Kwanini nyimbo za Alikiba huvuja kabla ya muda?

Kwanini nyimbo za Alikiba huvuja kabla ya muda?

Talent can beat hardwork, only when, the talented is working hard.

Ana kipaji lakin bado kuna vitu vingi ana kosa
 
Nimeusikiliza huu wimbo lakini nimeuona ni wa kawaida sana..Ukilinganisha na Mwana,Lupela na Chekecha cheketua nadhani hii ameifanya chini ya kiwango..Yani humu naona amegeuka Mutu ya Kongo...Anataja majina ya watu tu..

King Kiba ni msanii mwenye uwezo mkubwa naamini anaweza kufanya zaidi ya alichokifanya..Ukirudi kwa MI naye sijui hata amefanya nini humu...Ukiniambia nikutajie best rapper 3 kwa Afrika sitaacha kumtaja MI..Jamaa anajua

Niliposikia Kiba ana ngoma na MI nilitegemea kitu kikubwa zaidi..Lakini alichokifanya humu huyu jamaa hata underground yeyote wa Tz anaweza kukifanya...Sasa sijui alilazimishwa kushiriki kwenye hii ngoma ama vipi..Nwei ngoja nisubiri video..Uenda itanibariki
Hiv hiyo ngoma imevuja nazani bado haijaanza kupigwa kwenye media
 
Huenda anafkir inakua hit song kbla ya official release. Ikiwa ana mawazo haya basi ajue anapoteza pesa nyingi sana kwa huu mchezo wake.
 
Mhuuu kiukweli kwa mimi naona Ally kiwango kimeshuka sn! Si Kiba yule mwa mwanzoni kule,nilikuwa shabiki wake sn.
 
Dahhh, sijui kiba ana mkosi gani yani wasiompenda kila akitoa nyimbo mpya wanaziita zile zilipita ni kali na wakati waliziponda pia, wakati inatoka lupela ikawa mbaya bola ya chekecha, wakati inatoka chekecha ikwa mbaya bola mwana......!! Kwa mtindo huu nazani kiba hajawahi kutoa ngoma kali ss
 
Dahhh, sijui kiba ana mkosi gani yani wasiompenda kila akitoa nyimbo mpya wanaziita zile zilipita ni kali na wakati waliziponda pia, wakati inatoka lupela ikawa mbaya bola ya chekecha, wakati inatoka chekecha ikwa mbaya bola mwana......!! Kwa mtindo huu nazani kiba hajawahi kutoa ngoma kali ss
Subiri video ikitoka utasikia ni mbaya bora hata na ya Lupela.
Wakati ya Lupela pia walisema ilikuwa mbayaa.


Naitabiria hii nyinbo kufika mbali ni bonge la hit song. Trust me.
Japo siyo shabiki wa Ali kiba lakini nakiri kutoka moyoni jamaa anajua kwa kweli
 
Wimbo uko poa tu! Hauna mzuka. Hivi jamaa anaandikiwa nyimbo au anaandikaga mwenyewe? Kama anaziandika mwenyewe its time atumie wakali wa mistari wamuandikie nyimbo. Wasanii wengi US wanawika kwa ajili ya kuandikiwa nyimbo na wenye vipaji vyao
 
Hawa watoto wote naona wananipigia kelele tu na nyimbo za zao za week moja utoto mtupu,acha niendelee na zile kongwe zinanipa kumbukumbu fulani mujarabu na hisia za ujana wangu.
mkuu jaribu kusikiliza kanyimbo flani kanaitwa sisikii kaimba maua kama nipo right...kapo vizuri
 
Back
Top Bottom