Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Status
Not open for further replies.
Huko PM kuna mambo acheni tu...wengine watakushushia shida zao as if wewe ni mlezi wake..nyie acheni tu...(Yaliyonikuta siri yangu)
 
Huko PM kuna mambo acheni tu...wengine watakushushia shida zao as if wewe ni mlezi wake..nyie acheni tu...(Yaliyonikuta siri yangu)
Ndio maana pakaitwa pm ya huko yaache huko hukoo
 
Ambaye kafunga pm yake naomba aniambie nimtext ili nijue pm iliyofungwa inakuaje ukiitumia ujumbe.
 
Nina pm kama za watu 60 chaa ajabu wote vidume. Ukimfuata She humu anakutolea nje kukufungulia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom