Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Sawa nimesoma, hebu nileteni T Lisu naye nimsikilize kabla sijanawa mikono wajameni
 
Chadema ni mkusanyiko wa watu wenye kupenda dhuluma, wacha Chama libaki na wenye mlengo huo, mwisho wa siku wadhurumiane wao Kwa wao

Kama ulishawahi kumwona bingwa wa utapeli naye katapeliwa!! Ndicho kitakachofuata hapo Chadema

Wataanza kuwindana wao Kwa wao baada ya waliokuwa kwenye riski ya kutapeliwa kukikimbia Chama, watawindana matapeli Kwa matapeli, sjui Nani ataibuka mshindi Kati Yao

Embu wacha tuone huko mwishoni itakuwaje??
 
Chadema ni lichama la hovyo kuwahi kutokea.
Nadhani hatujamwelewa Nyalandu. Kimsingi anamsifia Lissu ambaye ndiye aliyekuwa mshindi kwa asilimia 80, kwa kupata kura 24 kati ya 30. Umejibu bila hata kuelewa nini kinaongelewa
 
Wajumbe walikuwa 30. Tundu akapata kura 24.. Zilibaki ngapi za kumgagaza Lissu hizo za kishindo
 
Nakumbuka Sofia, nchmbi, kimbisa walitoka cc wakidai kanuni zilivunjwa lowassa akakatwa.

Dogo ilikuwa hujabalehe
 
Usianzishe Uzi kwa kukurupuka... Kasikilize vizuri alichosema Nyalandu...
 
Tunaiprenda wenyewe...[emoji446][emoji446][emoji443][emoji443]
Chaguo letu wenyewe[emoji444][emoji441][emoji448][emoji448]
Si bora huko hata alishindanishwa, huko alikokimbilia, mgombea urais aliprintiwa fomu moja tu na aliyeonesha nia ya kumchalenge akafukuzwa chama.
 
Nyalandu gani wa kumgaragaza Lissu kwenye hoja?

Kikwete alisema ni afadhali mimi nisiwe Rais lakini TL asiingie bungeni. TL akipanga hoja zake ni mwiba kwelikweli.
umeendelea kumwamini jk mpaka umri huo hujashtuka!!!

kampokea nyarandu juzi pale dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…