Kwanini Nukuu za Mwalimu Nyerere zimeadimika kwenye televisioni na radio za Taifa?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,

Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,

Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
 
Sasa hivi mwendo ni
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Hizi ni zama za akili bandia yenye uwezo wa akili kubwa kushinda binadamu wa miaka 1960.......
Mwambie hotuba zake zinaonekana kama mshamba fulani wa mashariki ya kati.....
 
Salaam!

Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,

Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,

Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
Ukiona hivyo ujue nukuu zinawafunga katika utawala huu
 
Salaam!

Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,

Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,

Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
Wanasema uwezo wa mama ni mkubwa kuliko wake, huyu ndiye mama mpya wa taifa.
 
Hizi ni zama za akili bandia yenye uwezo wa akili kubwa kushinda binadamu wa miaka 1960.......
Mwambie hotuba zake zinaonekana kama mshamba fulani wa mashariki ya kati.....
We mbwa utakuwa funza lililozaliwa jalalani
 
Salaam!

Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,

Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,

Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
Zinapiga kwenye mshono mpaka kizazi kinacheza
 
Salaam!

Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,

Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,

Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
Hotuba za mchonga zinapiga spana utawala uliopo. Ni kama nabii. Lazima wafunike watu wasielimishwe
 
Salaam!

Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,

Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,

Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
Nyakati zaja hutazisikia kabisa
 
Ni kupoteza muda bure kunukuu mtu ambaye matendo yake yaliumiza watu wengi wa enzi zake.
 
Back
Top Bottom