Maeneo ya joto pia yanahitaji mabati marefu. Mchana joto likiwa kali hewa yenye joto inapanda juu na hewa ya baridi inashuka chini kupitia Convection, kisha joto lina escape nyumba na kutokea kwenye mabati kupitia conduction. Inasaidia kupunguza joto ndani ya nyumba. Mi sipendi hiyo design ila kwa mazingira ya Tanzania inasupportMimi sijauelewa huu mtindo wa mabati marefu. Tumeiga sana bila kujiuliza kama unaendana na mazingira yetu. Tanzania hatuna theluji; wakati mwingine tunaiga muonekano kuliko kuangalia uhalisia wa matumizi na gharama zake.
IMEANDIKWA WAPI?ni urithi wetu wa Christianity, paa la namna hiyo ni Christian symbol, angalia Kanisa linavyojengwa yote (karibia) yako hivyo ila misikiti na other non Christians wanatumia flat roof.
flat roof ni satanic, mnara wa babeli ulikuwa na flat roof ...
IMEANDIKWA WAPI?
Aliyekuruhusu uchukue picha mjengo wangu ni nani, una mwanasheria au unanitafutia tu lawama?Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high.
Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati linakuwa tu na mwonekano mzuri lakini still unaweza kunotice kuwa ni refu ukifananisha na nyumba zinazojengwa Kenya au Zimbabwe nk
Kiuhalisia mimi sina shida na mabati marefu na kiukweli nyumba zinakuwa na mwonekano mzuri tu hata na hayo mabati marefu, mwonekano unakuwa mbaya kama tu ukiweka bati refu kupitiliza, ila imenifanya niwe curious, kuna sehemu tulicopy hii design au ilikuwaje hii trend imekuwa common nchi nzima?
Hizi ni nyumba za hapa Mbeya, nazo zina design hiyohiyo. Ni nyumba nzuri though View attachment 3632560
View attachment 3632557View attachment 3632558View attachment 3632559View attachment 3632561View attachment 3632562View attachment 3632563View attachment 3632564View attachment 3632565View attachment 3632566
The Icebreaker 🤣🤣 de gunner vision , bora de gunner angewahiwa mapema angeponani urithi wetu wa Christianity, paa la namna hiyo ni Christian symbol, angalia Kanisa linavyojengwa yote (karibia) yako hivyo ila misikiti na other non Christians wanatumia flat roof.
flat roof ni antichrist na satanic, mnara wa babeli ulikuwa na flat roof ...
Katoro ndio kisangaBado sijaona paa ndefu hapo
Makitu yana kula papi na bati hayo, halafu ukiangalia hakuna kitu unaweka huko darini zaidi ya nyumba za panya tuWametusaidia sana mafundi umeme humo darini huteseki
kuna fundi umeme aliitwa nyumbani kwa tajiri mmoja kuchek shot akapanda darini fresh duh anakwambia alikuta kwenye makench ya angle za paa pamepigwa ngozi za kondoo nyingi na mafuvu ya vichwa vya binadamuWametusaidia sana mafundi umeme humo darini huteseki