Kwanini nyimbo za Alikiba huvuja kabla ya muda?

Kwanini nyimbo za Alikiba huvuja kabla ya muda?

Version ya kichupa verse ya MI haipo ndo fundi kamaliza mwenyewe which is good thing kwakuwa hiyo ngoma angekuwa MI unadhani lini wangepiga show ya pamoja. ..tukiacha kulazimisha makosa hii ngoma ina ufundi mwingi sana
Wimbo mimi naona wa kawaida tu ila sio mbaya pia.. Tatizo langu naona sio ngoma ya wananchi imekaa kama amewaimbia waskilizaji fulani hivi peke yake. Sioni watu kama mabeki tatu, boda boda, maaskari magereza au vinyozi wakastuka wakisikia ngoma ya dizain hii na awa ndio marefa wakubwa. Anyway ngojea tuone rotation yake.
 
Kwa vigezo vya kisasa hizo ngoma unazoziongelea utakuwa unazionea kuzishindanisha na AJE. ...watu wanakesha YouTube kumsubiria AJE..watu wanamaliza chaji simu kumsikiliza AJE..watu hawabanduki Instagram kumsubiria AJE. ..dadako zako mjini hawakauki kwa AJE ...hivi ndo mziki unataka ngoma unaipa thamani kwa style waifanyayo
Mara mia Jike shupa ingekuwa ya kwake yote mle kiba ndio katisha.
 
Back
Top Bottom