Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,065
- 5,976
MatKuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high.
Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati linakuwa tu na mwonekano mzuri lakini still unaweza kunotice kuwa ni refu ukifananisha na nyumba zinazojengwa Kenya au Zimbabwe nk
Kiuhalisia mimi sina shida na mabati marefu na kiukweli nyumba zinakuwa na mwonekano mzuri tu hata na hayo mabati marefu, mwonekano unakuwa mbaya kama tu ukiweka bati refu kupitiliza, ila imenifanya niwe curious, kuna sehemu tulicopy hii design au ilikuwaje hii trend imekuwa common nchi nzima?
Hizi ni nyumba za hapa Mbeya, nazo zina design hiyohiyo. Ni nyumba nzuri though View attachment 3632560
View attachment 3632557View attachment 3632558View attachment 3632559View attachment 3632561View attachment 3632562View attachment 3632563View attachment 3632564View attachment 3632565View attachment 3632566
Hapo ni matumizi mabaya ya raslimali/fedha, wanatupa pesa nyingi bila sababu ya maana.Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high.

Vv