Kwanini Nyimbo za Diamond Zinawahi Kuexpire?

Kwanini Nyimbo za Diamond Zinawahi Kuexpire?

Tumesha mchoka tumesha mzoea, mke tu unamchoka kupiga pupuchi kila siku. Chakula ukila aina moja kila siku unakichoka.
 
Unaposema Halleluya inapambana na Seduce Me sikuelewi, mbona naona kama Seduce me ishapitwa mbali views na Zilipendwa? Mi nilizani ungesema Halleluya ndio unashindana na Zilipendwa
 
Simbaa toka mbuga ya tandalee naona swala wanaforce ili tufanane kwangu [HASHTAG]#eneka[/HASHTAG] bado mpya kabisaa
 
Kana kwamba hiyo haitoshi, Siku Mona baada ya Ali Kiba kuachia wimbo wake Wa Seduce me, Diamond naye akishirikiana na Timu yake ya Wasafi waliachia ngoma ya Zilipendwa. Cha kushangaza ngoma ya Ali Kiba bado imezidi kushika chati kwenye uwanja Wa Muziki, lakini zilipendwa ndio imeshapotea
Kiasi cha wiki 2 zilizopita, Sedume Me iliizidi Zilipendwa kwa Views laki 9 lakini hapa tunapoongea, Zilipendwa imeizidi Seduce Me kwa Views Laki 4.

Sasa kwa akili yako, ni ngoma ipi hapo inayowahi ku-expire?!

And remember, Youtube mtu anaenda kwa mapenzi yake wakati redioni au tv ngoma inasikika kwa mapenzi ya DJs na ukiweza kuwakamata huko, ngoma yako itasikika tu!!!!
 
Ile ni biashara kwa hiyo yeye ndio anajua Zaidi,Je mpaka zinaexpire anakuwa amepata hasara au faida?
 
Kwanini watanzania mnataka diamond aporomoke kisanaa na kwisha kabisa ??
 
Kabla ya kutoa Zilipendwa alikuwa amemaliza kutoa nyimbo mbili Fire na Eneka ambazo hata hivo zilichukua siku chache kabla ya kuexpire.

Kana kwamba hiyo haitoshi, Siku Mona baada ya Ali Kiba kuachia wimbo wake Wa Seduce me, Diamond naye akishirikiana na Timu yake ya Wasafi waliachia ngoma ya Zilipendwa. Cha kushangaza ngoma ya Ali Kiba bado imezidi kushika chati kwenye uwanja Wa Muziki, lakini zilipendwa ndio imeshapotea na sasa Mond ameamua kuachia kibao kingine " Hallelujah" ambacho kwa sasa ndicho kimeingia huku kikiikuta Seduce me ikiwa bado imeshika chati. Sasa seduce me inapambambana na Hallelujah siyo Zilipendwa tena!!!

Kwa nini nyimbo za Diamond zinawahi kuexpire haraka?
karibu kwa maoni
Tuma salaam kwa watu watatu
 
Mkuu naomba ubadili hyo avatar yako.....kila nkimuaona huyo bint na_seduceka sana....J 'she's killing me softly.
Mkuu najilinda na watu wasiojulikana waliojazana TCRA wakiona hivyo wanajua mkwewe na mzee wanakuwa na adabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nadhani hajaweka mpango madhubuti wa kuachia ngoma zake...Hilo la 'bandika bandua' linasababisha kuchuja kwa nyimbo ingawaje anajivunia Views nyingi huko Youtube...

Nadhani umefika wakti muafaka yeye na uongozi wake kukaa na kubuni mikakati mizuri ili kuwa na uwiano mzuri wa kuachia ngoma kitu ambacho kitaepusha hii minong'ono ya baadhi ya mashabiki zake na sisi wadau wengine wa muziki
Sie hatuna minongo'ono mkuu munananong'ona nyie mahators wake
 
Nyimbo zake ni bazoooka tu
 
Back
Top Bottom