mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Ndugu zangu mtakuwa mashahidi nchi nzima hii benk imekithiri kwa kupangisha watu foleni.
Si mimi tuu hata msanii wa miondoko ya kufoka foka hapa nchini aliwahi kusema.
Tarehe 30/06 Tawi la kyela nilitumia masaa matatu mpaka kufika dirishani. Kuna muda nahesabu watu wapo kama 130 katika foleni achilia mbali wale walio keti kungoja foleni isogee.
NMB huweka madirisha matano hadi sita ya kuhudumia wateja lakini mara nyingi muhudumu huwa mmoja au wawili.
Ni kipi huchangia huduma za bank hii kuwa duni? Nani yupo nyuma yao?