Ulipotelea wapi?Jibu lako lipo kwa aliyejibu.View attachment 3356235
Ukiona hivyo ujue nukuu zinawafunga katika utawala huuSalaam!
Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,
Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,
Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Sasa hivi mwendo ni View attachment 3356234
Wanasema uwezo wa mama ni mkubwa kuliko wake, huyu ndiye mama mpya wa taifa.Salaam!
Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,
Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,
Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
We mbwa utakuwa funza lililozaliwa jalalaniHizi ni zama za akili bandia yenye uwezo wa akili kubwa kushinda binadamu wa miaka 1960.......
Mwambie hotuba zake zinaonekana kama mshamba fulani wa mashariki ya kati.....
Ni ishu ya kukimbizana na Majukumu tu,ndugu.
Zinapiga kwenye mshono mpaka kizazi kinachezaSalaam!
Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,
Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,
Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Hotuba za mchonga zinapiga spana utawala uliopo. Ni kama nabii. Lazima wafunike watu wasielimishweSalaam!
Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,
Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,
Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
πWe mbwa utakuwa funza lililozaliwa jalalani
Nyakati zaja hutazisikia kabisaSalaam!
Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,
Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,
Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Ni kupoteza muda bure kunukuu mtu ambaye matendo yake yaliumiza watu wengi wa enzi zake.Salaam!