KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Kwanini? Iweje nchi nyingine gharama za ujenzi ziwe chini?gharama za ujenzi kwetu ziko juu kuliko huko kwingine
Masaki, Oysterbay, Upanga, Sea View, Mbezi Beach etc. Kama ina mantiki fulani hivi.Tatizo kubwa ni CCM. CCM na mabosi wake wamejimilikisha viwanja vyote kwenye prime areas, na nyumba zote za serikali walijiuzia kwa hela ndogo sana.
Sasa wageni wakitaka nyumba au viwanja kwenye maeneo mazuri, hujikuta wameangukia kwenye mikono ya mafisadi papa wa CCM, hapo huropoka tu bei bila kujali thamani halisi ya kiwanja /mali hiyo.
Hutaki sepa atakuja mwingine.
Eeh huko kote huwezi nunua nyumba kama wewe ni lofa. Unaongelea billions for a low density area.Masaki, Oysterbay, Upanga, Sea View, Mbezi Beach etc. Kama ina mantiki fulani hivi.
Kuna nyumba nimeona inauzwa Babati shilingi 350 million, nyumba yenyewe sasa, keruuuuuuuEeh huko kote huwezi nunua nyumba kama wewe ni lofa. Unaongelea billions for a low density area.
Kununua nyumba Babati kwa 350M ni ujinga uliotukuka. 🤣Kuna nyumba nimeona inauzwa Babati shilingi 350 million, nyumba yenyewe sasa, keruuuuuuu
Madalali pia wamekuwa wa kupiga sana cha juu hadi Mtu unabaki umeduwaa tu, nyumba ya thamani M 200 wanakuropokea M 380.Kuna nyumba nimeona inauzwa Babati shilingi 350 million, nyumba yenyewe sasa, keruuuuuuu
Cha ajabu mvua ikinyesha kidogo mnatafutana pa kupitia kwa gari au miguu yani nchi ngumu sana hii [emoji1787]Kununua nyumba Babati kwa 350M ni ujinga uliotukuka. [emoji1787]
Hahahah akili tu baba akili tu...Cha ajabu mvua ikinyesha kidogo mnatafutana pa kupitia kwa gari au miguu yani nchi ngumu sana hii [emoji1787]
Uhuni unaitwa akili, weledi haupo. Nchi ya ajabu sana hiiHahahah akili tu baba akili tu...
Kinachomata ni land valueKwanini nchi nyingine bei ya nyumba iko chini sana na nyumba zao ni nzuri sana kuliko Tanzania?
Je kupanga bei ya kuuza nyumba kupitia madalali wasio na ujuzi wala elimu yoyote ya ardhi na thamani yake, kunaathiri kiasi gani sector ya Real Estate nchini?
Watakwambia unaishi mara mojaUhuni unaitwa akili, weledi haupo. Nchi ya ajabu sana hii
Kitu gani kina determine land value?Kinachomata ni land value
Habari ndiyo hiyoMasaki, Oysterbay, Upanga, Sea View, Mbezi Beach etc. Kama ina mantiki fulani hivi.
Nyumba za Mbagala tu ndio zina bei ndogo ha ha ha!Madalali pia wamekuwa wa kupiga sana cha juu hadi Mtu unabaki umeduwaa tu, nyumba ya thamani M 200 wanakuropokea M 380.