Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Status
Not open for further replies.
Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!

Nawasilisha Team Hustle pm.
Hacha wafunge maana kuna watu wasio jielewa wakikataliwa huko pm wanakuja kumwaga povu huku public wakati yalikuwa ni mambo ya privacy. Wanaojielewa ndiyo watamiliki funguo.
 
Hacha wafunge maana kuna watu wasio jielewa wakikataliwa huko pm wanakuja kumwaga povu huku public wakati yalikuwa ni mambo ya privacy. Wanaojielewa ndiyo watamiliki funguo.
Nasisi tunao jielewa sasa tunafanyaje??
 
Pole mkuu, nilikuona kipindi kile ulivyokuwa unapambana kweli kweli kumPM Paprika japo ulikuja kufanikiwa baadae na kuchange mission na ukaipeleka hadi kuwa ya mapenzi!!![emoji1][emoji1][emoji1]........Sasa kama ulikuwa unamtafuta kwa ajili ya biashara mambo ya mapenzi yalitoka tena wapi mkuu??
 
Hapana chezea Smart911 ni Mtu makini na ananajiamini sanaaaaa
huwa hayumbishwi na wajinga wajinga wanaotaka mchukulia attention yake
anajitambua sana
mtu wa msimamooo Akipenda amependa kweli na Anajua kupenda haswaaaaaa

Smart911 a man of my life
The real one
one and only
wewe ni wa thamani sana kwangu sikuachi NG'O Smart911 nakung'ang'ania kama rubaaa nakushika kama yaiii
sitaki uniponyoke walahi nakupenda si utani Smart911 ujue
nishamwambia mama mwenzio
hahahaha
miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol
can they guess what next???
OMG
nacheka kwa dhaaaraau
Ulipotoka kwema
 
Ukinitumia msg pm imekula kwako huwaga sijishughulishi na upuuzi labda iwe ni business nimeona nimeipenda nikuulize lakini sio jitu linatoka huko eti hi.. mazoea sitaki dm yangu..
 
Pole mkuu, nilikuona kipindi kile ulivyokuwa unapambana kweli kweli kumPM Paprika japo ulikuja kufanikiwa baadae na kuchange mission na ukaipeleka hadi kuwa ya mapenzi!!![emoji1][emoji1][emoji1]........Sasa kama ulikuwa unamtafuta kwa ajili ya biashara mambo ya mapenzi yalitoka tena wapi mkuu??
Mkuu ulinionaje?
Lini?
Na ulikua wapi?
Mbona umenishangaza hivi mhhu
Na umejuaje?
 
kweli wanawake tupo tofauti pole yako lkn ya pm yanatakiwa yabaki huko huko
Ndo nini hii shunie?

a684ac4802d53ee70a73fab8434b4c93.jpg
 
Hujaeleweka...

Cc: mahondaw

Mwenyewe hajielewi ataelewekaje kwa mfano??
Smart911 sweetbebii naona kuna kitu watu wamesahau kubeba lol that's why wanapata sheeedah Hahahaahhahahaahahahahaha
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol naachaje kukupenda zaidi na zaidi kwa mfano??

#Iloveyousmart911beibeeee#
 
Mkuu ulinionaje?
Lini?
Na ulikua wapi?
Mbona umenishangaza hivi mhhu
Na umejuaje?
Mkuu mimi ni hacker mzuri sana, hapa mjini huwa sina kazi nyingine!!........screenshot za pm zako na Paprika ninazo zote,ningekuwa na namba yako ya whatsapp ningekutumia zote ili uhakikishe kuwa ninachosema hapa ni kweli, au nizitupie hapa hapa mkuu?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Smart911 mylove team snitches wataisoma namba awamu kwa miye teinaaaaaaaaaaaaaaa lol
Naachaje kukupenda zaidi na zaidi kwa mfano??
Hahahaahhahahaahahahahaha

Nacheka kwa dhaaaaraau
Mengine wacha nifunge domo langu
Kasinde anakusalimia mkuu![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mwenyewe hajielewi ataelewekaje kwa mfano??
Smart911 sweetbebii naona kuna kitu watu wamesahau kubeba lol that's why wanapata sheeedah Hahahaahhahahaahahahahaha
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol naachaje kukupenda zaidi na zaidi kwa mfano??

#Iloveyousmart911beibeeee#
Thanks for all wakudeka wangu... Ukianza kudeka mahondaw unalegea vizuri... Kuanzia macho...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom