Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Status
Not open for further replies.
Sio najipa moyo..ndio ukweli mtupu huo ndugu yangu....Ningekuwa mjinga² usingeona nachangia mada hii....

Ila kunyimwa kuingia PM na kuitwa Mjingamjinga Yataka moyo [emoji81] [emoji23]

Tutafanyaje sasa mkuu...
Ndiyo imeshatokea sisi ni wajinga na sio accidentally. Labda tukafanye revenge peponi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Tutafanyaje sasa mkuu...
Ndiyo imeshatokea sisi ni wajinga na sio accidentally. Labda tukafanye revenge peponi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ahaahah upole utawale tu...ukiona mlango umefungwa PM unajikaza ki_men halafu life linasonga kama kawa unaendelea na ishu nyingine..usife moyo
 
Kweli kuna mmoja nilimuona humu anajielewa na kumfwata duu kafungaa
 
Hakuna wakunichapia hata siku moja... J believe that... I believe her as well... I know her very well...

Cc: mahondaw

Hapana chezea Smart911 ni Mtu makini na ananajiamini sanaaaaa
huwa hayumbishwi na wajinga wajinga wanaotaka mchukulia attention yake
anajitambua sana
mtu wa msimamooo Akipenda amependa kweli na Anajua kupenda haswaaaaaa

Smart911 a man of my life
The real one
one and only
wewe ni wa thamani sana kwangu sikuachi NG'O Smart911 nakung'ang'ania kama rubaaa nakushika kama yaiii
sitaki uniponyoke walahi nakupenda si utani Smart911 ujue
nishamwambia mama mwenzio
hahahaha
miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol
can they guess what next???
OMG
nacheka kwa dhaaaraau
 
Lol!! Taratibu love... Twende taratibu... Love you more as well.. Sikutaka hata huuone huu uzi kwa kweli... Nilitaka upite kimya kimya kama hujaniona vile...

Lakini daah... Umekuja mbio... [emoji8] [emoji8] [emoji8] pokea salamu hizo kwanzo wangu kipenzi... Alafu sasa ndiyo uniambie super dear...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom