Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

..labda kwasababu Kamati Kuu ya Chadema walikuwa hawana uhakika kama Tundu Lissu atarejea toka Ubelgiji.

..sidhani kama Nyalandu anaweza kuwa na ushawishi kwa viongozi wa kamati kuu ya Chadema kumzidi Tundu Lissu.
Ndio huyo sasa alimgalagaza!

Ila tindo alisema Nayarandu alikuwa na hela sana, inawezekana hela zilifanya kazi
 
Nali kakwambia alishindwa, acha habari za vijiweni wewe

kwa mnadhani ilikua ni siri mbna kila mtu alikua anafuatilia na alikuja kufanya interview na generali ulimwengu baada ya ushindi, we uko dunia gan
 
Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.

Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.

Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.

Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Mtaji wa CCM ni mambumbumbu,kamati kuu ina wajumbe wangapi?Kwa maelezo yake anasema Lissu alipata kura 24,kamati kuu inawajumbe 30 bila shaka,haya hesabu kwako zombie
Wewe ndio limbumbumbu,

Iko hivi,

Wajumbe wote 30 wanampigia kila mmoja kura kwa wakati wake.

Hivyo nyarandu alipata kura 30 za ndiyo na kura 0 za hapana.

Lisu yeye akapata kura 24 za ndiyo na 6 za hapana.

Kwa hiyo Lisu aligalagazwa.
 
Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.

Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.

Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.

Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.

Mungu ibariki Tanzania.
Hapa ndiyo alimgaragaza??
FB_IMG_16200531277729718.jpeg
 
Nikikuonya humu kwamba sasa una kibarua kingine cha kumtukana Nyarandu, unaona sasa kiko wapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado mpaka maji muite mma.

Tuendelee kufurahia show
Nyalandu analeta siasa za kipumbavu za majitaka hivyo lazima ajibiwe kulingana na hadhi yake ya upumbavu. Unakumbuka Mzee Lowasa aliporudi CCM alisema maneno mawili tu'nimerudi nyumbani'. Jee ulishawahi kusikia Chadema wakimnenea mabaya? Nyalandu alikuja kwa Chadema kwa heshima na akapokelewa kwa upendo wote na kuheshimiwa. Sasa kwa sababu ameamua kuiga siasa za kipumbavu za kina polepole basi tutakula naye sahani moja. Ukitaka kuheshimiwa basi na wewe heshimu wengine
 
Iko hivi!

Wajumbe wanampigia kura kila mmoja kwa wakati wake kisha wanalinganisha matokeo ya kila mmoja.

Kwa maana hiyo Nyarandu alipata kura zote 30 za ndiyo na kura 0 za hapana.
kisha Lisu yeye alipata kura 24 za ndiyo na 6 za hapana.

Lisu ni debe tupu.
Ni taahira tu anaweza amini huo upuuzi wa Nyalandu. Yaani mkimbizi aje aaminiwe kuliko mzawa? Huyu angekaa kimya tu labda angeaminiwa huko CCM, kwani alipotoka CCM kuja Chadema aliikandia vibaya sana CCM ili ajipatie uhalali huku,sasa anawaona maccm ni hamnazo kiasi kuwa watamuamini kwa kueneza uwongo kuhusu Chadema. Naona anamchukulia Mama poa sana kuwa anaweza kumghilibu kwa sanaa yake hii ya kitopolo.
 
Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.

Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.

Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.

Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.

Mungu ibariki Tanzania.
Wajumbe walikuwa 30, Nyalandu alipata 100%, na Lisu alipata kira 24, hiyo 100% ni sawa na wajumbe wangapi?
 
Ndio huyo sasa alimgalagaza!

Ila tindo alisema Nayarandu alikuwa na hela sana, inawezekana hela zilifanya kazi

..Halafu nini kilitokea kwenye mkutano mkuu wa chadema?🤣🤣
 
Wajumbe walikuwa 30, Nyalandu alipata 100%, na Lisu alipata kira 24, hiyo 100% ni sawa na wajumbe wangapi?

..Nadhani kwenye kamati kuu wajumbe wanatakiwa wawapigie kura wagombea watatu.

..kwa hiyo kila mjumbe wa kamati kuu anapigia wagombea watatu watakaokwenda kwenye mkutano mkuu.

..Hao top 3 ndio wanapigiwa kura na mkutano mkuu kupata mgombea mmoja atakayepeperusha bendera ya chama.

