Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asubuhi tu kukicha, mi nazianza pilika, mchana kutwa kutafuta, nikutunze wangu mahondaw...
na uzuri ulonao, nakuacha nyumbani peke yako roho inaniuma mwenzio, natamani nishinde kando yako...
Jichunge mahondaw, katu sitopenda, nikukose mpenzi we...
mi napata homa, jioni na watu ukisimama, mh
na roho inaniuma, sokoni kurudi umechelewa...
ushajua mi nakujali sana, ndo maana moyo wangu unaniuma nakuomba mahondaw chunga sana, maana wapo wasopenda kutuona...
Wakijipitisha kutwa kucha, uwaambie kwangu umeshafika usidanganyike na zao pesa, pamba na magari ni vya kupita...
# love the way you kiss #
Don't worry super dear... Its impossible for only me and you to be talking to each other 24/7... Kuna times am busy you talk to others kuna time you are busy i talk to others...
Don't worry super dear... Its impossible for only me and you to be talking to each other 24/7... Kuna times am busy you talk to others kuna time you are busy i talk to others...
Whats important is respect and knowing where you stand and know your limitations...
Siwezi kukuchunguza unafanya nini na nani muda gani kwa nini... Mapenzi siyo vita super dear...
Mapenzi ni maelewano na kumuamini partner wako... Ukiwa una think positive hutakaa upatwe na depression za mapenzi...
Negativity kills... Positivity makes you stronger and always happy...
Enjoy life follow your heart but don't forget to carry your brain with you...
# lots of deep kisses more than yesterday #
Hahaha... To many kisses all for me.. You know where i would like to eat you and bite you... Wont stop until i get it enough...Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah
You know what to do my lovely super Dear.. lol
I didn't forget what you taught me to always not forget my brain darling
I laaavvyuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Wala Chambu mm sio snitch
Tena mm hua shabiki sana wa mapenz ya watu.
Kama uliona hivo just jokes and challenges tu kwa bro pale.
Zipo njia nyingi za kuthibitisha hilo, wahusika watakwambia.Watathibitisheje
Lol your lovely mahondaw unaachaje kumjua kwa mfano?? tena sio kumjua tu kumjua in and out na weakness zangu zootee Smart911 unazijuaa mwili wangu sasa ndo uwiiiiiiiiiiii hata sihangaiki yani im just relaxxxxxx unapita kila kona[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Unakumbuka i told you nitakununulia nini ukawa unabisha nitakosea size ya kiuno chako hata kama nakijua..
Ofcoz sina shaka na huo mwili wako... Mzuri... Mtamu... Uliojazia vyema.. Kiuno kilichokatika hips zilizojazia na... Shindu la kufa mtu... Mpaka pichu hazikukaii... Ukisimama balaa ukiinama... Woyoooooooo....Lol your lovely mahondaw unaachaje kumjua kwa mfano?? tena sio kumjua tu kumjua in and out na weakness zangu zootee Smart911 unazijuaa mwili wangu sasa ndo uwiiiiiiiiiiii hata sihangaiki yani im just relaxxxxxx unapita kila kona
Mengine Wacha nifunge domo langu mie
Daaah leo umeniweza jooh
Haya nisamehe tu kama nilikuudhi bwana
Ofcoz sina shaka na huo mwili wako... Mzuri... Mtamu... Uliojazia vyema.. Kiuno kilichokatika hips zilizojazia na... Shindu la kufa mtu... Mpaka pichu hazikukaii... Ukisimama balaa ukiinama... Woyoooooooo....
# nacheka kama mazuri #
Ulisahau?? Wooyoooo...Khakhaakhaa you reminded me OMG you know what.....!!!!!! ?
Woyoooooooooooooo
Khakhaakhaa nacheka kwa dhaaaraau
Yesterday I thought you are my bro talking of those stories za ukanda wetu mwee nikakutetea kwa mywii napingana nayule sijui nani yule nae snitch nimemsahau ili umpate mywii nawaandalia chumba napiga vigeregere leo hii wewe wa kunisnitch wewe..!?!?!Hiyo mipasho duuuh