Kwanini nyama ya Nguruwe ni bora kuliko ya Ng'ombe?

Pamoja na madhara yote hayo + imani za dini zetu, mimi binafsi namchukia nguruwe kwa jambo moja tu.
ukimuweka pamoja na wanyama wenzake mfano, mbuzi,kondoo, paka,sungura n.k, ukawapa chakula utashangaa kuona nguruwe anapendelea kula uchafu kuliko wanyama wengine. mimi ua spend mnyama huyu asivyo chagua msosi yaani vyote twende kazini. sababu nyingine binafsi lakini, nikimuangalia umbile lake haswa pale kwenye domo lake lilivyo kaa ua simpendi. Nafikiri ana nenepa sana kwa sabb anaongoza kwa kula kila kitu.

Vp bata na kambale
 
HAPA DUNIANI KATIKA VYAKULA HAKUNA CHAKULA KITAMU KAMA KITI MOTO MI NAKULA HADI MAINI . Hata ikitokea kitimoto akawa anaambukiza ukimwi mi ntakula tu kama vile tunavyotumia ile starehe inayoua.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kwanza naomba uelewe kuwa hiyo kitu ni dawa ya UKIMWI. Muathirika ukiila tu mambo yako yanakuwa swafiiiii. Wajinga ni wale mnaoikataa. Hivi nikuulize, tena kuna mtu ameuliza humu humu je umewahi kula muwa uliooteshwa kando ya maji taka?? Unasema ati pig anakula uchafu. Ndiyo chakula chake hicho. Hata mizoga yeye yu ala. Mashine yake inakisaga na kutengeneza fats na protein.
Ukimchunguza bata, huwezi kumla sembuse kiti moto? Mbona ngombe wanakula majani vichakani walimojisaidia watu? Mbona mchicha wa bonde la msimbazi unaliwa?
Msijifanye wasafi huku mwala vichafu tu. Kiti moto mbichi usile lakini ikitengenezwa na fundi stadi, wallah! weye utakula tuu tena wazi wazi bila kujificha
 
Jibu, nguruwe ni nyama bora kuliko ng'ombe ni kwa sababu ndio nyama inayo kufanya ufike ahela mapema kuliko nyama nyingine.
. . . . . .
 
Nyanya zenye rangi nyekundu zina madhara na ndyo hata wagonjwa wa kisukar hushauriwa kula nyama nyeupe kama ya kuku ,samaki ikiwemo na hot chair.
 
jaman mimi mgen humu jamii forum msaada please!!
 
Nyama ya nguruwe ni nyama nzuri kiafya kwa sababu si nyama nyekundu sana na ni rahisi kumeng'enywa.

Nguruwe pia wana magojwa kama homa ya nguruwe, minyoo. Lakini ng'ombe wana magonjwa mengi na hatari zaidi kuliko nguruwe kama Sotoka, Minyoo (tegu), TB, kichaa cha ng'ombe, homa ya bonde la ufa, midomo na miguu nk.

Pia nyama ya ngombe ni nyekundu na ngumu, inaweza kusabisha Bawasili (Kutoka nyama sehemu ya haja kubwa) na pia kusabisha kukosa choo.

Kula Kitimoto kwa furaha na afya yako. Ni tamu, haikinai na pia ni nzuri zaidi kwa afya kuliko nyama ya ng'ombe!

Ukiweza tafuna na mifupa pia kwani inatafunika kirahisi utapata madini ya chuma, kalisiamu na fosifeti moja kwa moja, madini haya yanasaidia kuongeza damu na kuimarisha mifupa na meno.

Athari za nyama ya nguruwe kiafya na kiimani

Nguruwe katika mwili wake hukusanyika jumla ya vijiumbe maradhi visivyoondoka kwa kuoshwa
Mdomo ni maficho ya vijidudu, bakteria na virusi vinavyokwenda kwa binadamu na wanyama.

Baadhi yake vinamhusu nguruwe, mfano wa kidudu kiitwacho Trchinella, nywelenywele ziitwazo Balantidium Dysentery, wadudu wa tumbo (Taenia Solium) na mchango wa nguruwe (Spiralis). Baadhi yake huingizwa kwenye maradhi mengi ya pamoja baina ya binadamu ( Cysticercosis & Influenza) na wanyama.

Minyoo (Ascaris na Fasciolopsis Buski) hupatikana kwa wingi nchini China.
Maradhi ya Balantidiasis hupatikana kwa wachunga nguruwe na wenye kuchanganyika nao, na yanaweza kuenea

kwa sura ya mlipuko kama ilivyotokea katika moja ya visiwa vya bahari ya Pacific baada ya kimbunga. Maradhi yanakuwepo panapokuwepo nguruwe katika nchi zilizoendelea kiviwanda kinyume na madai ya uwezekano wa kuushinda uchafu wake kwa kutumia teknolojia mpya zinazoharamisha kula nyama bila ya kibali, hasa nchini Ujerumani, Ufaransa, Philippines na Venezuela.

Kwa kula minofu ya nyama ya nguruwe, (Trichinellosis) hupatwa na ugonjwa wa Balantidium Dysentery. Kwani mke hubungua kuta za matumbo kwa ajili ya kuweka mayai ambayo yanafikia kiasi cha 10,000. Mayai hayo huingia kwenye misuli kupitia damu na kugeuka kuwa ni vijiyai vyenye kuambukiza.
Ama kupata maradhi kupitia mchango wa nguruwe, ni kuwa hiyo hupatikana baada ya kula minofu ya nguruwe mwenye ugonjwa.

Minyoo hukua kwenye mchango wa binadamu na urefu wake unaweza kufikia meta saba, na unakuwa na kichwa chenye miba inayosababisha kukwaruzika kwa kuta za michango na mchupo mkubwa wa damu, na ana mirija minne na shingo. Aina za mke huzaliwa kama kwamba ni wanyama pekee na hufikia maelfu. Na katika kila mmoja kati ya mnyama, huzaliwa zaidi ya mayai elfu moja iwapo utakula Cysticercosis.

Kupatwa na ugonjwa wa minyoo ya tumbo la binadamu, hutokana na kula chakula kilichoingia mayai na kutoa lava, na huingia katika damu kupitia kiungo chochote. Na hatari yake hukisiwa kwa mujibu wa umuhimu wake.
Maradhi haya hayatokei kabisa kutokana na kupatwa na mchango usio na miba katika kichwa na wenye madhara madogo

kabisa Taenia Saginata ya ng’ombe.

KIIMANI
kwa upande wa Quran
"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).

KWA UPANDE WA BIBILIA“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao” wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 – 8).

HABARI MBAYA KWA WALA NGURUWE A.K.A KITIMOTO HII HAPA

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.

Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata minyoo hiyo ambayo huingia kichwani na kusababisha kifafa.

Akizungumza na mwandishi hivi karibuni, Mhadhiri na Mtafiti wa Idara ya Sayansi ya Wanyama na Uzalishaji ya SUA, Profesa Faustine Lekule, alisema sampuli za utafiti huo kutoka Mbeya, zimebaini nguruwe wengi wakiwamo wanaosafirishwa katika miji mikubwa wameathirika na minyoo hiyo.

Kwa mujibu wa Profesa Lekule, wataalamu wa SUA wanaosimamia Mradi wa Utafiti wa Kuboresha Ufugaji wa nguruwe kwa mkoa wa Mbeya ili kuinua pato la kaya, unaofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Denmark (DANIDA), walibaini hatari hiyo baada ya kuchukua sampuli ya nyama ya nguruwe kwa ajili ya vipimo.

“Majibu ya sampuli ambazo wataalamu wamezichukua kutoka kwa nguruwe wa wafugaji kwenye baadhi ya vijiji, wamebainika kukumbwa na hatari hii.

“Lazima jitihada za makusudi zichukuliwe katika kutafuta ufumbuzi wa pamoja wa tatizo hili kati ya watafiti na Serikali,” alisema Profesa Lekule.

Alisema maambukizi ya tegu au minyoo ya nguruwe yanatokana na tabia za baadhi ya wafugaji kutozingatia ufugaji bora kwa kuwaacha kujitafutia chakula na maji mitaani na kula kinyesi cha binadamu.

Kwa mujibu wa Profesa Lekule, baadhi ya wafugaji wamekuwa wakijisaidia vichakani na kuwaacha nguruwe kutafuta malisho katika vichaka na kula kinyesi chao, hali inayochangia ongezeko la maambukizi ya minyoo ya tegu hao.

