Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Kila mtu anavutia upande wake😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunarudi palepale ..amini unavyotaka kuamini na mimi nitaamini ninavyoona inafaa ila sote tutakufa tutajua ukweli wa mambo yote haya.Hata qiyama ni neno la kufikirika tu. Majibu siku ya qiyama wapi tushachotwa kisaikolojia!! Ni kama tulivyochotwa binadamu wa kwanza alikuwa km nyani
Huo usio uaminiUkweli ni upi
I bet ulikua hata hujui quran ya kwanza kukubaliwa na jamii kubwa ya waislam ilirasmishwa lini,mshukuru sana mfalme wa misri na Al Azhar university kwa hii copy yenu ya mwaka 1924. Kabla ya mwaka 1924 waislam hamkua na kitabu/Quran ya kuwaunganisha, msithubutu kuongea mabaya kuhusu Biblia yenye miaka zaidi ya 1000 wakati kitbu chenu ndio kwanza kimefikisha birthday ya 100 mwaka huu.Makafiri wanachukua vipande vya kwenye mtandao wanaunga hata aya hazipo. Ndiyo maana wenzetu wakisoma Quran huwa. wanasilimu kwa haraka kutokana na uongo wanaoaminishwa mitandaoni kutoonekana kwenye kitabu.
Ndio maana nilikwambia yahitaji utulivu kuelewa hili somo.Umechangaya mambo ya imani na siasa.
Anyway naomba maana ya sinagog
Mohamed alimuona Yesu? Quran ina mix mafaili kwamba mama yake Yesu alikua dada wa Aron msaidizi wa Musa. Quran haisemi Yesu alizaliwa wapi,alitokea kabila gani la Israel. Kwenye Quran haijulikani Yesu alikua na wanafunzi wangapi,wala majina yao .
Habari za zaburi na tofati sahihi ni hii QuranOk.
Kama kitabu anachotumia mkristo wamelishwa maneno ambayo sio sahihi, naomba nisaidie zaburi, injili na torati sahihi ambazo zimetumika kabla ya qurani (umesema zilikuwepo kabla).
Nikutoe hofu, mimi ni knowledge seeker tu sifungwi na wimbi la imani.
Kwa kauli hii bado una safari ndefu sana ya kujifunza.jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo.
Anza na hiiUnaweza kutupa evidence za haya unayoyaongea?
Ni kweli huelewi.?Ni kweli maana Mudi hana tofauti na mpinga kristu. Kwenye Qur'an alikuja kumuongelea Yesu badala ya kuongea ya Mungu anayemuamini ili waamini wake wasikae kujadili wa imani zingine ndo maana unakuta wanawakamata wanaokula nyakati hizi maana hawajiamini.
Toa na vifungu vya bible kuthidhitisha hoja zakomungu anayeabudiwa pamoja na mjini, si shetani huyo? mungu anayesema kuna majini mazuri na mabaya, ni shetani tu huyo, ndio maana mashehe wenu asipokuwa mshirikina hawezi kuwa shehe, wauza dawa za suna, uganga wa kienyeji, ni dini hii, mungu wenu simtaki.
Someni sana Ili muijue kweli...Kwa kukusaidia tu ukristo na uislam ni Dini ya wazungu na waarabu..hivyo soma Ili ujue wewe mwafrica Dini yako ni ipi?Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Wapi nimesema siamini?Huo usio uamini
Unaongea pumba. Biblia ipi yenye miaka zaidi ya 1000? Mkimezeshwa ujinga mnakuja kupayuku humu.I bet ulikua hata hujui quran ya kwanza kukubaliwa na jamii kubwa ya waislam ilirasmishwa lini,mshukuru sana mfalme wa misri na Al Azhar university kwa hii copy yenu ya mwaka 1924. Kabla ya mwaka 1924 waislam hamkua na kitabu/Quran ya kuwaunganisha, msithubutu kuongea mabaya kuhusu Biblia yenye miaka zaidi ya 1000 wakati kitbu chenu ndio kwanza kimefikisha birthday ya 100 mwaka huu.
Kwa hiyo huo mkusanyiko ulikuwepo kabla ya quran na bado ukawa ndani ya quran?Habari za zaburi na tofati sahihi ni hii Quran
Quran ni mkusanyiko wa zaburi, torati na injili. Na nyongeza au marekebisho madogo ya baadhi ya sheria
Sijaielewa pointi yako,mimi nilikua nahoji kwa nini Quran haielezi Issa bin Mariam alipozaliwa mpaka tukapata taarifa hizo kwenye Hadith? Hadith ni za wanadamu ambazo zimeandikwa miaka 200 baada ya Mohamed,wakati waislam wanadai Quran tukufu ipo kabla dunia haijaumbwa.Kwani maandiko yakiwaita wayahudi "wana" wa Israel inamaanisha kuwa wote wamezaliwa na Israel?.
Siku nyingine jifunze ujue kuwa kuna Undugu wa kiimani vizazi hata vizazi
Unaongea pumba. Biblia ipi yenye miaka zaidi ya 1000? Mkimezeshwa ujinga mnakuja kupayuku humu.
Angalia biblia iliyokuwa inatumiwa enzi za utumwa ipo makumbusho ya USA.
View: https://youtu.be/lvKUOuYn1-c?si=bHfwPO3sR84f2HYv