karibu mdau Revocatus Kashaga lakini hujanijibu swali la pili,je wewe unahisi ni kwanini huu wimbo umechuja???
revo Revocatus Kashaga una matatizo. Umeshuka wapi?
Naona Ruge ameamua kutuma vijana wake JF kumsakama na kumstress Lady JD.
Ruge anaweweseshwa na jinsi ambavyo mashabiki wa jide wanavyoisubiri kwa hamu show ya tarehe 31 May
kwa sababu una makeleleeeee sijui amerekodia wapi unafaa mashambani kufukuzia ndege!
akili yako ni finyu sana!
akili yako ni finyu sana!
akili yako ni finyu sana!
yeah mara nyingi anakujaga na post za kumcrush JD as if she has never done something good.......,
eerytine I hear #jotoHasira # It just feel as if its a new song,na kama ni home ntaongeza na sauti ya Radio
Usipende kugeneralise everything @revo Revocatus Kashaga
Yaani umechelewa kuingia huku JF na Umeshachuja Haraka!Join Date : 19th April 2013
yeah mara nyingi anakujaga na post za kumcrush JD as if she has never done something good.......,
eerytine I hear #jotoHasira # It just feel as if its a new song,na kama ni home ntaongeza na sauti ya Radio
Usipende kugeneralise everything @revo Revocatus Kashaga
Tatizo watu mmekariri sana, sijasema hii nyimbo siipendi au watu hawaipendi jamani?? nilichosema imepunguwa sana kupigwa kwenye media na huo ndio ukweli! jide namkubali na mimi ni mshabiki wake wa ukweli, tiketi nimeshanunua, na nitakuwa nyumbani tarehe 31! nafikiri sapoti ya ukweli ni kununua tiketi ya show yake na sikupiga makelele matupu humu kwenye socia media
Talk facts with data, ukisema imechuja umetumia vigezo vipi? Umefanya research gani? Umepata maoni ya watu wangapi ndio ukafikia kusema hivyo?
Afu, kaka jitahidi upunguze kuvuta bangi siku za jumapili. Ili uwe una post vitu vyenye maana. Natanguliza shukrani.
hakuna kitu kama hicho labda ambao hawana kazi za kufanya,na usikute bada ya kumshabikia humu jioni wanapitia( kiatu)discovery: Do whatever you want in jf but dont you dare critisize or speak lowly of JD... Her fans will kill you...(atleast not literally).