Baada ya kula kinyesi minyoo humwingia mwilini na kumdhoofisha na baadaye binadamu anapokula nyama ambayo haijaiva vizuri, minyoo hiyo humwingia na kusababisha kifafa baada ya kuingia kichwani.

Alisema athari za kuenea kwa maambuziki hayo inaweza kutokea katika miji mikubwa ikiwamo Dar es Salaam kwa kuwa nguruwe wa Mbeya husafirishwa na kuuzwa maeneo hayo.

“Hatua hii inaweza kusababisha kusambaa kwa ugonjwa huu, hivyo ushirikiano kati ya wafugaji, wafanyabiashara, Serikali na wataalamu wa afya katika kufikia hatua ya kumaliza changamoto hii unahitajika,” alibainisha Profesa Lekule

Wabongo Kuleni Kitomoto Mkiumwa Ugonjwa wa Kifafa dawa ninayo ninauza shilingi Millioni 1. Ukitaka Dawa ya Kifafa bonyeza hapa.
Mawasiliano

Athari za nyama ya nguruwe kiafya na kiimani

Nguruwe katika mwili wake hukusanyika jumla ya vijiumbe maradhi visivyoondoka kwa kuoshwa
Mdomo ni maficho ya vijidudu, bakteria na virusi vinavyokwenda kwa binadamu na wanyama.

Baadhi yake vinamhusu nguruwe, mfano wa kidudu kiitwacho Trchinella, nywelenywele ziitwazo Balantidium Dysentery, wadudu wa tumbo (Taenia Solium) na mchango wa nguruwe (Spiralis). Baadhi yake huingizwa kwenye maradhi mengi ya pamoja baina ya binadamu ( Cysticercosis & Influenza) na wanyama.

Minyoo (Ascaris na Fasciolopsis Buski) hupatikana kwa wingi nchini China.
Maradhi ya Balantidiasis hupatikana kwa wachunga nguruwe na wenye kuchanganyika nao, na yanaweza kuenea

kwa sura ya mlipuko kama ilivyotokea katika moja ya visiwa vya bahari ya Pacific baada ya kimbunga. Maradhi yanakuwepo panapokuwepo nguruwe katika nchi zilizoendelea kiviwanda kinyume na madai ya uwezekano wa kuushinda uchafu wake kwa kutumia teknolojia mpya zinazoharamisha kula nyama bila ya kibali, hasa nchini Ujerumani, Ufaransa, Philippines na Venezuela.

Kwa kula minofu ya nyama ya nguruwe, (Trichinellosis) hupatwa na ugonjwa wa Balantidium Dysentery. Kwani mke hubungua kuta za matumbo kwa ajili ya kuweka mayai ambayo yanafikia kiasi cha 10,000. Mayai hayo huingia kwenye misuli kupitia damu na kugeuka kuwa ni vijiyai vyenye kuambukiza.
Ama kupata maradhi kupitia mchango wa nguruwe, ni kuwa hiyo hupatikana baada ya kula minofu ya nguruwe mwenye ugonjwa.

Minyoo hukua kwenye mchango wa binadamu na urefu wake unaweza kufikia meta saba, na unakuwa na kichwa chenye miba inayosababisha kukwaruzika kwa kuta za michango na mchupo mkubwa wa damu, na ana mirija minne na shingo. Aina za mke huzaliwa kama kwamba ni wanyama pekee na hufikia maelfu. Na katika kila mmoja kati ya mnyama, huzaliwa zaidi ya mayai elfu moja iwapo utakula Cysticercosis.

Kupatwa na ugonjwa wa minyoo ya tumbo la binadamu, hutokana na kula chakula kilichoingia mayai na kutoa lava, na huingia katika damu kupitia kiungo chochote. Na hatari yake hukisiwa kwa mujibu wa umuhimu wake.
Maradhi haya hayatokei kabisa kutokana na kupatwa na mchango usio na miba katika kichwa na wenye madhara madogo

kabisa Taenia Saginata ya ngombe.

KIIMANI
kwa upande wa Quran

"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).

KWA UPANDE WA BIBILIANguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 8).

HABARI MBAYA KWA WALA NGURUWE A.K.A KITIMOTO HII HAPA

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.

Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata minyoo hiyo ambayo huingia kichwani na kusababisha kifafa.

