Kwanini nyimbo za Alikiba huvuja kabla ya muda?

Siku nzima Leo nausikiliza tu, wimbo ni mtamu kwa kweli
 
mkuu zama zimebadilika M.I hamna kitu cku izi kashafunikwa me hata kwny top 10 rappers bora afrika cwezi kumuweka
 
Ngoja nikae kimya wasije niita nina roho mbaya. Kwa kweli aliyemroga huyu kijana ameshakufa. Acha dunia isonge mbele.
 
Ngoja nikae kimya wasije niita nina roho mbaya. Kwa kweli aliyemroga huyu kijana ameshakufa. Acha dunia isonge mbele.
Kiukweli hakuna wimbo hapo ni wa kawaida sana.

Alafu kuna kitu nakiona kwa Kiba kuanza kupoteza identity yake. Anajaribu kupitia njia alizokuwa anaponda zamani. Sasa ni kama anakula matapishi yake.
 
Subiri kwanza mpaka aalikwe kwenye bunge la waasi wa sudani kusini ndo nyimbo zake hazitavuja tena teh ...teh ..teh
 
Hapana mkuu, hata wajinga huwa wanazidiana ujinga wao, na ndo nyimbo za Ally zilivyo!
 
Bwana mapelaa sifaa nyingi za mashabiki ndo maan anatunga vitu vya ajabu ajabu...tulimshauri aombe ushauri kwa bro diamondi wa kimataifa lakin hakutaka kusikia basi wacha aendelee kuwa wa matopeni labda ndo anakupenda
[emoji23] [emoji23] we ni mwana Yanga kabisa asee!
 
Mhuuuu, jamani hivi Ally ndo unapotea hivihivi au utarudi tena!? Tafadhali sana bado nina imani na wewe!!
 
Ni kwa sababu hazina na hazijawahi kuwa na ubora haswa upande wa video
 
Kiba wimbo wake wa "Mapenzi yana run Dunia" na ule alioshirikishwa na mdogo wake "Dunia Mapito" hizo zinaiosha nafsi yangu kwa sana.

Sijui anashindwa nini na Diamond.
 
Demo hatari hivi. .yenyewe si itakuwa balaa maana ile verse ambayo katambaa na kifaransa unaweza ukatukana kwa kumkubali
 
Demo hatari hivi. .yenyewe si itakuwa balaa maana ile verse ambayo katambaa na kifaransa unaweza ukatukana kwa kumkubali

Hakuna wimbo hapo kawaida sana sijaona wimbo wa kushindana na mawe kama moyo mashine, kwetu au siwezi.... Ni wimbo ambao ungekuwa enzi za kutoa album tungeukuta tu kwenye album.
 
Ni kwa sababu hazina na hazijawahi kuwa na ubora haswa upande wa video
Nimeona sehemu ya video ina quality nzuri sana ila kuna kosa lingine litamgharimu M. I hayupo kwenye kichupa... Tayari kashawapa watu cha kuongea, makosa ya kujitakia kwenye ushindani alionao hakutakiwa kuruhusu.
 
nyimbo ya kiba haijavuja coz iliyotolewa video na hii audio uliyoisikia ziko tofauti kabisa
 
Nimeona sehemu ya video ina quality nzuri sana ila kuna kosa lingine litamgharimu M. I hayupo kwenye kichupa... Tayari kashawapa watu cha kuongea, makosa ya kujitakia kwenye ushindani alionao hakutakiwa kuruhusu.

Version ya kichupa verse ya MI haipo ndo fundi kamaliza mwenyewe which is good thing kwakuwa hiyo ngoma angekuwa MI unadhani lini wangepiga show ya pamoja. ..tukiacha kulazimisha makosa hii ngoma ina ufundi mwingi sana
 
Hakuna wimbo hapo kawaida sana sijaona wimbo wa kushindana na mawe kama moyo mashine, kwetu au siwezi.... Ni wimbo ambao ungekuwa enzi za kutoa album tungeukuta tu kwenye album.

Kwa vigezo vya kisasa hizo ngoma unazoziongelea utakuwa unazionea kuzishindanisha na AJE. ...watu wanakesha YouTube kumsubiria AJE..watu wanamaliza chaji simu kumsikiliza AJE..watu hawabanduki Instagram kumsubiria AJE. ..dadako zako mjini hawakauki kwa AJE ...hivi ndo mziki unataka ngoma unaipa thamani kwa style waifanyayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…