OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
utasema huyu mtu ni timamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amerudi kuugana na wenzake kuendeleza maangamizi ya kufisadi nchi - alimkimbia dikteta Jiwe, kajidai kwenda msibani chato ku-fix tu kumbe anachekelea tumboni.Sio sababu za Nyalandu kurejea ccm, Sababu kuu ni jiwe kufariki na fursa mpya kwa Mama kupitia kina Kikwete.
Kwa taarifa yako hata huyo jiwe 2015 hakushinda kura za maoni, alipigwa na mwanamama balozi.Ndo maaana mnaishiaga kupigiwa kelele na wanaboda boda tu maaana mkipewa ushauri hamuelewagi.
Kumbe umefudhu ujingaaUmemaliza kuandika? Soma ulichoandika kisha jiambie " hakika nimefuzu ujinga"
Kwa kweli nyie akili zenu sijui ziko kwenye nini maana kama ni kwenye ubongo basi ni wa tope!Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Tundu Lisu alipata kura 24 na chizi kapata 4= 100%Hizo stori zakijiweni, kwanini hakusema akiwa huko huko?
Nyalandu alikuwa hana ubavu wa kumshinda Tundu Lissu, yeye ni wa kuja tu hapa asingeweza kuaminiwa hata kidogo. Yeye awe mwanaume aseme tu ukweli kuwa aliondoka CCM kuogopa, sasa hayupo tena CCM ndiyo maana amerudi. Hayo matango pori yake awalishe wenzake wa CCM.Inafikirisha sana!
Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.
Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.
Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.
Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.
Mungu ibariki Tanzania.
Huyu ana viashiria vyote vya ushogaukisoma kwa umakini utagundua huyu Nyallandu analanduka View attachment 1772007
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Umeokota wapi huo uongoNilivyoelewa Mimi ni kila mgombea anapigiwa kura za ndio na hapa then matokeo yanalingahishwa baadae, so nyarandu alipata zote then lisu alipata hizo 24.
Mshindi alikua nyarandu. Hongera sana nyarandu kutoboa ugenini
Tangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata rais wa hovyo kama marehemu dikiteta magufuli, dikiteta magufuli asingeweza kupata kura hata moja mbele ya Membe.
Kumbe ni ulivyoelewa wewe, wenzako tumeelewa tofauti.Nilivyoelewa Mimi ni kila mgombea anapigiwa kura za ndio na hapa then matokeo yanalingahishwa baadae, so nyarandu alipata zote then lisu alipata hizo 24.
Mshindi alikua nyarandu. Hongera sana nyarandu kutoboa ugenini