Akizungumza na mwandishi hivi karibuni, Mhadhiri na Mtafiti wa Idara ya Sayansi ya Wanyama na Uzalishaji ya SUA, Profesa Faustine Lekule, alisema sampuli za utafiti huo kutoka Mbeya, zimebaini nguruwe wengi wakiwamo wanaosafirishwa katika miji mikubwa wameathirika na minyoo hiyo.

Kwa mujibu wa Profesa Lekule, wataalamu wa SUA wanaosimamia Mradi wa Utafiti wa Kuboresha Ufugaji wa nguruwe kwa mkoa wa Mbeya ili kuinua pato la kaya, unaofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Denmark (DANIDA), walibaini hatari hiyo baada ya kuchukua sampuli ya nyama ya nguruwe kwa ajili ya vipimo.

Majibu ya sampuli ambazo wataalamu wamezichukua kutoka kwa nguruwe wa wafugaji kwenye baadhi ya vijiji, wamebainika kukumbwa na hatari hii.

Lazima jitihada za makusudi zichukuliwe katika kutafuta ufumbuzi wa pamoja wa tatizo hili kati ya watafiti na Serikali, alisema Profesa Lekule.

Alisema maambukizi ya tegu au minyoo ya nguruwe yanatokana na tabia za baadhi ya wafugaji kutozingatia ufugaji bora kwa kuwaacha kujitafutia chakula na maji mitaani na kula kinyesi cha binadamu.

Kwa mujibu wa Profesa Lekule, baadhi ya wafugaji wamekuwa wakijisaidia vichakani na kuwaacha nguruwe kutafuta malisho katika vichaka na kula kinyesi chao, hali inayochangia ongezeko la maambukizi ya minyoo ya tegu hao.

Baada ya kula kinyesi minyoo humwingia mwilini na kumdhoofisha na baadaye binadamu anapokula nyama ambayo haijaiva vizuri, minyoo hiyo humwingia na kusababisha kifafa baada ya kuingia kichwani.

Alisema athari za kuenea kwa maambuziki hayo inaweza kutokea katika miji mikubwa ikiwamo Dar es Salaam kwa kuwa nguruwe wa Mbeya husafirishwa na kuuzwa maeneo hayo.

Hatua hii inaweza kusababisha kusambaa kwa ugonjwa huu, hivyo ushirikiano kati ya wafugaji, wafanyabiashara, Serikali na wataalamu wa afya katika kufikia hatua ya kumaliza changamoto hii unahitajika, alibainisha Profesa Lekule

Wabongo Kuleni Kitomoto Mkiumwa Ugonjwa wa Kifafa dawa ninayo ninauza shilingi Millioni 1.

Ungetaja na faida zake kiafya.
 
Kitimoto Ni white meat kimuonekano tu ila kiuhalisia Ni nyama nyekundu kwasababu ina myoglobin nyingi tu.
Hivyo siyo nzuri kiafya Kama tunavyojifariji.
Plus,Ina mafuta mengi yanayoweza kusababisha magonjwa mengi haswa ya moyo na kupoteza uwezo wa kuzaa.
Pia,nguruwe Ana bacteria wengi Sana Wanaoweza kusababisha magonjwa.Magonjwa mengine yana athiri hadi ubongo.
Personally,siwezi kuacha kula kitimoto.
Kwa hiyo ushauri Ni kula kwa kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakao dhurika ni wengi na pia niwabishi hata ukiwaambia nini labda ashuke yesu aje awaambie na pia kuna wengine hawato muelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitimoto hana madhara yeyote yale jama ilivyo kwa nyama zingine tena ni bira zaid ya kitimoto sababu mafuta yake mepesi na pia hayana madhara, swala la magonjwa kila myama akiwa mgonjwa nuyama yake haifai hata kuku akiumwa mdondo hushauriwi kula nyama yake hivyo magonjwa madhara mengi yanayo pakazwa kwa kuguruwe ni ya kukizwa tu na watu wa mlengo fulani ambao ni ant kitimoto lakin ninnyama sagi kuliko ya ng'ombe

Na kuhusu hao minyoo , watu wasiwe waongo minyoo hufa pale nyama inapo kaangwa na kuiva vyema nama isiyo iva vyema hata ikiwa ni ngo'ombe au kuku ina madhara kiafaya
 
na minyoo wanakuwa wengi pale mfugaji ukiwa mchafu;namaanisha banda
 
Back
Top Bottom