Ndio huyo sasa alimgalagaza!..labda kwasababu Kamati Kuu ya Chadema walikuwa hawana uhakika kama Tundu Lissu atarejea toka Ubelgiji.
..sidhani kama Nyalandu anaweza kuwa na ushawishi kwa viongozi wa kamati kuu ya Chadema kumzidi Tundu Lissu.
Alipokuwa chadema hakuwa kichaa?Huyu kichaa eti aliwahi kuwa Waziri!!!!
Kweli Afrika kichwa cha mwendawazimu.
Nali kakwambia alishindwa, acha habari za vijiweni wewe
Sijawahi kumfagilia. Hata nyuzi zangu za nyuma nilipondea kitendo cha kumkaribisha huyu.Alipokuwa chadema hakuwa kichaa?
Inafikirisha sana!
Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.
Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.
Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.
Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.
Mungu ibariki Tanzania.
Wewe ndio limbumbumbu,Mtaji wa CCM ni mambumbumbu,kamati kuu ina wajumbe wangapi?Kwa maelezo yake anasema Lissu alipata kura 24,kamati kuu inawajumbe 30 bila shaka,haya hesabu kwako zombie
Hapa ndiyo alimgaragaza??Inafikirisha sana!
Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.
Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.
Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.
Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.
Mungu ibariki Tanzania.
Nyalandu analeta siasa za kipumbavu za majitaka hivyo lazima ajibiwe kulingana na hadhi yake ya upumbavu. Unakumbuka Mzee Lowasa aliporudi CCM alisema maneno mawili tu'nimerudi nyumbani'. Jee ulishawahi kusikia Chadema wakimnenea mabaya? Nyalandu alikuja kwa Chadema kwa heshima na akapokelewa kwa upendo wote na kuheshimiwa. Sasa kwa sababu ameamua kuiga siasa za kipumbavu za kina polepole basi tutakula naye sahani moja. Ukitaka kuheshimiwa basi na wewe heshimu wengineNikikuonya humu kwamba sasa una kibarua kingine cha kumtukana Nyarandu, unaona sasa kiko wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado mpaka maji muite mma.
Tuendelee kufurahia show
Ni taahira tu anaweza amini huo upuuzi wa Nyalandu. Yaani mkimbizi aje aaminiwe kuliko mzawa? Huyu angekaa kimya tu labda angeaminiwa huko CCM, kwani alipotoka CCM kuja Chadema aliikandia vibaya sana CCM ili ajipatie uhalali huku,sasa anawaona maccm ni hamnazo kiasi kuwa watamuamini kwa kueneza uwongo kuhusu Chadema. Naona anamchukulia Mama poa sana kuwa anaweza kumghilibu kwa sanaa yake hii ya kitopolo.Iko hivi!
Wajumbe wanampigia kura kila mmoja kwa wakati wake kisha wanalinganisha matokeo ya kila mmoja.
Kwa maana hiyo Nyarandu alipata kura zote 30 za ndiyo na kura 0 za hapana.
kisha Lisu yeye alipata kura 24 za ndiyo na 6 za hapana.
Lisu ni debe tupu.
Wajumbe 30ukisoma kwa umakini utagundua huyu Nyallandu analanduka.
View attachment 1772007
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wajumbe walikuwa 30, Nyalandu alipata 100%, na Lisu alipata kira 24, hiyo 100% ni sawa na wajumbe wangapi?Inafikirisha sana!
Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.
Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.
Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.
Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.
Mungu ibariki Tanzania.
Ndio huyo sasa alimgalagaza!
Ila tindo alisema Nayarandu alikuwa na hela sana, inawezekana hela zilifanya kazi
Wajumbe walikuwa 30, Nyalandu alipata 100%, na Lisu alipata kira 24, hiyo 100% ni sawa na wajumbe wangapi?
Ccm mmeanza lini demokrasia?Chadema hakunaga demokrasia
Watu kama hawa hutakiwi upoteze muda wako kuwaelewesha mkuu,ni watu wameamua kujitoa ufahamu kwasababu ya njaa..Lissu alikuwa anaweza kujipigia kampeni mwenyewe, ndio maana hukuona viongozi wakuu wa chadema.
..pia ilionekana kwamba uwepo wa viongozi wakuu ktk kampeni za Lissu unampunguzia nafasi mgombea kujinadi kwa wapiga kura.
..lingine ni kwamba viongozi uliotaka waandamane na mgombea Uraisi walikuwa na wakati mgumu majimboni walikokuwa wanagombea kutokana na hujuma na mbinu chafu za ccm wakisaidiana na tume na vyombo vya dola.
Mkuu fanya mpango urudishiwe ule ubongo wako,hizi sio zama za meko mnajidhalilisha sanakwa mnadhani ilikua ni siri mbna kila mtu alikua anafuatilia na alikuja kufanya interview na generali ulimwengu baada ya ushindi, we uko dunia gan
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji3]Ina maana hadi leo Faraja hajaenda leba? Aseme tumsaidie,asije akaenda kuleta mabroiler kama yale ya bashite