Mkuu naomba ubadili hyo avatar yako.....kila nkimuaona huyo bint na_seduceka sana....J 'she's killing me softly.[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kweli
Kiasi cha wiki 2 zilizopita, Sedume Me iliizidi Zilipendwa kwa Views laki 9 lakini hapa tunapoongea, Zilipendwa imeizidi Seduce Me kwa Views Laki 4.Kana kwamba hiyo haitoshi, Siku Mona baada ya Ali Kiba kuachia wimbo wake Wa Seduce me, Diamond naye akishirikiana na Timu yake ya Wasafi waliachia ngoma ya Zilipendwa. Cha kushangaza ngoma ya Ali Kiba bado imezidi kushika chati kwenye uwanja Wa Muziki, lakini zilipendwa ndio imeshapotea
Tuma salaam kwa watu watatuKabla ya kutoa Zilipendwa alikuwa amemaliza kutoa nyimbo mbili Fire na Eneka ambazo hata hivo zilichukua siku chache kabla ya kuexpire.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Siku Mona baada ya Ali Kiba kuachia wimbo wake Wa Seduce me, Diamond naye akishirikiana na Timu yake ya Wasafi waliachia ngoma ya Zilipendwa. Cha kushangaza ngoma ya Ali Kiba bado imezidi kushika chati kwenye uwanja Wa Muziki, lakini zilipendwa ndio imeshapotea na sasa Mond ameamua kuachia kibao kingine " Hallelujah" ambacho kwa sasa ndicho kimeingia huku kikiikuta Seduce me ikiwa bado imeshika chati. Sasa seduce me inapambambana na Hallelujah siyo Zilipendwa tena!!!
Kwa nini nyimbo za Diamond zinawahi kuexpire haraka?
karibu kwa maoni
akisikiliza anaharishaKama zina expire mapema zinakutia hasara gani ktk maisha yako?
Mkuu najilinda na watu wasiojulikana waliojazana TCRA wakiona hivyo wanajua mkwewe na mzee wanakuwa na adabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu naomba ubadili hyo avatar yako.....kila nkimuaona huyo bint na_seduceka sana....J 'she's killing me softly.
Kazidi mashauzi....[emoji23] [emoji23]Kwanini watanzania mnataka diamond aporomoke kisanaa na kwisha kabisa ??
Sie hatuna minongo'ono mkuu munananong'ona nyie mahators wakeNadhani hajaweka mpango madhubuti wa kuachia ngoma zake...Hilo la 'bandika bandua' linasababisha kuchuja kwa nyimbo ingawaje anajivunia Views nyingi huko Youtube...
Nadhani umefika wakti muafaka yeye na uongozi wake kukaa na kubuni mikakati mizuri ili kuwa na uwiano mzuri wa kuachia ngoma kitu ambacho kitaepusha hii minong'ono ya baadhi ya mashabiki zake na sisi wadau wengine wa muziki
Sie hatuna minongo'ono mkuu munananong'ona nyie mahators wake
Pambana na hali yako