Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Status
Not open for further replies.
Smart911 mylove team snitches wataisoma namba awamu kwa miye teinaaaaaaaaaaaaaaa lol
Naachaje kukupenda zaidi na zaidi kwa mfano??
Hahahaahhahahaahahahahaha

Nacheka kwa dhaaaaraau
Mengine wacha nifunge domo langu
[emoji12] [emoji7] [emoji8] sijajua kama kuna snitches i see them just as friends to u...

Thanks love u more..
 
[fakalava, post: 20429330, member: 305557"]Hacha wafunge maana kuna watu wasio jielewa wakikataliwa huko pm wanakuja kumwaga povu huku public wakati yalikuwa ni mambo ya privacy. Wanaojielewa ndiyo watamiliki funguo.[/QUOTE]

Umenikoshaaaaaaa mkuu wherayuuuuu?? popote ulipo mkuu ten bottles of kalinya lol!
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Naachaje kumpenda zaidi na zaidi kwa mfano?!

Mengine Wacha nifunge domo langu

cc: Smart911
 
[emoji12] [emoji7] [emoji8] sijajua kama kuna snitches i see them just as friends to u...

Thanks love u more..

I only care about you mylove Smart911

Those... Idiots can go to hell hahaha
Mylove teach them to carry their brain with them lol
Naachaje kukupenda zaidi na zaidi kwa mfano??
Hahahaahhahahaahahahahaha
Nacheka kwa dharaaaau
 
Kimyaa="Mondray, post: 20429467, member
Thanks for all wakudeka wangu... Ukianza kudeka mahondaw unalegea vizuri... Kuanzia macho...

Na unavojua kunidekeza sasa uuwiiiiiiiii
Unanimarrrrlizaga sana mylove Smart911 yani mpaka natamanigi kazini nitoroke nije kukuona walau dakika moja then nirudi kuendelea na kazi
Thanks so much Smart911 mylove for giving me happiness
I lav uuuuuuuuuuuuuu Muaaaaah
Muaaaaah
 
[fakalava, post: 20429330, member: 305557"]Hacha wafunge maana kuna watu wasio jielewa wakikataliwa huko pm wanakuja kumwaga povu huku public wakati yalikuwa ni mambo ya privacy. Wanaojielewa ndiyo watamiliki funguo.

Umenikoshaaaaaaa mkuu wherayuuuuu?? popote ulipo mkuu ten bottles of kalinya lol!
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Naachaje kumpenda zaidi na zaidi kwa mfano?!

Mengine Wacha nifunge domo langu

cc: Smart911[/QUOTE]
Kasinge Kaisiki.
 
Taratibu basi mahondaw wengine tushalala mkuu

Kimyaa si wao ni loosers gere wanaleta gere na gere inazidi baambaa gere wao ni mbuzi watakula kwa urefu wa kamba geere tumejipanga. ...
hahahaha mie teinaaa lol
Mengine wacha nifunge domo langu mie

Habari yako ndugu Antonio??
 
I only care about you mylove Smart911

Those... Idiots can go to hell hahaha
Mylove teach them to carry their brain with them lol
Naachaje kukupenda zaidi na zaidi kwa mfano??
Hahahaahhahahaahahahahaha
Nacheka kwa dharaaaau
mahondaw me and you we gonna dance the song goes by the name.. Gat to love ya'
 
Kimyaa="Mondray, post: 20429467, member

Na unavojua kunidekeza sasa uuwiiiiiiiii
Unanimarrrrlizaga sana mylove Smart911 yani mpaka natamanigi kazini nitoroke nije kukuona walau dakika moja then nirudi kuendelea na kazi
Thanks so much Smart911 mylove for giving me happiness
I lav uuuuuuuuuuuuuu Muaaaaah
Muaaaaah
Asubuhi tu kukicha, mi nazianza pilika, mchana kutwa kutafuta, nikutunze wangu mahondaw...

na uzuri ulonao, nakuacha nyumbani peke yako roho inaniuma mwenzio, natamani nishinde kando yako...

Jichunge mahondaw, katu sitopenda, nikukose mpenzi we...

mi napata homa, jioni na watu ukisimama, mh

na roho inaniuma, sokoni kurudi umechelewa...

ushajua mi nakujali sana, ndo maana moyo wangu unaniuma nakuomba mahondaw chunga sana, maana wapo wasopenda kutuona...

Wakijipitisha kutwa kucha, uwaambie kwangu umeshafika usidanganyike na zao pesa, pamba na magari ni vya kupita...

# love the way you kiss #
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom