo Tangu kuumbwa kwa Ulimwengu.
 
Yote ni ili maneno ya Yesu yatimie aliposema

43 Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo.
Yohana 5:43

Wameaminishwa uongo na wameukubali 100%
 
Elimu ninayokupa wewe na makafiri wenzako ndiyo hii. Ni wakati wa kuacha kukaza fuvu lako, nuru inakuangazia leo. Upendo wa Mungu kwa watu wake unataka uondoe upofu machoni pako na utambue ukweli na kuufuata.

Mafundisho yanayofundishwa na wanazuoni wa Kiislamu yanajulikana kama Tahrif (kwa Kiarabu kwa maana ya 'upotofu). Kwa mujibu wa Waislamu, Wakristo na Wayahudi wameipotosha Taurati na Injili (Kiarabu na Injil).

Hata hivyo, Muhammad hakufundisha hili. Kama tutakavyoona kutoka katika Quran yenyewe, Muhammad aliwaamuru wafuasi wake wafuate Taurati na Injili na kutafuta wale miongoni mwa Mayahudi na Wakristo waliokuwa na zawadi hizi kutoka kwa Mungu kabla Uislamu haujatokea. Muhammad alidai Mayahudi na Wakristo hawakuelewa ujumbe waliokuwa nao, lakini kamwe hakukana; hakuwahi kukanusha kwamba Mayahudi na Wakristo wana mafunuo ya kweli kutoka kwa Mungu.

Kurani inaonekana kuonyesha kwamba Biblia nzima inatakiwa kuwa muongozo kwa Muhammad, kama tutakavyoona. Hivyo Waislamu wanapaswa kuamini Biblia nzima.
  1. Mitume tuliowatuma kabla yako ni watu tulio wapa wahyi na Vitabu. Waulizeni watu wa kitabu ikiwa mna shaka na haya (Sura 16:43). (Watu wa Kitabu ni Mayahudi na Wakristo.)
  2. Sema: Enyi watu wa Kitabu, hamtapata chochote mpaka mshike Taurati na Injili na yaliyoteremshwa kwenu kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Hakika uliyoteremshiwa kutoka kwa Mola wako Mlezi yatazidisha upotovu na ukafiri wa wengi miongoni mwao. Lakini msiwahuzunike makafiri (Sura 5:68).
  3. Baada yao tulimtuma Isa bin Maryam, yenye kusadikisha Taurati iliyo teremshwa, na tukampa Injili, ambayo ndani yake mna uwongofu na nuru, inayosadikisha yaliyoteremshwa kabla yake katika Taurati, mwongozo na mawaidha kwa mwenye haki. Basi wale wanaoifuata Injili na wahukumu kwa yale aliyoteremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Watenda maovu ni wale ambao hawategemei hukumu zao juu ya mafunuo ya Mungu (Sura 5:46-47).
Muhammad aliamini kwamba Yesu alikuwa nabii na kwamba maneno yake, injili, yanapaswa kuaminiwa na kufuatwa. Kweli matatizo yanaanzia hapa. Ujumbe ninaoutoa kwenu Waislamu ni huu.

Quran inakuusieni kuamini na kufuata Aya za Taurati na Injili. Sitakuwa nimekosea, lakini inaonekana kwangu kwamba Muhammad hakuelewa au alifata mafundisho tofauti ya vyanzo hivi, ambayo aliyakubali kama 'ufunuo' kutoka kwa Mungu.

Katika hatua hii, ninatoa mifano hii michache tu miongoni mwa mifano mingi inayoweza kuwasilishwa.

1. Sura 2:75 inasema Torati ni “Neno la Mungu.”

2. Sura 10:62-64 : “Watumishi wa Mungu hawana cha kuogopa wala kujuta. Wale walio amini na wakajiepusha na maovu watafurahi katika dunia na Akhera. Neno la Mungu halitabadilika kamwe. Huko ndiko ushindi mkuu.”

3. Sura 6:34 inasema "hakuna awezaye kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu."

Mafundisho ya tahrif yanasema kwamba Wayahudi na Wakristo walikuwa wamepotosha neno la Mungu, lakini haifanyi kazi hapa. Zaidi ya hayo, mafundisho ya Naskh pia yanafunzwa na Waislamu. Naskh, ambayo ina maana ya 'kufuta' kwa Kiarabu, ina maana kwamba mafunuo yanayofuata katika Quran yanaweza kushinda yale yaliyotangulia. Kama hakuna uwezekano wa kubadili neno la mungu, nini kimetokea?

4. “Injili” ya awali ya Yesu Kristo, au injil, ni ufunuo kutoka kwa Mungu kulingana na Sura 5:46, 66, 68, na 70 .

5. Yesu alikuwa nabii, na Waislamu wanapaswa kuamini maneno yake (Sura 4:171; 5:77).
Kwa hiyo, Wakristo na Waislamu walilazimika kuikubali "Injili" ya siku za Muhammad, kulingana na Quran.

Kwa hakika, Sura 10:94 inasema, “Ikiwa [Muhammad] ulikuwa na shaka kwa tuliyokuteremshia, basi waulize waliokuwa wakisoma kitabu [Biblia] kabla yako; Hakika imekujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.

Kulingana na baadhi ya masimulizi, Mungu alikuwa akiwasiliana na Muhammad na kumuelekeza kuthibitisha mafunuo aliyokuwa akipokea kwa kwenda kwenye Biblia! Kwa mujibu wa Quran na Muhammad, ikiwa Waislamu watafuata amri ya Mungu, wataishia kuwa Wakristo. Hii ndio sababu ya Tahrif.

Cc ipyax
Copy and paste zitakusumbua sana 😂😂😂😂😂😂😂
 
We kweli kenge. Ndivyo mbumbumbu hujibu siku zote.
Kana quran yako sio kuruka ruka kama mjinga. Indeed you are.
Ulitaka nisicopy hiyo quran nitunge kichwani sio?
 
Back
Top Bottom