Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,065
- 5,976
MatKuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high.
Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati linakuwa tu na mwonekano mzuri lakini still unaweza kunotice kuwa ni refu ukifananisha na nyumba zinazojengwa Kenya au Zimbabwe nk
Kiuhalisia mimi sina shida na mabati marefu na kiukweli nyumba zinakuwa na mwonekano mzuri tu hata na hayo mabati marefu, mwonekano unakuwa mbaya kama tu ukiweka bati refu kupitiliza, ila imenifanya niwe curious, kuna sehemu tulicopy hii design au ilikuwaje hii trend imekuwa common nchi nzima?
Hizi ni nyumba za hapa Mbeya, nazo zina design hiyohiyo. Ni nyumba nzuri though View attachment 3632560
View attachment 3632557View attachment 3632558View attachment 3632559View attachment 3632561View attachment 3632562View attachment 3632563View attachment 3632564View attachment 3632565View attachment 3632566
Hapo ni matumizi mabaya ya raslimali/fedha, wanatupa pesa nyingi bila sababu ya maana.Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high.
Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati linakuwa tu na mwonekano mzuri lakini still unaweza kunotice kuwa ni refu ukifananisha na nyumba zinazojengwa Kenya au Zimbabwe nk
Kiuhalisia mimi sina shida na mabati marefu na kiukweli nyumba zinakuwa na mwonekano mzuri tu hata na hayo mabati marefu, mwonekano unakuwa mbaya kama tu ukiweka bati refu kupitiliza, ila imenifanya niwe curious, kuna sehemu tulicopy hii design au ilikuwaje hii trend imekuwa common nchi nzima?
Hizi ni nyumba za hapa Mbeya, nazo zina design hiyohiyo. Ni nyumba nzuri though View attachment 3632560
View attachment 3632557View attachment 3632558View attachment 3632559View attachment 3632561View attachment 3632562View attachment 3632563View attachment 3632564View attachment 3632565View attachment 3632566
Una jicho la kuona rootni urithi wetu wa Christianity, paa la namna hiyo ni Christian symbol, angalia Kanisa linavyojengwa yote (karibia) yako hivyo ila misikiti na other non Christians wanatumia flat roof.
flat roof ni antichrist na satanic, mnara wa babeli ulikuwa na flat roof ...
Wenyewe wanaita MSAUZI! š (hata kama bati ni za kawaida)Katoro ndio kisanga
Zimbabwe wanapenda sana paa fupiNilikua Zanzibar nikauliza hili swala la mtu kujenga jumba kubwa na paa refu.
Na jibu nililopewa nilitegemea cause sio watu waliokua exposed sana na ujenzi wa wenzetu.
Zambia, Zimbabwe, South Africa, Botswana na Namibia watu wanajenga vizuri sana.
Nyumba za wastani na paa sio refu na ni nzuri kuliko hizi zetu.
Kweli kabisa.Zimbabwe wanapenda sana paa fupi
View attachment 3632625View attachment 3632626View attachment 3632627View attachment 3632628
Ndio maana nahisi ilianza kama solution ya joto halafu baadae ikawa fashion. Kila sehemu wakaiga hadi Njombe, Mbeya, Arusha nk bila kujali sababu ya hali ya hewa. Na hata kwenye joto wengi hawajui faida yake ila wanajenga kwa sababu tu ni trend. Asilimia 98 ya waliojenga hivi ni kwa sababu ya trend, na imeshakuwa utamaduni paa ndefu hivi zinaonekana za kuvutia kwa Watanzania wengi, tayari imeshakuwa part of cultureSawa, kama hoja ni kupunguza joto, je mikoa kama Arusha na Mbeya ambako hali ya hewa ni ya baridi kiasi, kwa nini nako mtindo huu umeenea sana? Hapo ndipo naona kuna mchango mkubwa wa mtindo wa usanifu kuliko sababu ya hali ya hewa pekee.
Hahaaa hii imetokea mtaa napoishi nyumba mbili zinaangaliana moja ya ghorofa moja ya kawaida lakini hii ya ghorofa imekuwa fupi kwa ya kawaidakuna jamaa alijenga gorofa ya roshen mbili akaja jirani yake akajenga nyumba ya kawaida ila akapau paa Moja refu hadi kumzidi yule wa gorofa.
Hakuzimiakuna fundi umeme aliitwa nyumbani kwa tajiri mmoja kuchek shot akapanda darini fresh duh anakwambia alikuta kwenye makench ya angle za paa pamepigwa ngozi za kondoo nyingi na mafuvu ya vichwa vya binadamu
Ni kweli kabisa.Maeneo ya joto pia yanahitaji mabati marefu. Mchana joto likiwa kali hewa yenye joto inapanda juu na hewa ya baridi inashuka chini kupitia Convection, kisha joto lina escape nyumba na kutokea kwenye mabati kupitia conduction. Inasaidia kupunguza joto ndani ya nyumba. Mi sipendi hiyo design ila kwa mazingira ya Tanzania inasupport
Hidden roof ni nzuri tatizo ni kupata mpauaji mzuriMakitu yana kula papi na bati hayo, halafu ukiangalia hakuna kitu unaweka huko darini zaidi ya nyumba za panya tu
Sjui kwa kweliHakuzimia
Kama hiziHahaaa hii imetokea mtaa napoishi nyumba mbili zinaangaliana moja ya ghorofa moja ya kawaida lakini hii ya ghorofa imekuwa fupi kwa ya kawaida
umeniwahiWametusaidia sana mafundi umeme humo darini huteseki
Nipe dili engineerumeniwahi
Wanikumbuke namihuwa napata kazi za sub toka kwa loose Nut na Lloyd Munroe
Ukiacha suala la mazoea na utamaduni kuna sababu tatu zinazofanya watu wa ukanda wa tropic kuwa na paq refu.Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high.