Kwanini nyumba Tanzania zinauzwa bei sana na hazina uzuri wala ubora?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Kwanini nchi nyingine bei ya nyumba iko chini sana na nyumba zao ni nzuri sana kuliko Tanzania?

Je, kupanga bei ya kuuza nyumba kupitia madalali wasio na ujuzi wala elimu yoyote ya ardhi na thamani yake, kunaathiri kiasi gani sector ya Real Estate nchini?
 
Tatizo kubwa ni CCM. CCM na mabosi wake wamejimilikisha viwanja vyote kwenye prime areas, na nyumba zote za serikali walijiuzia kwa hela ndogo sana.

Sasa wageni wakitaka nyumba au viwanja kwenye maeneo mazuri, hujikuta wameangukia kwenye mikono ya mafisadi papa wa CCM, hapo huropoka tu bei bila kujali thamani halisi ya kiwanja /mali hiyo.

Hutaki sepa atakuja mwingine.
 
Masaki, Oysterbay, Upanga, Sea View, Mbezi Beach etc. Kama ina mantiki fulani hivi.
 
Back
Top Bottom