mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Mawakala wamekuwa jeuri kama wahudumu wa bankWalimu mna kazi sana,mawakala huwaoni?
Bora wewe,me kuna siku nimekaa saa nzima na mbele yangu walikuwa watu wanne tu kwenye foleni. Nadhani moja ya sbb wafanyakazi wao ni wazee,hawana kasi kbs.Ndugu zangu mtakuwa mashahidi nchi nzima hii benk imekithiri kwa kupangisha watu foleni.
Si mimi tuu hata msanii wa miondoko ya kufoka foka hapa nchini aliwahi kusema.
Tarehe 30/06 Tawi la kyela nilitumia masaa matatu mpaka kufika dirishani. Kuna muda nahesabu watu wapo kama 130 katika foleni achilia mbali wale walio keti kungoja foleni isogee.
NMB huweka madirisha matano hadi sita ya kuhudumia wateja lakini mara nyingi muhudumu huwa mmoja au wawili.
Ni kipi huchangia huduma za bank hii kuwa duni? Nani yupo nyuma yao?
Ndio uhalali wao kutupangisha foleni sioNMB Bank inawateja wengi sana kwa Tanzania. Wengi ni watumishi na lower class.
Mshana Jr uje uone picha ya 92 jerrie hukuUkiona mtu anapanga foleni kuchukua hela tafakari sana hebu jiulize anazihitaji sana au haamini kama mwezi umeisha naapata chake alafu uone ugumu wa hawa wafanyakazi maisha yao ile hela anayotoa ishaisha ikiwa bank mikopo, mitaani pia mikopo bado anamajukumu kibao. Ndugu zangu tujitahidi bila kuwa na kitu cha ziada asee bado tunaendelea kuishi enzi za ukoloni kiufupi tunasindikiza waliona vyao.
Imagine mtu anapokea 5-9m tu atapanga foleni?
kipato ni heshima
Mnapanga foleni mnaenda kutoa bulk money au ni kitu gani hasa? Wabongo tunapenda kuonekana tumeingia Bank,Ndugu zangu mtakuwa mashahidi nchi nzima hii benk imekithiri kwa kupangisha watu foleni.
Si mimi tuu hata msanii wa miondoko ya kufoka foka hapa nchini aliwahi kusema.
Tarehe 30/06 Tawi la kyela nilitumia masaa matatu mpaka kufika dirishani. Kuna muda nahesabu watu wapo kama 130 katika foleni achilia mbali wale walio keti kungoja foleni isogee.
NMB huweka madirisha matano hadi sita ya kuhudumia wateja lakini mara nyingi muhudumu huwa mmoja au wawili.
Ni kipi huchangia huduma za bank hii kuwa duni? Nani yupo nyuma yao?
Unless una peleka.million 50 huko bank au unaenda kutoa.milion za kutosha, au kufanya malipo ya mzigo china. Tofauti na hapo ni ujinga kwenda bankMtoa mada umeleta hoja yenye mashiko sana. Benki nyingi nchini ikiwemo hii ya NMB, zinawatesa sana wateja wao kwa kuwaweka kwenye foleni kwa muda mrefu, na bila ya sababu za msingi.
Maana unaweza kwenda benki na kukuta madirisha madirisha 5 ya kutolea huduma. Lakini cha kushangwza unakuta ni madirisha mawili pekee ndiyo yana wahudumu. Halafu mengine unakuta yako tu wazi, huku wahudumu wakizunguka zunguka tu.
Hamia Citibank mkuuNdugu zangu mtakuwa mashahidi nchi nzima hii benk imekithiri kwa kupangisha watu foleni.
Si mimi tuu hata msanii wa miondoko ya kufoka foka hapa nchini aliwahi kusema.
Tarehe 30/06 Tawi la kyela nilitumia masaa matatu mpaka kufika dirishani. Kuna muda nahesabu watu wapo kama 130 katika foleni achilia mbali wale walio keti kungoja foleni isogee.
NMB huweka madirisha matano hadi sita ya kuhudumia wateja lakini mara nyingi muhudumu huwa mmoja au wawili.
Ni kipi huchangia huduma za bank hii kuwa duni? Nani yupo nyuma yao?
Kwani kwenda bank place ni kutoa pesa tu??Mnapanga foleni mnaenda kutoa bulk money au ni kitu gani hasa? Wabongo tunapenda kuonekana tumeingia Bank,