Kwanini nyumba nyingi Tanzania zina mabati marefu?

Kwanini nyumba nyingi Tanzania zina mabati marefu?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high.
Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati linakuwa tu na mwonekano mzuri lakini still unaweza kunotice kuwa ni refu ukifananisha na nyumba zinazojengwa Kenya au Zimbabwe nk

Kiuhalisia mimi sina shida na mabati marefu na kiukweli nyumba zinakuwa na mwonekano mzuri tu hata na hayo mabati marefu, mwonekano unakuwa mbaya kama tu ukiweka bati refu kupitiliza, ila imenifanya niwe curious, kuna sehemu tulicopy hii design au ilikuwaje hii trend imekuwa common nchi nzima?

Hizi ni nyumba za hapa Mbeya, nazo zina design hiyohiyo. Ni nyumba nzuri though
PXL_20260310_152636109.jpg

PXL_20260315_125529968.jpg
PXL_20260315_124210746.jpg
PXL_20260315_123120345.jpg
PXL_20260303_093156386.jpg
PXL_20260303_085757049.jpg
PXL_20260303_085426083.jpg
PXL_20260303_083915358.MP.jpg
PXL_20260303_081311702.MP.jpg
PXL_20260303_080503495.jpg
 
ni urithi wetu wa Christianity, paa la namna hiyo ni Christian symbol, angalia Kanisa linavyojengwa yote (karibia) yako hivyo ila non-Christians wanatumia flat roof.

btw flat roof ni antichrist na satanic, mnara wa babeli ulikuwa na flat roof ...
 
Mimi sijauelewa huu mtindo wa mabati marefu. Tumeiga sana bila kujiuliza kama unaendana na mazingira yetu. Tanzania hatuna theluji; wakati mwingine tunaiga muonekano kuliko kuangalia uhalisia wa matumizi na gharama zake.
Maeneo ya joto pia yanahitaji mabati marefu. Mchana joto likiwa kali hewa yenye joto inapanda juu na hewa ya baridi inashuka chini kupitia Convection, kisha joto lina escape nyumba na kutokea kwenye mabati kupitia conduction. Inasaidia kupunguza joto ndani ya nyumba. Mi sipendi hiyo design ila kwa mazingira ya Tanzania inasupport
 
Sawa, kama hoja ni kupunguza joto, je mikoa kama Arusha na Mbeya ambako hali ya hewa ni ya baridi kiasi, kwa nini nako mtindo huu umeenea sana? Hapo ndipo naona kuna mchango mkubwa wa mtindo wa usanifu kuliko sababu ya hali ya hewa pekee.
 
Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high.
Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati linakuwa tu na mwonekano mzuri lakini still unaweza kunotice kuwa ni refu ukifananisha na nyumba zinazojengwa Kenya au Zimbabwe nk

Kiuhalisia mimi sina shida na mabati marefu na kiukweli nyumba zinakuwa na mwonekano mzuri tu hata na hayo mabati marefu, mwonekano unakuwa mbaya kama tu ukiweka bati refu kupitiliza, ila imenifanya niwe curious, kuna sehemu tulicopy hii design au ilikuwaje hii trend imekuwa common nchi nzima?

Hizi ni nyumba za hapa Mbeya, nazo zina design hiyohiyo. Ni nyumba nzuri though View attachment 3632560
View attachment 3632557View attachment 3632558View attachment 3632559View attachment 3632561View attachment 3632562View attachment 3632563View attachment 3632564View attachment 3632565View attachment 3632566
Aliyekuruhusu uchukue picha mjengo wangu ni nani, una mwanasheria au unanitafutia tu lawama?

Ubinadamu ni kazi, the humanity is work.
 
ni urithi wetu wa Christianity, paa la namna hiyo ni Christian symbol, angalia Kanisa linavyojengwa yote (karibia) yako hivyo ila misikiti na other non Christians wanatumia flat roof.

flat roof ni antichrist na satanic, mnara wa babeli ulikuwa na flat roof ...
The Icebreaker 🤣🤣 de gunner vision , bora de gunner angewahiwa mapema angepona
 
Back
Top Bottom