Kwanini nyimbo ya Joto Hasira imechuja haraka sana??

mtoto wa kiume unakuwa na wivu kama mama mjamzito, nyimbo bado iko vizuri
 
Wivu mbaya

Ukabila mbaya

Unyonyaji mbaya.

Na kuonesha hili Joto limewapa Hasira watoto wa maghorofani, isome tena post yako utaelewa.
 
Kuna kale kawimbo ka dada Jide kale siku hazigandi hiyo dedication kwako
 
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?
Umetumwa na Ruge nini?
 
Kashaga utakua ndugu yake na ruge au japo kwa mkoa mnaotoka!

Naona mna'kolabo hadi mabifu!!
Kazi sana! Au sijui na wewe uko kwenye peiroo?!

Umechuja kivipi? umejuaje? utafiti ulofanya unaoweza kukupa uhuru wa kuongelea hisia zako kama ndiyo hisia za watu wengi, uko wapi?!
 
jide amefanikwa kuwashika vichwa nyote......most of you mnaenda kama kushow sympathy kwake ila sio kama mnavutiwa saaana na joto hasira
Afadhali ndugu yangu umenena mimi nimeulizia tu kuhusu mtoto duuu! Imekuwa kama nimua,Ina mana hata ushauri siku hizi hairuhusiwi?ni kweli wimbo huo umechuja ile Radio ilikuwa inambeba sana na kumtoa sema BINADAMU kukubali ukweli ndo shida.Kipaji kipo lakini ukijumlisha na kusapotiwa,We ona saida kaloli yupo wapi,Daharau dharau hizi haya si tupo!
 
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?

Imechuja kwako na mkeo.
 
mdau sio nyimbo,ni wimbo,maana nyimbo ni wingi wa wimbo,wimbo ni nomino ambayo ipo kwenye ngeli ya U-ZI,mfano wimbo Umechuja,(umoja)Nyimbo zimechuja(wingi),ni hayo tu,pia nikuulize wewe kwenye utafiti wako unadhan ni kwanin wimbo huo UMECHUJA????
 
asante sana bwana Mkoroshokigoli
 
Last edited by a moderator:
mtoto wa kiume unakuwa na wivu kama mama mjamzito, nyimbo bado iko vizuri

video yake haipigwi sana kwenye tv stations kama ilivyokuwa mwanzo, wimbo wa MAJANGA wa snura unapigwa sana, wimbo wa diamong mziki gani unapigwa sana kwenye media! tatizo wabongo ni wavivu sana wa kufanya tafiti ndogo ndogo! anza sasa hivi mpaka saa tatu usiku, uje uniambie kama hiyo ngoma ya joto hasira imechezwa mara ngapi
 
Kiukwel hamna siku imepita sijauskia joto hasira njian au kwa daladala..napingana nawewe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
video yake haipigwi sana kwenye tv stations kama ilivyokuwa mwanzo, wimbo wa MAJANGA wa snura unapigwa sana, wimbo wa diamong mziki gani unapigwa sana kwenye media! tatizo wabongo ni wavivu sana wa kufanya tafiti ndogo ndogo! anza sasa hivi mpaka saa tatu usiku, uje uniambie kama hiyo ngoma ya joto hasira imechezwa mara ngapi
Wanaokutuma waambie JF si ya kufananisha na viblog vyenu uchwara, hapa hatuna muda na hadithi za kusadikika.

Dedication kutoka kwa Jide nakutumia nyimbo ya Wanaume kama mabinti, maana huna tofauti na binti.
 
video yake haipigwi sana kwenye tv stations kama ilivyokuwa mwanzo, wimbo wa MAJANGA wa snura unapigwa sana, wimbo wa diamong mziki gani unapigwa sana kwenye media! tatizo wabongo ni wavivu sana wa kufanya tafiti ndogo ndogo! anza sasa hivi mpaka saa tatu usiku, uje uniambie kama hiyo ngoma ya joto hasira imechezwa mara ngapi
eatv channel 5 waipiga kila siku zaidi ya mara 3, itv napo wanaitwanga sana, tbc ndo wameikomalia kuiweka na star tv pia sasa cjui wewe unazungumzia tv gani? Fafanua
 
We mwenyewe umechuja!ebu acha umbea wewe!kazi majungu tu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
jide amefanikwa kuwashika vichwa nyote......most of you mnaenda kama kushow sympathy kwake ila sio kama mnavutiwa saaana na joto hasira
Hakuna cha sympathy wala nini. Mie kwa mfano, nina album zake tangu ile ya machozi, hii mpya lazima pia niinunue. Ugomvi wake wa Ruge haunihamishi mawazo. Pole. Umefulia mbaya
 
Back
Top Bottom