Kwanini nyimbo ya Joto Hasira imechuja haraka sana??

Kwanini nyimbo ya Joto Hasira imechuja haraka sana??

Matatizo ya akili yanahitaji mtaalamu kuyathibitisha lakini hayahitaji mtaalamu kuyagundua.
 
video yake haipigwi sana kwenye tv stations kama ilivyokuwa mwanzo, wimbo wa MAJANGA wa snura unapigwa sana, wimbo wa diamong mziki gani unapigwa sana kwenye media! tatizo wabongo ni wavivu sana wa kufanya tafiti ndogo ndogo! anza sasa hivi mpaka saa tatu usiku, uje uniambie kama hiyo ngoma ya joto hasira imechezwa mara ngapi

Wewe unashinda kwenye TV masaa 24??
Na utawezaje kuangalia TV zote kwa pamoja u-conclude kwamba hauchezwi??

Au takwimu yako unaifanyia CLOUDS TV kama sample??
 
Msanii mkali atapendwa hata ufanyaje!namkubali Jide na wasanii wooote wakali.
Mleta hoja ningekujua ningekuchoma bisi bisi ya mbavu na nikipajua unapoishi nakuja kukutolea posa ,mbona mama yako amechuja hatusemi.
 
Mtoto wa kiume unapomuenea wivu Mwanamke basi tunapatwa na maswali zaidi ya majibu, au amekupokonya Gardener Habash ulitaka uolewe wewe?

Matola dah.!mkuu maneno kuntu hayo..
umeifanya cku yangu iwe murua kabisa..
 
Last edited by a moderator:
Msanii mkali atapendwa hata ufanyaje!namkubali Jide na wasanii wooote wakali.
Mleta hoja ningekujua ningekuchoma bisi bisi ya mbavu na nikipajua unapoishi nakuja kukutolea posa ,mbona mama yako amechuja hatusemi.

i2thedi muongeze mkuu bado hajatosheka..
 
Last edited by a moderator:
Wewe unashinda kwenye TV masaa 24??
Na utawezaje kuangalia TV zote kwa pamoja u-conclude kwamba hauchezwi??

Au takwimu yako unaifanyia CLOUDS TV kama sample??

tuko digital mzee, king'amuzi cha digiteki kinakuwezesha kurekodi vipindi mbalimbali kupitia usb then kuviangalia kwa muda wako ukiwa umetulia!
 
Msanii mkali atapendwa hata ufanyaje!namkubali Jide na wasanii wooote wakali.
Mleta hoja ningekujua ningekuchoma bisi bisi ya mbavu na nikipajua unapoishi nakuja kukutolea posa ,mbona mama yako amechuja hatusemi.

akili yako ni finyu sana!
 
Au yote sababu yaa...... sababu yaa...... yelela yelelaaa.....!!!! Jide anawachapa fimbo za kimyakimya...
 
Hili joto hasira......
Jana nilitembelea mashindano ya pool ya mkoa wa Arusha, ilipigwa hiyo ngoma hadi kidogo mashindano yavurugike kwa mayowe!!!! yaani ilikua watu weweeeeeeee!
Kwa Jide mbona dolee la kati linawahusu tu na Ru-gay wenu!
Chezea Anaconda.
 
Afadhali ndugu yangu umenena mimi nimeulizia tu kuhusu mtoto duuu! Imekuwa kama nimua,Ina mana hata ushauri siku hizi hairuhusiwi?ni kweli wimbo huo umechuja ile Radio ilikuwa inambeba sana na kumtoa sema BINADAMU kukubali ukweli ndo shida.Kipaji kipo lakini ukijumlisha na kusapotiwa,We ona saida kaloli yupo wapi,Daharau dharau hizi haya si tupo!

Unauliza kuhusu mtoto yanakuhusu, ushauri si mpaka uombwe au unataka kuwa mke mwenza na Jide! Huyo ummemjua kupitia muziki, muulize maswala ya muziki na mpe ushauri kuhusu muziki tena ukiombwa otherwise acha udaku fanya maendeleo yako!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
video yake haipigwi sana kwenye tv stations kama ilivyokuwa mwanzo, wimbo wa MAJANGA wa snura unapigwa sana, wimbo wa diamong mziki gani unapigwa sana kwenye media! tatizo wabongo ni wavivu sana wa kufanya tafiti ndogo ndogo! anza sasa hivi mpaka saa tatu usiku, uje uniambie kama hiyo ngoma ya joto hasira imechezwa mara ngapi

I guess watu wamekuchukulia kwa level ya juu sana kuliko unayostahili!! You stick your eyes to ONE tv stations kutoa judgement ya mashabiki wote wa muziki!? Seriously?!? Bila haya unapost mawazo yako yaliyo below standard humu kwenye jamvi la Great Thinkers?!? Nakushauri uwe unatafuta ushauri kwa watu kabla ya kuandika vitu vya ovyo publicly hivi, na vile ID yako ni wazi watu wasijekukuta umebahatisha kuchangia point ya maana mahali wakaipuuzia maana JF unamwagaga pumba tu!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Clouds fm imejuta sana kulumbana na Jide baada ya kugundua Team Komando ni 90% ya watanzania wote wanasupport harakati dhidi ya ufedhuli wa Jose Kusaga na vibaraka wake wote.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom