mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Wimbo mimi naona wa kawaida tu ila sio mbaya pia.. Tatizo langu naona sio ngoma ya wananchi imekaa kama amewaimbia waskilizaji fulani hivi peke yake. Sioni watu kama mabeki tatu, boda boda, maaskari magereza au vinyozi wakastuka wakisikia ngoma ya dizain hii na awa ndio marefa wakubwa. Anyway ngojea tuone rotation yake.Version ya kichupa verse ya MI haipo ndo fundi kamaliza mwenyewe which is good thing kwakuwa hiyo ngoma angekuwa MI unadhani lini wangepiga show ya pamoja. ..tukiacha kulazimisha makosa hii ngoma ina ufundi mwingi sana