Hiv hiyo ngoma imevuja nazani bado haijaanza kupigwa kwenye mediaNimeusikiliza huu wimbo lakini nimeuona ni wa kawaida sana..Ukilinganisha na Mwana,Lupela na Chekecha cheketua nadhani hii ameifanya chini ya kiwango..Yani humu naona amegeuka Mutu ya Kongo...Anataja majina ya watu tu..
King Kiba ni msanii mwenye uwezo mkubwa naamini anaweza kufanya zaidi ya alichokifanya..Ukirudi kwa MI naye sijui hata amefanya nini humu...Ukiniambia nikutajie best rapper 3 kwa Afrika sitaacha kumtaja MI..Jamaa anajua
Niliposikia Kiba ana ngoma na MI nilitegemea kitu kikubwa zaidi..Lakini alichokifanya humu huyu jamaa hata underground yeyote wa Tz anaweza kukifanya...Sasa sijui alilazimishwa kushiriki kwenye hii ngoma ama vipi..Nwei ngoja nisubiri video..Uenda itanibariki
Subiri video ikitoka utasikia ni mbaya bora hata na ya Lupela.Dahhh, sijui kiba ana mkosi gani yani wasiompenda kila akitoa nyimbo mpya wanaziita zile zilipita ni kali na wakati waliziponda pia, wakati inatoka lupela ikawa mbaya bola ya chekecha, wakati inatoka chekecha ikwa mbaya bola mwana......!! Kwa mtindo huu nazani kiba hajawahi kutoa ngoma kali ss
Kwani Diamond anang'aa embu niambie?Kiba achukuliwe na Diamond ndiyo atang'aa.
Hater amka ukafanye kazi acha kumtegemea bwasheeImekaa ki kaswida kaswida.
Bt MI kafanya poa sana.
mkuu jaribu kusikiliza kanyimbo flani kanaitwa sisikii kaimba maua kama nipo right...kapo vizuriHawa watoto wote naona wananipigia kelele tu na nyimbo za zao za week moja utoto mtupu,acha niendelee na zile kongwe zinanipa kumbukumbu fulani mujarabu na hisia za ujana wangu.