Nikichogundua kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu huduma za kibenki. Wao wanafikiri wanaopanga foleni wote basi wanataka tu kutoa/kuweka pesa!
Hata hawajui kuna huduma nyingi nje ya hiyo ya kutoa/kuweka fedha. Na mbaya zaidi huduma hizo hazipatikani kwa mawakala.