Umetumwa na Ruge nini?Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?
Afadhali ndugu yangu umenena mimi nimeulizia tu kuhusu mtoto duuu! Imekuwa kama nimua,Ina mana hata ushauri siku hizi hairuhusiwi?ni kweli wimbo huo umechuja ile Radio ilikuwa inambeba sana na kumtoa sema BINADAMU kukubali ukweli ndo shida.Kipaji kipo lakini ukijumlisha na kusapotiwa,We ona saida kaloli yupo wapi,Daharau dharau hizi haya si tupo!jide amefanikwa kuwashika vichwa nyote......most of you mnaenda kama kushow sympathy kwake ila sio kama mnavutiwa saaana na joto hasira
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?
mtoto wa kiume unakuwa na wivu kama mama mjamzito, nyimbo bado iko vizuri
mdau sio nyimbo,ni wimbo,maana nyimbo ni wingi wa wimbo,wimbo ni nomino ambayo ipo kwenye ngeli ya U-ZI,mfano wimbo Umechuja,(umoja)Nyimbo zimechuja(wingi),ni hayo tu,pia nikuulize wewe kwenye utafiti wako unadhan ni kwanin wimbo huo UMECHUJA????Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?
mdau sio nyimbo,ni wimbo,maana nyimbo ni wingi wa wimbo,wimbo ni nomino ambayo ipo kwenye ngeli ya U-ZI,mfano wimbo Umechuja,(umoja)Nyimbo zimechuja(wingi),ni hayo tu,pia nikuulize wewe kwenye utafiti wako unadhan ni kwanin wimbo huo UMECHUJA????
mtoto wa kiume unakuwa na wivu kama mama mjamzito, nyimbo bado iko vizuri
Wanaokutuma waambie JF si ya kufananisha na viblog vyenu uchwara, hapa hatuna muda na hadithi za kusadikika.video yake haipigwi sana kwenye tv stations kama ilivyokuwa mwanzo, wimbo wa MAJANGA wa snura unapigwa sana, wimbo wa diamong mziki gani unapigwa sana kwenye media! tatizo wabongo ni wavivu sana wa kufanya tafiti ndogo ndogo! anza sasa hivi mpaka saa tatu usiku, uje uniambie kama hiyo ngoma ya joto hasira imechezwa mara ngapi
eatv channel 5 waipiga kila siku zaidi ya mara 3, itv napo wanaitwanga sana, tbc ndo wameikomalia kuiweka na star tv pia sasa cjui wewe unazungumzia tv gani? Fafanuavideo yake haipigwi sana kwenye tv stations kama ilivyokuwa mwanzo, wimbo wa MAJANGA wa snura unapigwa sana, wimbo wa diamong mziki gani unapigwa sana kwenye media! tatizo wabongo ni wavivu sana wa kufanya tafiti ndogo ndogo! anza sasa hivi mpaka saa tatu usiku, uje uniambie kama hiyo ngoma ya joto hasira imechezwa mara ngapi
Haya nenda mlalakuwa ukachukue posho kwa ruge.
Kiukwel hamna siku imepita sijauskia joto hasira njian au kwa daladala..napingana nawewe
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hakuna cha sympathy wala nini. Mie kwa mfano, nina album zake tangu ile ya machozi, hii mpya lazima pia niinunue. Ugomvi wake wa Ruge haunihamishi mawazo. Pole. Umefulia mbayajide amefanikwa kuwashika vichwa nyote......most of you mnaenda kama kushow sympathy kwake ila sio kama mnavutiwa saaana na joto hasira