Kwanini nyumba Tanzania zinauzwa bei sana na hazina uzuri wala ubora?

Kwanini nyumba Tanzania zinauzwa bei sana na hazina uzuri wala ubora?

JAMANI NINA ENEO LANGU LIKO KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC. NALIUZA. LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUBUNIA MAJI LITA ELFU 3000.

NATAKA ML. 25
MM NDIO MMILIKI.

0685223804View attachment 2570895View attachment 2570897
IMG_20230309_160927_9.jpg
 
hata kupanga tu ni mtihani mzito. Nilimtembelea babu yangu mtaa wa Sea View karibu na nyumbani kwa Rais Mwinyi, akanambia kuna apartment imepakana na nyumba ya Malecela inapangishwa kwa 5000USD kwa mwezi, nilipoiona nilichoka.
 
Nyumba za ovyo sana, yaani nyingi zinazouzwa ni kama mmiliki kaisusa au kaitelekeza.

Ingia ndani jikoni na vyooni mpaka kinyaa. Nje mazingira ya ovyo.

Nenda kasome bandiko la bei aliloweka dalali sasa wizi mtupu
Ndo hivyo watu walivyo.
Watu wachafu sana
Wanajua kujaza mataa, rangi

Unakuta bafu kubwa afu halina kitu, jingine dogoo hata kugeuka huwezi

Vyumba sasa hewa hakuna kabisa
 
Back
Top Bottom