Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Nikichogundua kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu huduma za kibenki. Wao wanafikiri wanaopanga foleni wote basi wanataka tu kutoa/kuweka pesa!Kwani kwenda bank place ni kutoa pesa tu??
90% ya wanaoingia ndani ni huduma nyingine za kibenki sio kutoa pesa.
Hata hawajui kuna huduma nyingi nje ya hiyo ya kutoa/kuweka fedha. Na mbaya zaidi huduma hizo hazipatikani kwa mawakala.