Pamoja na madhara yote hayo + imani za dini zetu, mimi binafsi namchukia nguruwe kwa jambo moja tu.
ukimuweka pamoja na wanyama wenzake mfano, mbuzi,kondoo, paka,sungura n.k, ukawapa chakula utashangaa kuona nguruwe anapendelea kula uchafu kuliko wanyama wengine. mimi ua spend mnyama huyu asivyo chagua msosi yaani vyote twende kazini. sababu nyingine binafsi lakini, nikimuangalia umbile lake haswa pale kwenye domo lake lilivyo kaa ua simpendi. Nafikiri ana nenepa sana kwa sabb anaongoza kwa kula kila kitu.
Vp bata na kambale

