Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
video yake haipigwi sana kwenye tv stations kama ilivyokuwa mwanzo, wimbo wa MAJANGA wa snura unapigwa sana, wimbo wa diamong mziki gani unapigwa sana kwenye media! tatizo wabongo ni wavivu sana wa kufanya tafiti ndogo ndogo! anza sasa hivi mpaka saa tatu usiku, uje uniambie kama hiyo ngoma ya joto hasira imechezwa mara ngapi
Msanii mkali atapendwa hata ufanyaje!namkubali Jide na wasanii wooote wakali.
Mleta hoja ningekujua ningekuchoma bisi bisi ya mbavu na nikipajua unapoishi nakuja kukutolea posa ,mbona mama yako amechuja hatusemi.
Wewe unashinda kwenye TV masaa 24??
Na utawezaje kuangalia TV zote kwa pamoja u-conclude kwamba hauchezwi??
Au takwimu yako unaifanyia CLOUDS TV kama sample??
Msanii mkali atapendwa hata ufanyaje!namkubali Jide na wasanii wooote wakali.
Mleta hoja ningekujua ningekuchoma bisi bisi ya mbavu na nikipajua unapoishi nakuja kukutolea posa ,mbona mama yako amechuja hatusemi.
Afadhali ndugu yangu umenena mimi nimeulizia tu kuhusu mtoto duuu! Imekuwa kama nimua,Ina mana hata ushauri siku hizi hairuhusiwi?ni kweli wimbo huo umechuja ile Radio ilikuwa inambeba sana na kumtoa sema BINADAMU kukubali ukweli ndo shida.Kipaji kipo lakini ukijumlisha na kusapotiwa,We ona saida kaloli yupo wapi,Daharau dharau hizi haya si tupo!
asante sana bwana Mkoroshokigoli
asante sana bwana Mkoroshokigoli
video yake haipigwi sana kwenye tv stations kama ilivyokuwa mwanzo, wimbo wa MAJANGA wa snura unapigwa sana, wimbo wa diamong mziki gani unapigwa sana kwenye media! tatizo wabongo ni wavivu sana wa kufanya tafiti ndogo ndogo! anza sasa hivi mpaka saa tatu usiku, uje uniambie kama hiyo ngoma ya joto hasira imechezwa mara ngapi
Alitaka asikie kwenye top 20 za blauz fm ndo ajue ipo juu......