..Mwaka 1995 Msuya na Kikwete walipata kura nyingi kuliko Mkapa ktk Halmashauri Kuu ya CCM.

..Walipofikishwa mbele ya mkutano mkuu Mkapa akaibuka kidedea. Msuya aliyeshinda kwenye Halmashauri kuu akawa wa mwisho ktk kura za mkutano mkuu.

Cc Nguruvi3, Crimea
 
Wezi na wanaofikiri wana haki ya kuongoza kuliko wengine wameanza kurudi, huyu nikisikia anaenda kugombea ubunge popote nitamchangia mpinzani wake za kutosha
 
Ameandika kaka yangu Abdoulquarim Malisa, kada wa CCM wilaya ya Kinondoni.
______
Nyalandu unasema moja ya sababu iliyokuondoa Chadema ni kushangilia kifo cha JPM. Lakini tuliona Chadema na vyama vingine vikitoa salamu za pole na viongozi wake wakahudhuria mazishi. Je hao walioshangilia ulijuaje ni Chadema? Kwanini hukudhani ni ACT, CUF au CHAUMA? Au walipokua wakishangilia walionesha kadi za Chadema? Hovyo sana.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa CCM ulisema watanzania wameishi bila furaha kwa miaka kadhaa. Na ukamuomba mama Samia aseme neno la faraja. Ulimaanisha watu walipoteza furaha kipindi cha JPM. Lakini leo unasema umesikitishwa na watu kushangilia kifo chake. Sasa hao walioshangilia si ndio umesema walinyimwa furaha? Kama kweli walinyimwa furaha na aliyewanyima kaondoka kwanini wasifurahi? Mbona unajichanganya Nyalandu?

Au umejishtukia kwamba juzi uliboronga uliposema Magufuli aliwanyima watu furaha, leo ukaona usawazishe kwa kusema umesikitishwa na Chadema kushangilia kifo chake. Acha unafiki wewe. Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.

Umesema wale watoto waliopata ajali Arusha ni JPM ndiye aliyetoa dhamana (Pesa) wakatibiwe Marekani (zaidi ya TZS 2Bil). Kama ni kweli mbona hukusema kipindi akiwa hai? Kwanini usubiri hadi afe ndipo useme? Mnafiki wewe.

Halafu huyu aliyewalipia matibabu watoto (tena bila kujitangaza) ndio umesema kwamba aliwanyima watanzania furaha? Acha hizi ngonjera aisee.

Wakati unaondoka CCM ulisema Lissu alishambuliwa na serikali, ukadai bunge limegeuka rubber stamp, ukalaani watu kutekwa na kupotea, ukasema CCM walikuchukia ulipomtembelea Lissu hospitali.

Sasa hebu tuambie hayo madai yamepatiwa majibu kabla ya kurudi? Je waliompiga risasi Lissu bado wapo serikalini? Je bunge limeacha kuwa rubber stamp? Je waliokua wakifanya matukio ya utekaji na kupoteza watu wamekamatwa? Je CCM imeacha kukuchukia kwa kumtembelea Lissu? Hebu jibu hizi hoja kwanza kabla ya kutengeneza majungu mapya.

Kipindi unaenda Chadema ulitoa Siri za CCM ili uaminiwe huko. Sasa umerudi unajifanya kutoa siri za Chadema ukidhani itakusaidia kuaminika tena. Lakini sisi tunajua huna MKIA. Kaa zizini utulie.!
 
Chadema hakunaga demokrasia
Ccm mmeanza lini demokrasia?
1. Lowassa alienguliwa na nani?
2. Kwanini 2020 mlizuia watu kuchukua fomu kushindana na mwenda zake tena mkatoa mkwara sawa na Korea kaskazini?
 
..Lissu alikuwa anaweza kujipigia kampeni mwenyewe, ndio maana hukuona viongozi wakuu wa chadema.

..pia ilionekana kwamba uwepo wa viongozi wakuu ktk kampeni za Lissu unampunguzia nafasi mgombea kujinadi kwa wapiga kura.

..lingine ni kwamba viongozi uliotaka waandamane na mgombea Uraisi walikuwa na wakati mgumu majimboni walikokuwa wanagombea kutokana na hujuma na mbinu chafu za ccm wakisaidiana na tume na vyombo vya dola.
Watu kama hawa hutakiwi upoteze muda wako kuwaelewesha mkuu,ni watu wameamua kujitoa ufahamu kwasababu ya njaa
 
Back
Top Bottom