mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Ndio maana hakuna kinachoshindikana, ila sasaaa hadi hiyo sheria ifanyiwe marejeo.Sheria sio msahafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana hakuna kinachoshindikana, ila sasaaa hadi hiyo sheria ifanyiwe marejeo.Sheria sio msahafu.
Great Sir!!!Mabenki yako mengi ni sawa.lakini kama NSSF ikiwa na bank Yake sioni dhambi hapo .Hayo mabenki mengine wanaweza kuwakopesha wafanyabiashara,wakulima,wafugaji,wachimba madini,wavuvi ,makampuni etc.woga wa nini.By the way kumbuka kuwa hela za NSSF ni za wanachama so sioni kwanini wanyimwe fursa hii ya kuwa na benki yao.Hizi siyo fedha za serikali au taasi nyengine
Asante Mkuu kwa Taarifa...NSSF wana HISA nyingi sana (wana miliki ) Azania Bank
Mkuu ukiipata itupie hapa ikibidi uifungulie uzi ...Tuanzie hapa kujenga HOJA kwa manufaa ya TAIFANdugu, Hiyo ilikuwa Agenda Mojawapo ya DR. Ramadhani Dau, kabla hajatumbuliwa.
Njoo Arusha nikuajiri ...wewe elimu yako ni kiwango cha creche...ukiendesha vitz na kamshahara kidogo unajiona matawi ya juu....Siwezi elewa watu wenye mrengo wa kupunguziwa gharama kwendana na wanavyotaka wao
Huo ni ungese
Eti unataka kabisa ianzishwe benki maalumu kwa ajili ya "kusaidia wananchi na gharama"...hivi mnadhani benki zinajiendesha kwa pesa toka mawinguni?
Benki zinajiendesha kwa makato mnayokatwa kupewa huduma za kifedha,hazitoki hewani
Sasa nyie mlivyo majinga mnataka hiyo benki yenu ya utopia isikate hayo makato,ikate mnavyotaka nyie viazi!
Ndio maana Capitalism will never make any sense to you poor people!
Poor people like you wafanyakazi will always never understand capitalism,NEVER!
Meta mada una hoja nzuri tu Benki ingekuwa very strong sababu ina depositors wa uhakika na customer base ya uhakika
Kwenye principles za social security protection hizi companies zinatakiwa kuwekeza kwenye Govt bonds, real eastate na capital markets. Kufanya kazi ya benki moja kwa moja ni kuondoka nje ya sheria iliyowaanzisha. And hiyo ndiyo best practice world wide.Kama wamewekeza Kwenye mabenki si ni biashara tayari?why not it's own bank?
kijana sio muelewa! sjui anajua hyo benk ya nssf ishaanzishwa..! umeenda far sana, kwani ukisoma comment ukaelewa unahisi utachelewa kuandika.. 🙂Duuh.sasa matusi ya nini?huwezi mwelewesha mtu bila matusi? Sidhani kama kuna kitu kinashindikana.
Kumbuka kuwa kuna watu wengi mitaani Hawana ajira.bank hiyo yaweza kuajiri watanzania wengi,yaweza kuchangia kukuza uchumi wa kati etc.unapotoa matusi inaonyesha una conflict of interest.
Wanachama wa NSSF mpo wangapi Tanzania hii?
"Bei Nafuu" ni kiasi gani unachosemea?
Maana ni rahisi kuongea generally "Bei Nafuu" blindly tu....weka figures hapa
Kumbuka tozo zote za mabenki ni BOT approved,sio approved na wewe bwana "Salum"!
Wateja wamekandamizwa na nani?benki gani ilishakandamiza mtu gani?
Huwezi costs za benki,hamisha hela weka chini ya kitanda,simple!
Nchi hii kila mtu analalamika kuhusu huduma na bidhaa,mnataka vya bure?Mnataka benki ziendeshwe na mavi yenu?
Ndio athari ya Umasikini uliokufuru huu,kwahiyo kila bei eti "mnaumizwa"!
great thinker👍Kwenye principles za social security protection hizi companies zinatakiwa kuwekeza kwenye Govt bonds, real eastate na capital markets. Kufanya kazi ya benki moja kwa moja ni kuondoka nje ya sheria iliyowaanzisha. And hiyo ndiyo best practice world wide.
Mzee nssf walikuwa wanajenga majengo sana tu, pia wamejenga daraja la kigamboniSidhani kama miradi inajengwa na NSSF.lete ushahidi.
usingemuelewesha hao huwa wanapenda kubishana tuu! ukitutumia muda kuwaelesha utaishiwa bando.. 🙄Mzee nssf walikuwa wanajenga majengo sana tu, pia wamejenga daraja la kigamboni
wazo zuriMikopo ya bank muda mwingi haisaidii sana watumishi wa umma au sekta binafsi kwa sababu ya riba kubwa.
Sasa kwa sababu watumishi huwa ni wateja wa kudumu wa mfuko huu na kila mwezi wanachangia fedha nyingi, kwa nini NSSF isiwe na bank ambayo itatumika kuwapa mikopo wateja wake kwa riba ndogo sana ili kuboresha kipato cha wateja wake?
Asanteni
Yeye anajua miradi ni SGRusingemuelewesha hao huwa wanapenda kubishana tuu! ukitutumia muda kuwaelesha utaishiwa bando.. 🙄
Kwa serikali ya sasa unachokisema hakiwezekani na hakiwezi kuwa..Mikopo ya bank muda mwingi haisaidii sana watumishi wa umma au sekta binafsi kwa sababu ya riba kubwa.
Sasa kwa sababu watumishi huwa ni wateja wa kudumu wa mfuko huu na kila mwezi wanachangia fedha nyingi, kwa nini NSSF isiwe na bank ambayo itatumika kuwapa mikopo wateja wake kwa riba ndogo sana ili kuboresha kipato cha wateja wake?
Asanteni
Sidhani kama miradi inajengwa na NSSF.lete ushahidi.